Sura ya 3

1 Akamamba mwanadamu kia wekubuiacho da da kia nubhumba halafu hita katamuie na nyumba ya israeli. 2 Basi nikagubua muomuo wangu akamisa ida nuphumba. 3 Akanamba mwana wa adamu isa ifu dako na memeza ifu dako na mikaida na imuie kama hasai kwe muomo wangu. 4 Kisha akanamba mwana wa adamu hita kwe nyumba ya israeli m na tamuia mbui zangu kwao. 5 Kwa kuwa nkuzati kutumwa kwa wantu wenye mbubi za kushangaza au lugha ngumu akini kwa nyumba ya israeli. 6 Nkio kwa taifa denye ngu uv ya maneno ya ajabu au lugha ngumu ambayo maneno yao nkudaha kuyaelewa nkakutu kwao unda wa kutegeze. 7 Akini mnyumba ya israeli mkaina iwe tayari kukutegeeza mimi ivyo nyumba yose ya israeli ni paji gumu na moyo ngumu. 8 Kumbe mkikigosoa chemi chako kama kaidi kama vyeni byao na paji dako kuwa gumu kama mapaji yao. 9 Nkikugosoa paji dako kama almasi gumu kuliko iwe da ikbiti! usekuwaogoha wala kufazaiki kwa vyeni vyao kwa kuwa ni nyumba ya uasi.'' 10 Kisha akanaruba mwama wa adamu maneno yose nekukutangaziayo yagoe mwe moyo wako na wategeze kwa gutwi dako. 11 Kisha hita kwa watumwa kwa wntu wako na utamuie nao wambie ivi ne bwana yahwe ambavyo iwapo wandawasikie au hapana.'' 12 Kisha roho akanena uwanga, nikasikia nyuma yangu sauti yenye zingizo da aridhi. ''Ubaikiwe utukufu wa yahwe kuawia hantu hakwe. 13 Ne ni sauti ya mawawa ya viumbe mai yvekuavyo vikado ntana kia yumwe na sauti kia magudumu ambayo yahamwe na ivyo viumbe na sauti ya zingizo ku umwe aridhi. 14 Roho akanena uwanga na kunidoa nikaita kwa usungu wa hasira nkai rohoni mwangu kwa kuwa mkono wa yahwe uwa na nuvu uku wagandamizi juu yangu. 15 Ivyo nikaita kwa watumwa uko tel abibu wekuako wakekaa hehi na kebari uko kwa niunda wa miaka saba kushinda kabisa kwa mshangao. 16 Kisha uka wia bada ya siku saba kwa mba neno da yahwe chikanezea uku dasema. 17 Mwana wa Aadamu nkigosoa utende mwangalizi kwa ajii ya israeli ivyo tegeza meno kuawa kwe kanwa changu na uwenke onyo dangu. 18 Ndiho nseme kwa waovu undaufe hakika na usekumuonya au kutamuia onyo kwa waovu kuhusu rubui zao mbaya muovu andape kwa ajii ya zambi yakwe akini mndanikunde mdhome kulawa kwe mkonoo wako. 19 Akini kama ukamuonya muovu na ase kueka uovu wakwe au zia mbui zakwe mbaya kisha andafe kwa zambi yakwe akimi andaokoe maisha yako mwenye. 20 Kama mwenye haki endabade haki yakwe na kugosoa yesayo haki na nikaika kizuizi mbele yakwe kumuonya andanye mwe zambi yakwe na nkimanikumbuke mbui yeyose ya haki ekugosoayo ahi ni mudenifaigwe ni mphome yakwe hulawa kwe mkono wako. 21 Akini kama ukamuonya muntu mwenye haik asekugosoa zabi halafu kwei akaeka kugosoa tangu hada ekuonywaho nawe undauwe kuokoa maisha yako mwenye.'' 22 Ivyo nkono wa yahwe we uwanga yangu uku amamba emuka! hita nkandani na nindamitamuie na wewe uko! 23 Nikamuka na kuita nkandani na uko utukufu wa yahwe ukagoka kama via utukufu amba nenkiuona hehi na kebari kanali ivyo nikagwa kifudifudi. 24 Loho akamozea kwangu na kunigokea mwe miundu yangu akatauia na mimi na kunamba hita na kevugaie mwenuniwe mnyumba yako. 25 Kwa sasa mwana wa adamu nuda wakufunge sifgi usekuwanyiika. 26 Kwa uwezo ulimi wako undauganda na pa da muomo wako ili kwamba unyamae na mkuma kuwa udahe kuwaegeza kwa kuwa n nyumba ya wasi. 27 Akini ndiho nitamuie na wewe ni ndaniuvugue, ivi ndivyo bwana yahwe ambavyo msikia na asikie na mwesehusikia na asekusikia kwa via wao ni nyumba ya kuasi!''