1 Akamba 'mwana ywa adamu gooka kwa miundi yako, kisha nenda nitamwie nawewe.'' 2 Naho ekuaho akatamwia nami, loho akengia ndani yangu nakunika mwemiundi yangu na nikasikia akitamwi na mimi. 3 Akanamba, ''mwana ywa adamu nakuagia kwa wantu wa islaeli kwa mataifa yasikiao ambayo yameasi zidiyangu wose aho na wo zao awameasi uwanga yangu hata ivyeo! 4 Uvyazi wao unachua yenui bvya kikaidi na mioyo migumu nakugia wewe kuita kwao na wambe ivi nee zumbe yahweh agombekavyo.' 5 Labda wenda wategeze au nhawana wategeze nyumba za uasi akini angalau wenda wamanye kwamba nabi kawia miongoni mwao. 6 Wewe, mwanadamu usekuwaogoho au mbui zao usekuogoha mana wenda uwe hamwe na mitemba n miwa na ijapokuwa unaishi na nge usekuogoha bui zao au kubonda moyo kwa vyeni vyao kwakwa nyumba zenazo kuasi. 7 Akini wenda uwambie mbui zangu, labda wenda wasikie au makuna kwa sibabu kwa nnwasi muno. 8 Akina wewe, mwanangudamu, tegeza kia nitamwiacho kwako usekua muasi kana nyumba za uasi gubyua muomi wako naude kia nikundacho kukwenka!'' 9 Kisha nikaona na mkono uwa unyooshwa kwangu ndani yakwe kuwa na hati yekukunjwao. 10 Akaitazua mbele yangu iwa igondwa npande zose mbele na nyuma na iwa igomba masininiko mwe iyo hati yekukunjwayona kufiwa mbazi na ole.