1 Ikabunda mbui ya yahwe ikanezea kwamba, 2 ''Sasa wewe mwanadamu ye wenda uniahe wenda uwahe mti kwa phome mtende amanye mbifya yakwe yose. 3 We nda wambe zumbe yahwe ambairi unune mzi ambao wetiao mpohome kati yakwe ili kwamba mda wakwe ubue mzi ugoosano vizuu ili wegege uchafu. 4 Kutenda na hatia kwa mpohome amnairi unune mzi ambao wetiao mpohpme kati yakwe ili kwamba kuvieta mwisjo kwa iyo nendanikutende lawama kwa mataifa na kjejeli mwe cheni cha kiasi. 5 Wose wa hehi na wada we hae mwewe wenda wakubwe wewe mzi mchafu umanyikanao kia hantu kwasifa mbaya kana kumema ngavunga vu. 6 kauma wakuu wa isreli kia yumwe kwa nguvu yakwe kwako kwetis mpoheme. 7 Wagosoa utizi kwa tate na ma ndan yako mwako na wagosoa uanga ya yako wawagosoa ibaya na wajane. 8 Kuvibea vintu vyangu vitu vyangu vitakatifu na kuichafua sabato yangu. 9 Wantu wazigao kati yao i kwetia mpohpe na wada uwanga ya mima wagosoa ubaya kati yao. 10 Mwazi wa tate ugubulwa ndani yako. wamtukana mvye mchafu ndani yako ukati wa uchafu wakwe. 11 Wantu wekugosoa hamwe na wavye wehehi yao na wantu wagosoea uchafu wasnu kwamkaza mwanao mwenye wakutukanao waumbuzo kudio binti zatatizo wenye aya yose ya miogoni wenu. 12 Awa wantu wadoa lushwa kati yenu i kwetia mpohome kudoa faida na kuongeza liba ngingi sana na kuya ivi ne zumbe yahwe ambavyo. 13 Kauwa! kwa mkonowangu mikono uako yenda iwe faida ambayo wekuigosoavyo msi yesayokua halali n mpohome ye kat yako. 14 Je! moyo wako wenda ugoke mikono yak yenda iwe minyanyi kwa msi ukati mimi mwenye nendaho niushukuhuikie? mimi yahwe namba ivi na nenda nidigosoe. 15 Ivyo nenda nikusawanye kati ya mataifa na kuksawanya kati ya si mbaimbai mwe sia inu nenda niuse uchfu kuawa kwako. 16 Ivyo wenda uwe mchafu mwe meso ya mataifa ikabinda wenda umanye kwamba mimi ni yahwe.''' 17 ''Ikabinda ndno da yahwe dikanezea kwamba, 18 ''Mwanadamu nyumba ya slaeli itenda takataka kwangu wose watenda masigazo ya shaba na pati na chuma na lisali kati yenu wenda wawe pati na chuma na lisasi kana takatakata ya feza mwe tanuli. 19 Kwaiyo bwana yahwe amba ivi kwakuwa mtenda kana takataka kwaiy kauwa! neda kumikonga mwe gatigati ya mzi wa yelisalemu. 20 Kana kukuba feza na shaba chuma lisasi na chuma mwe tanuli ili kukuivigutia moto kulolomoa uwanga yakwe nenda niwayayushe hivyo nenda niwakonge aho na kuvugutisha moto uwanga yakwe ili kuyayusha ivyo nenda niwakonge mwe maya yangu na mbifya yangu na nendaniwaike aho na kuwalolomoa. 21 Basi nenda niwakonge na kuwavugutia kwa moto wa may yangu ju yenu ivyo basi mwenda mwetiwe kati yakwe. 22 Kana kulolomoa feza mwe tanuli mwendamlolomolwe mwenda mlolomo lwe yahwe nchetia bifya yangu ju yenu!''' 23 Mbui yayahwe ikanezea amba. 24 Mwanadamu mwambie wewe ni sia ambayo nkaizati kusafishwa mkakuna fua msi wa maya! 25 Kana yeba ya manabi wakwe katiyahwe kana simba mbuma akahabu maunde wada ugima na kudoa utaji wa samani wagodoa watakufu wangi ndaniyakwe! 26 Makuhani wakwe wagosoa mhitu na shaia yangu warigea uchafu vintu vyangu vitakatifu nhawadaha kutafautisha kati ya vintu vitakatifu kutafautisha kati ya meso yao kuawa sabato ivy basi nkigwena uchafu kati yao. 27 Wakuku wakwe ndani yakwe watenda kana mbwa mbwitu wakahabu maunde yao, wetia mpohome na kubananga ugima ili kupata faida kwa sia ya utizi. 28 Manabi wakwe wahakwa nchoka waona maono ya umbea na kutabi umbea na kutabi umbea kwao wambai zumbe yahwe amba ivi ukati yahwe nkazati kugombeka. 29 Wantu wasi wawadagamiza kwakukunda kwa nguvu na kuwahoka kwa nuvu na wawasuubu maskini na watashinda na kuwadamiza wageni pasi haki. 30 Hivyo nkiondza muntu kuawa kwao enda adahe kuzenga ukanto na ambae ena adahe kugoka mbele yangu mwe kutua kwakwe kwaji ya si basi nkina ndahe kuibananga akini nche kuona muntu. 31 Ivyo nenda netie maya yangu ju yao menda niwabide kwa moto wa maya yangu na kuika ne zumbe yao uwaga ya mitwi yao wenye ivyo ne zumbe yahwe ambavyo.'''