1 Ikabinda neno da yahwe dikanezea kugombeka, 2 Mwanadamu ika cheni chako kukawiaw yelusalemu na neo uanga ya patakatifu otea uanga ya sui ya isralei. 3 Gombeka uanga ya si ya israeli yahwe agombeka ivi kaua! ni uanga yako nenda niulavye uhamba wangu kulawa mwe ala yakwe na kuwadumwia haw wose yani muntu ya hki muntu mwovu kulawa kwako! 4 Ili mwadumwie hae wose mwenye haki na wmovu kulawa kwako uhamba wangu wendaulawe mwe ala yakwe uanga ya wose wenao mwei kuawa kusini na kaskazini. 5 Ikabinda wose wenao mwi wendawamanye kwamba mimi yahwe nkiuvya uhamba wagnu mwe ala yakwe nkauna uye vituhu!' 6 Ugumie basi mwanadamu kwa sibabu ya kubondeka kwa sibabu kwa siababu ya kubondeka kwa vigudu byake! ugume usungu mbele ya meso yao! 7 Ikabinda ikawa kwamba wenda wakuze kwa sibabu yani waiya? ikabinda gombeka kwa sibabu ya mbui yezayo kwa ia moyo wendauwe zaifu na kia mkono wenda usite kia moyo wendauwe zaifu kia mkono wenda usite enga mazi kauwa yeza na yenda enda ivivi nee agombeka vyo zumbe yahwe.''' 8 Ikabinda neno da yahwe dikanezea kugombeka. 9 ''Mwanadamu itea ugombeke zumbe amba ivi gombeka uhamba! uhamba! usongolwa na kusugulwa! 10 Wenda unlwe ili ishikim mwe machinja maku! usukulwa ili uwe na ungazi enga ubauwa! je! tigosoe na kutamwe mwe ngonda ya mwana mfaume? uhamba wezao wakimwa ni kia ngoda? 11 Uhamba wenda ulagivwe kwa aji ya kusugulwa na akaho kutezwa mwe mkon uhamba usongolwa naho usugulwa na ulavigwa mkono wa yuda akomae!' 12 Etanga msada ulavigwe kwa aji ya kusugulwa na akaho kutozwa mwe mkono uhamba usongolwa naho wantu wangu uwanga ya waku wose wa isalaeli wantu wangu kwa iyo toa paja dako! 13 Kwakuwa kuna kugezwa iya yenda iwe vivihi kana ngonda ya kifaume nkainaweahp vituhu? ivi ne zumbe yahwe agombekavyo. 14 Basi wee, mwanadamu otea na ugoe magasa kwa kuwa uhamba ukuhanganie hata matatu! uhamba kwa wada w2endao wachinjwe wedauwe uhamba kwa ai ya kuhinjia ukawabevao nhande zose! 15 Ili kuyeyusha yao na kugenyeza kugwa kwao nkika machinjo ya uhamba uanga ya malango ole! kuundawa enga ungazi wa umbauwa unengwa kwa aji ya kukoma! 16 Wee uhamba nyoka upande wa kume nyoka upande wa kumoso hita hohose ukuelekezwako cheni chako. 17 Kwakuwa naho nenda nitoe mikono yangu midi kwa hamwe magasa na ikabinda nendaniete gazabu yangu kwa wekusigase mi yahwe nagombeka ivi!'' 18 Nneno la yahwe dikaneza vituhu kwamba. 19 ''Sasa wewe mwanadamu bahua sia mbi kwa aji ya uhamba wa mfaume wa babeli kweza sia izo mbi zendaziveke mwesi mwenga na kibao cha baababa chendakimwenyese moja wao enga kulekea mzi. 20 Onyesha sia mwenga kwa aji ya jeshi da wababeli kweza rana mzi wa wamoni onyesha ntuhu kuelekea jeshi da yuda na mzi wa yelusaleu ambayo limalishwa. 21 Kwakuwa mfaume wa babeli endagoke kwe makutano ya bababa kwe sia mpanda ili kugosoa uganga akaikucha mishale na kuza mwelekeo kulawa kwa kuzu a kuyakauwa maiani. 22 Mwe mkonowakwe wa kume kwenda kuwe na dalili kuhusu yelusalemu kuika mitambe ya kubomwea uanga kuvungwa muomo wakwe kupanga kuchinja kulavya sauti ya nkondo kuika mitambo ya kubomwea unga ya miango kuzenga wima mina ya boma. 23 Yenda ionekana kuwa isha isayokutama wme meso ya wada weuko yekusalemu wada wekweisao viapo kwa wababeli mia mfaume enda awashitaki kwa kubond sheia ya mkataba il kuwabaliki! 24 Kwaiyo zumbe yahwe amba ivi kwa sibabu kute a uou wako mwe kumbukumbu zangu makosa yenu yendayagubulwe zambi zenu zendazionekan mwe magosozi yenu yote kwa sibabu inu wenda mkumbuse kia muntu mwenda mgwiwe kwa mkono wa mnku yenu! 25 Kama we mchafu na mtawala mwovu wa israeli ambae msi ya hukumu yeza na ambae mda wa kugosoa uovu uhea, 26 Zumbe yahwe amba ivi kwako usa klemba na namuataji mambo nkayayawe vituhu enga yekuavyo! chenue chekwenukacho! 27 Ubanahasi ubanasi! nendanibanage nkaina iwe vituhu mpaka endahoeze yeye ambao nendanibanage nkaina iwe vituhu mpaka endahoeze yeye ambae kateuliwa kutekeleza hukumu. 28 Basi we mwanadamu otea a ugombeke zumbe yahwe agambaka ivi awa ni wantu wa amoni kuhusiana na kwezewa kwa seni zao uhamba uhamba uekwa unolwa kwa ji ya kuchinja upate kuwa enga embauwa. 29 Ukati manabi waona maono ya umea uanga yak ukati wendaho wagosoe ntabika kwa umbea ju yako unu uhamba wenda ugweso ambao misi ya gazabu ibua na ambao mda wa uovu uhehi ya kusia. 30 Vuza uhamba mwe gala dakwe mwe hantu ukumbwaho mwe si ya chimbuko dako nenda nikuhukumu! 31 Nendanetie maya yangu ju yako nendanivuzie upepep wa moto wa gazabu uanga yake na kukuika kwe kono wa wantu makati wantu wamanyao kudagamiza! 32 Wendauwe nkuni kwa ajiy a moto nhome yako yenda yenda iwe gatigati ya sanga nkunakumbukwe vituhu kwa kuwa mimi yahwe nkigobmeka neno idi!'''