Sura 9

1 Na akawambia kama: kweli watu wengine wapo pamoja na niye, hawatakufa kama hajaona ufalme wa Mungu. 2 Kusha siku sita, Yesu akamata: Petro, yakobo na Yoana, wakaenda wote ku kilima, walipo fika, Yesu kwa maombi yake alibadilika mbelz yao. 3 Manguo yake ikawa mweupe saana kushinda yote hapa ku dunia. 4 Walipo kuwa pale kumulima wakaona Elya na Musa wako wunaongeya na Bwana Yesu. 5 Petro alipo ona Eliya na Musa kuongea na Yesu, akaomba kwa Yesu kama ni vizuri wabaki pale na kuyenga hema tatu, mayo ya Yesu, ingine ya Musa na ngine ya Eliya. 6 Kwa kushangaa, kuogiopa kwa alikosa neno la kusema. 7 Mola walikua pale kikilima, mawingu nkashuka na kuwafinika, pale pale sauti ikasilikama kutoka yuu mbinguni kusema: Huu ni mtoto wangu ninaye mupenda. Musikie. 8 Kiisha ile, mara moya hawakuona tena mtu, Yesu peke yake ndjo alibaki pembeni yao. 9 Wakati wapo wanarudi, Yesu akawapa oola wasiseme na watu maneno waliona kule, mpaka wakati mwana Adam atafufuka. 10 Petro, Yakoba na Yoana watii ile Oda ya Yesu kutokusema maneno waliona, lakini walikwa wakisumulia juu ya kufufuka Yesu alisema. 11 Walimuriliza Yesu: wenge kuandika kama: Eliya akuye mtu wa kwanza? 12 Yesu akawayihi, kweli atakuya wa kwanza, sasa kwa sababu gani inaandikwa mwana wa inafaa upate matso mingi na wanuchukie? 13 Yesu akawaongosha kweli Eliya alishaka kuya na walinufanga gisi walipenda kafatana na maandiko. 14 Wakati walirudi kwenye wengina walibaki, waliona kwa mbali, waliona waytu wengi wako pamoya na wanafuzi pia Masudukayo walikuwa wana bishana nao. 15 NA mara moya, kundi lete lilishanga wakati waliona Yesu, na wote wakaenda kungokea kwa furaha. 16 Pale Yesu alipowasikia, akawauliza kwa nini unabisha? 17 Mtu moya katika kundi akayihu "Mwalimu", naleta mtoto wangu kwako, anayo pepo chafu saana inamkataza kusema, 18 na kimushika na kutetemeka na kumwangusha na kumwangusha chini na kutosha pofu ku midomo yake na kusanga meno. Nilimuleta kwa wanafungi wako hawakuweza kutosha ile pepo. 19 Yesu aliwajihu akisema, " kizazi isipo imani, nitokea nanyi kwa waki gani? wakati gani mtaweza? na akasema bamuletee mtoto kwa Yesu. 20 Walipo meta mtoto kwa Yesu, Roho mchafu wakati iliona Yesu, mara moja ikotia mtoto kutetemeka na akanguka chini na kutosha povu kukimwa yake. 21 Mara moya Yesu akamwaliza babaya mtoto: hui magonjwa ilifanya siku ngapi? baba moto akajibu akasema Tangu utoto wake. 22 Kuna wakati inamwangusha katika moto au pahali ya maji na na wakati ingine karibu kumuwewa, baba mtoto akamwambia Yesu: kama unaweza kufanya chochote utusamehe na utusaidie. 23 Yesu akajibu, akamwambia: kama ukotayari? kila kitu kiko inawezekama kwa wote anayo amini. 24 Mara moya, mgazi wa mtoto alilia na kusema: Naamini, nisaidi kutokwamini kwangu. 25 Sasa, wakati Yesu aliona kundi linakuya kwao, pole pole akakemea roho cafu wewe roho bubu na kiziwi, nakuya oda kwacha mtoto na usirudie tena kwake. 26 Wakati Yesu oda kwa roho chafu kutoka ndani ya mtoto, roho ile ikalalamika kwa sauti kubwa na kumwangaisha mtoto mbele yake kutoka ndani ya mtoto. Wakati roho unaacha mtoto, akanguka na akowa sawa vile anakiuya na watu walisema " Amekufa", 27 Yesu alimkamata kwa mkono na kusimanisha, naye alimama. 28 Wakati Yesu alingina ndani ya nyumba, wanafunzi wakamwendea kwa siri na kumuliza sababu ngani sisi hatukutosha roho chafu? 29 HYesu akajihu akasema: kikwa maombi ndio inaweza kutoko. 30 Wakaenda Galilaya hakupenda watu wajue pahali iko. 31 Kwa ile wakati Yesu alikuwa anafundisha wanafunzi wake aliwambia mwana wa Adamu atatolewa kwa mikono ya watu na kunuua. Wakati atakufa, kisha siku tatu atafufuka. 32 Wanafungi hanajua maana ya ile maneno, na waliogopa kumuriliza. 33 Wakati walipo Kaperinaumu, walikuwa nalani ya nyumba, umo akauliza wanafungi wake: mikuwa mnabishana juu ya nini ngiani? 34 Lakini hawayihi neno. Wanabishana njiani aliye mkubura zaidi. 35 Yesu alikkaa chini akawaita mitume yake kumina wawili panoja na kawaambia "kama utaka kwa wa kwanza ni mzuri uwe wa mwisho na mtumishi wa wote". 36 Pale Yesu akokamata mtoto mdogo na ku muweka kati kati yao akamkanata katika mikona yake, akasema, 37 Mtu yote atakaribisha mtoto huyu kwa jina yangu, higo anamipokea mimi na ikiwa mtu amemipokea, hanipokei mimitu lakani pia aliye nituma. 38 Yohana alimwambia Yesu: Mwalimu, tulimwona mtu anatosha roho chafu kwa jina lako, lakini tulinukataya, kwa sababu hatufwati. 39 Lakini Yesu akajihu akiseme: Msimkataze kwa sababu hakuna atakaye fanga kizi kubwa juu yangu na tena kiisha aseme mameno mbaya juu yango. 40 Mtu yeyote hama neno nasi, iko ngambo yetu. 41 Ule atakupokea na kopo ya mayi pa kunywa kwa sababu uko mwaminifu hatapoteya zawadi yake. 42 Tena ule wote ataangusha hawa wadogo wenye kuniani, ingekuwa hari kukama kumufungia ku jiwe kushingo na kutupwa chiyu mayi. 43 Kama mukono wako iki kwangusha katika Nzambi uhikate. Ni vizuri kuingia ufalme wa mbingu mkono moya kuliko kwena Jenama na mikono yote mbili: katika moto wa milele na milele. 44 Mahali ambayo funza hawakufina moto usio zimika. 45 Kama mukala yako iko inakutuma kwa maboya uyikate ni heri kwako kuingia mbinguni na mguu, moya, kuliko kwenda ienana na miguu mbili. 46 Katika moto isiyo zimika. 47 Kama yicho lako likikukosha tosha oyo. Ni kuingia mfalme wa Mungu ukiwa na yicho moya, kuliko kuwa na macho mbili na kutupwa yenama. 48 Mahali palipo na funza wasiokufa, na moto usiogimika. 49 Kwa kuwa kila moya ateketezwa na moto. 50 Chumvi ni mzuri, kama chumvi ikipoza utamu yake, utafanya nini kusudi iwe na utamu wake tena? Muwe na chumvi miongani mwenu wengewa na muwe na salama kwa kila monoja.