Sura 11

1 Wakati walifika karibu na Yerusalema na walipo karibiya Bethfage na Bethania katika mlima wa mizetuni , Yesu akauatuna wanafunzi wake wawili; 2 akiuapa odo ja kwenda katika mjini olijo mbele jao wakati mtafika kwa ile mjini mtamoona mtoto wa punda mwenye kufungiwa kwa kamba mtu hajaipandia. mmufungule na mkuye na yo kwangu. 3 Na kama mtu akiuuliza na yo wapi mtamujibu bwana iko na yo lazima 4 Wale wanafunzi wakatiu oda ya Yesu na walikuta kama vile Yesu aliwaambia juu ja mtoto wa punda alije funga wa ka mufungua. 5 Watu walikuwa wanasimmama pale walikuwa , waliwauliza ,sababu gani mnafunga mtoto wa punda. 6 Wakajibu kama Yesu ako nayo lazima na wakaende na jule punda. 7 Wale wanafunzi wote wawile wakabeba ule mtoto wa punda mbele ja Yesu-Kristo wakaweka maguo yao juu ja punda , ile Yesu apande juu ja jo. 8 Watu wengeni wengi wakatandika nao navazi jao kati kati ya njia wengine wakayandika mangalala ile walikata kumashamba 9 yabo.Watu walitembea mbele yake na walio mfuata walifanya makelele" hozana! anabarikiwa aneyekuya ku jina la bwana . 10 Ubarikiwe ufalme utakaokiya wa bala jetu Dauda! Hosana kwa ule aliye juu 11 Pale Yesu aliingizana Jerusalemu na kueleka kukanisa na akaangulmia kila kitu sasa , wakati wa kurudi umepita, akaenda Bethania, pamoja na wanafunzi wake kumi na mbili . 12 Siku inayofuata wakati walikwa wa kirudia kotka Bethania,Yesu akasikia njaa. 13 14 Kwa mbali akoona mti iliyo kuwa na majani Yesu akasogea kwangalia kama anaweza pata tunda kwa ile mti: na wakati alipofike pembeni ya mti hakuona hata tunda isipokua mojuri peke. Jake kwa sababu wakati wa kutowa matunda bado kweneya. Akasema: " hakuna mtu atakaye kula tunda kutoka kwako tena wanafuzi wakasikia neno ile anasema juu ya mtki 15 walirudi tena mjini jerusalemu na akaingia ku kanisa na akaza kufukuza nje wote ureliku wakinzisha na wale wa kununua ndani ya kanisa. Aliangusha bameza wenye kubarisha feza na vite ya wenye kuuzisha njiwa . 16 Hakupatia hata mtu moja ruhusa kubeba kitu ya kunzisha ku kanisa . 17 Yesu akanza kuwafundisha akisema : imandikiwa nyumba yangu itaitua nyumba ja maombi kwa watu wote ? Lakini mnaingenza kuwa pahali pa wanyanganyi. 18 Makuharu wakuu na wandikayi walikuwa wakifata maseno je Yesu, nao walitafuta mna gani ya kumuwu sta vile walimuogopa kwa sababu kundi ilishangazwa na mahubiri yake . 19 Na wakati yote ya magaribi ikienea alikuwa anatoka njini 20 Asubuyi walipo kutembea, waliona mti wa umekauka mpaka kwenge mizizi yake . 21 Petro akakumbuka na akasema : Mwalimu ! Ona, mti yenye ulilaani inakauka 22 Yesu aliwajibu mmwani Mungu. 23 Naurambia, amini kwamba kila mtu yeyote atasema mlima hu ondoka ujitupe katika bahari na kama ana mashaka ndani ja roho wake, lakini anaomini kama yenye alisema kitatimia na hivi ndio Mungu atafanya. 24 Yesu akasema kwa hiyo ninawaambia: yote mtaomba na kuuliza kwa ajili yake sadiki kama mneipata nayo itakuwa yenu. 25 Wakati mnasimama kwa kuombo, mnapashwa kuhurumia wote unaye neno ile baba yetu wa mbinguni awahurumie ninyi vile vile makosa yenu. 26 Lakini kama hamusamehu Baba wenu aliye mbinguni hatasamu dhambi yenu haumo kwenye nakala za kale 27 Tena walikuya Yerusalemu, na yesu alikuwa onatembea mu kanisa mukuhani wakuu , wandishi na wazu na wazee walikuya kwa Yesu. 28 wakamwambia : ni kwa uwezo gani unafanya matendo hii ? Na ni nanki alie kupatia uwezo kuifanya hii ? 29 Yesu akawajibu: nitawauliya ulizomoja : muniambie na mimi, nitawaambia kwa uwezo gani ninafanya maneno hii. 30 Namna gani ubatizo wa Yowane ulitoka mbinguni au kwa watu? mnijibu 31 Wakanza kujiulizauliza katika roho jao: kama tukisema ili toka mbinguni atasema sababu gani hauku mwani ? 32 Lakina tukisema ilitoka kwa watu, waliogopa watu, kwa sababu wote walijua kwamba yahona ni nabii. 33 Ndiopale walimjibu Yesu na wakisema hatujuwe . Na Yesu akawaombia " na mimi sitawambia ni kwa uwezo gani nayafanya maneno hii.