Sura 6

1 Na elesilia ho na ienda mjini kwavo, na vanafunsi vake vakamfata. 2 Sabato iliposhika, eleansa katika sinagogi. Vandu veengi velemswa vakashangaswa, vakaamba, ''Akolia ku mafundisho yahaya?" "Ni hekima yonki eleiningwa?" "Etenda afo miujiza yahai kwa maoko yakwe?" 3 "Je shuashu si ula seremala, mwana wa Mariamu na mwanandiye vavo Yakobo, Yose, Yuda na Simoni? Je dada sakwe si veishi adi hamu nasi? "Na velefurahishwa na yesu ku. 4 Yesu akavavia, "Nabii euwa heshima, isipokuwa katika mji wakwe na miongoni mwa wanandiye wakwe na kaa kwakwe''. 5 Eledima itenda miujisa hoku, ila elevavikia maoko wagonjwa vanahana akavahaira. 6 Eleshangaswa sana kwa kfa ya kutokuamini kwavo. Kisha elevichambukia vijiji vya mraseni akigundisha. 7 Elewalaa vala vanafunsi kumi na ivili akaansa ivaduma vavili vavili. Akavaninga mamlaka dooka ya roho ng'shafu, 8 na akavaamuru wataire choose wanapoenda isipokuwa fimbo tiki. Wachaire mkate, wala mkoba, wala fedha kibindoni; 9 lakini varare fiadu, na siyo kanzu ivili. 10 Na akavavia, mmba yoose mtakayoiingia,ehaamieni hoodo mpaka mtakaposiilia. 11 Na mji woose usipowaambilia wala iwahuchania siilieni kwavo, kung'uteni mavumbi ya machende yenu, ive shuhuda kwavo.'' 12 Navo vakasiilia vakitangusa vandu vatubu na iacha sambi savo''. 13 Velevafukuza roho ng'viishwa veengi, velewafia mafuta vagonjwa na vakahairwa. 14 Mangi Herode alipoishwa yohoyo kwa kuwa rina la yesu livekeri lilemanyika sana. Baadhi veleamba, "Yohana mbatisaji afufuka na kwa kfa ado, yohoyo, hiyai oru ya miujisa irunda kasi ndani yakwe.'' 15 Baadhi yamwao veleamba, "Shuashu ni Eliya," Bado vengi vakaamba, "shuashu ni nabii, kama umu va vala manabii wa kasha." 16 Lakini Herode alipoishwa yahaya akaamba, ''Yohana, niliyemteena mduve amefufuliwa." 17 Maana Herode emeni eleagiza Yohana akamatwe na elemfunga gerezani kwa kfa ya Herodia (mfele wa vava akwe Filipo) kwa kfa ve evekeri amualika. 18 Kwa maana Yohana elemmbia Herode, "Si halali kumwalika mfele wa vavao.'' 19 Lakini Herodia eleansa imsua na evekundi imbwaa, lakini eledimaku, 20 maana Herode elemwova Yohana: elemanya kwamba ni ere haki mndu mtakatifu, na elemlekelia salama.Na alipoendelia imuhuchania elehusunika raavi, lakini elefurahi imhuchania. 21 Hata iliposhika wakati mwafaka ikiwa yashika mfiri ive oneka Herode akavaandalia maofisa vakwe karamu, na makamanda, na viongosi wa Galilaya. 22 Ndipo mwanamka wa Herodia akaingia na itema mbele yavo, akamfurahisha Herode na vageni vevechaamie wakati wa kyao cha kashini. Ndipo mfalme akamvia mwanamka, ''Nitereve choose ukundi nami ngekununga.'' 23 Akamwapia naiamba, choose utakachongitereva, ngekuniinga, hata nusu ya umangi wakwa.'' 24 Akafuma shaa ammbesa maakwe, ''ng'tereve choiki?'' Akaamba, ''Mdwe wa Yohana Mbatisaji.'' 25 Na mara umu akaingia ndani kwa mangi akaansa iifumba, ''Ngikundi uninge ndani ya sahani, mdwe wa Yohana Mbatisaji.'' 26 Mangi elesikitishwa naavi, lakini kwa kfa ya kiapo chwakwe na kwa ajili ya vageni, eledimaku iliyaa ombi lakwe. 27 Hivyo, mangi eleduma askari kati ya valinsi vakwe na akaagisa eyenda imhendie mdue wa Yohana. Mlinsi eleenda kumteena mdwe evei kifungoni. 28 Akaiende mdwe wakwe kwenye sahani na imninga mwanamka, na mwanamka akamninga maakwe. 29 Na vanafunsi wakwe valipopishwa ado, veleenda ihira mwili wakwe vakaenda irika kaburini. 30 Na mitume, velekusanyika hamu mbele ya yesu, vakammbia yoose velerunda na valiyoyafundisha. 31 Nave akavavia, ''shioni mmeni pa faragha na wasi na dupumsike kwa muda. ''Vandu veengi vevekeri velesha na isiilia, nanga velekolia nafasi yela ku. 32 Hivyo veledua mashua vakaiilia kndu pa wasi peke yavo. 33 Lakini velemlolia vakisiilia na vengi vakawamanya, kwa hamu veledisha kwa machende ifuma miji yoose, navo vakashika kabla yavo. 34 Valiposhika pwani, elelolia umati mduve na elewahurumia, kwa kfa vevekeri sha mahorima yechere molisa. Na akaansa iwafundisha mambo meengi. 35 Muda ulipoendelia sana, vanafunsi vakasha vakamvia, ''haadi ni kindu pa wasi na muda wasia. 36 Uvaage vaende miji ya mraseni na vijiji ili vakajodee kyao.'' 37 Lakini elevajibu akiamba, ''Vaningeni nyohonyo kyao''. Vakamvia, ''Dudima iyenda na iyola mikate ire thamani ya dinari mia ivili na ivaninga vala?'' 38 Akavavia,'' Mre mikate miinga? Endeni msakulie". Valipokolia vakamvia, ''Mikate mitanu na samaki vavili." 39 Akavaamuru vandu vachaamiye katika makundi dooka ya mara mavishi. 40 Wakavadaamira katika makundi, makundi ya mamia kwa hamsini. 41 Kisha akaira mikate na samaki vavili, na isakua ruveu, akabariki kisha akavaninga vanafunsi vavike mbele ya umati na kisha elegawa samaki vavili kwa vandu voose. 42 Valela voose hadi vakatosheka. 43 Velesana fipande vya mikate ilebaki, vikaishwa vikabu kumi na fivili, na pia fipande fya samaki. 44 Na vevekeri vasoro elfu tano veleva mikate. 45 Mara akavavia vadue kwenye mashua vaende sehemu ingi, hadi Bethsaida, wakati ve akivaaga makutano. 46 Walipokuwa wamekwisha iyenda, akaenda mlimani itereva. 47 Kuvekeri kashini, na mashua yavo wakati sho ivei katikati ya bahari, nave evei emoni nchi kavu. 48 Na elevalolia vakataabika ikaba makasia kwa kfa ya muho ulevashiingia. Karibu kuucha akavafata akichambuka dooka ya mriinga, na elekundi ivaicha. 49 Lakini valipomlolia echambuka dooka ya mriinga, vakaingiwa na wasiwasi vakidhani ni varimu hata vakakabe kelele. 50 Kwa kfa velemlolia velejawa na hofu. mara akaamba navo akavavia, ''Mve vajasiri ni nihani mchave na wasiwasi.'' 51 Akaingia ndani ya mashua, na muho ukacha ifuma, navo vakamshangaa kabisa. 52 Ado vevekeri vadewa maanaku ya mkate ila maana akili savo sivekeri na uelewa mnahana. 53 Navo valiponika ng'ambo veleshika nchi ya Genesareti mashua ikatia nanga. 54 Valipofuma shaa ya mashua, mara vakammanya. 55 Vakadisha itangasa katika mkoa msima na vakaansa ivahende wagonjwa kwa machela, kila veleishwa esha. 56 Koose eleingia katika vijiji, au mjini, au katika nchi, velevavikia wagonjwa kndu pa tela, na vakamsihi avaruhusu ira pindo la vazi lakwe. Na voose velemra velehairwa.