Sura 1

1 Paulo, Silwano na Timotheo kwa kanisa la Wathesalonike katika Ruva Baba na Bwana Yesu Kristo Neema na amani ive na anyo. 2 Dufuna shukrani kwa Ruva kila mara kwa ajili yamwani voose, wakati duvataja katika maombi yamudu. 3 Duikubwa bila ikoma mbele ya Ruva na baba amodu kasi yamwani ya imani, juhudi ya upendo na uvumilivu ure ujasiri kwa ajili badaye katika Bwana Yesu Kristo. 4 Ndugu mkundwa na Ruva duishe wito waniwani. 5 Na shali injili yamodu ilesha kwaniwani shi kwa ichecha tiki ku, bali pia katika nguvu, katika Roho Mtakatifu na katika uhakika. Kwa namna yahayo mwiishi pia sohoso vandu va namna yoiki miongoni mwamwani kwa ajili yamwani. 6 Mvekeri vandu veduiga sohoso na Bwana, shali mleambilya ichecha katika taabu kwa furaha ifumie kwa Roho Mtakatifu. 7 Na matokeo akwe mkava mfano kwa voose katika Makedonia na Akaiya ambao veamini. 8 Kwa kfa ifuma kwamwani ichecha la Ruva lileenea koose, na shiveemo ni ku. Badala akwe kwa kila handu imani yamwani katika Ruva ileenea koose. Na matokeo akwe duhitaji iamba choose ku. 9 Kwa kfa vo vemeni vearifu ujio wamodu uvekeri wa namna yoiki kati yamwani. Vesimulia shali mlehundukya Ruva ifuma katika sanamu na itumikia Ruva ekiri hai na wa dhoi. 10 Velefuna habari kuwa vembeecha mwana akwe ifuma mbinguni, alefufuka ifuma kwa wafu. Na shwahashu ni Yesu aleduvikya huru ifuma kwenye ghadhabu yo ishaa.