1 Mmeishwa taarifa kuwa kure sinaa miongoni mwamonu, aina ya sinaa ambayo itekeri foo katikati ya vandu va Mataifa. Dure taarifa kwamba umu mwamonu nelala na mvele wa Papa wakwe. 2 Nanyue mwejisifu! Badala ya kuhuzunika? Huya alefanya kuto nepaswa ifinwa mionggoni mwamonu. 3 Ingawa ngitekeri pamoja nanyi kimwili lakini ngikeri nanyi kiroho ngimevahukumu vee alefanya kutii shangiveli kerifo. 4 Mkakomana pamoja katika rina la Bwana wa modu Yesu na roho yakwa ikeri haya kwa nguvu sa Ruva na sa Bwana wamodu Yesu, ngimemaa ngimemhukumu mndu shwahashu. 5 Ngimemaa imkabisi mndu shwahashu kwa Shetani ili kwamba mwili wakwe uharibiwe, ili roho yakwe iidime iokolewa katika mfiri ya Bwana. 6 Majivuno yamonu si kindo kizuri. Mwishi chachu kinana yeharibu donge zima? 7 Kusambieni nyohonyo venyewe chachu ya kale, ili kwamba mvee elongo agiiya, ili kwamba mwe mkate usiochachuliwa. kwa kfa, Kristo, mwana ihorima wamodu wa pasaka amekwisha ishinjwa. 8 Kwa kuto tusheherekee karama si kwa sababu ya tabia ngivishwa na uovu badala yakwe dusherekee na mkate utaivikie chachu ya unyenyekevu na loi. 9 Ngileandika katika barua yakwa kuwa mtachangamane na vazinzi. 10 Ngite maana ya vazinzi vya dunia hii, au na vete tamaa au vanyang'anyi au vaabudu sanamu kwa ikaa kwasha navoo basi yevapasa mfume duniani. 11 Lakini luvaha ngavaandikia kwa kutojichanganya na wosa alawa kaka au dada katika Kristo, lakini nekaa katika uzinzi au sho msa akundi itamani, au mndu esoka, au veabudu sanamu, au elailia au mnansi. Wala mtale na vee mndu wa namna yohoyo. 12 Kwa kuto mtajihusishe ihukumu vakeri sha ya kanisa? Badala yakwe, nyohonyo mtalevahukumu vandu vakeri mbaa ya kanisa? 13 Lakini Ruva nehukumu vekeri sha mfineni mndu sho muovu miongoni mwamonu"