Sura 4

1 Soso ndivyo mndu eduhesabu sohoso, sha vatumishi wa Kristo na mavakili wa siri za mfiri za Ruva. 2 Katika lahali, kitakiwe kwa uwakili ni kwamba vave wa kutumainiwa. 3 Lakini kwakw nani ni kindo kinana sana kuwa ngandehukumiwa nave au hukumu ya kibinadamu. Kwa kuwa ngejihukumu hata nani ngimoni. 4 Ngejihukumu nani ngimoniku, hiyai ire maana kuva nani ngire haki. Ni Bwana enihukumuye. 5 Kwa kyo, mtatamke hukumuyo dooka ya choose kabla ya wakati, kabla ya yesha kwa Bwana. Ehende nuruni mambo yekrika mdhemeni na kufunua makusudi ya mioyo. Ndipo kila umu eambilia sifa yakwe ifuma kwa Ruva. 6 Luvaha, kaka na dada zakwa, nani ungi na Apolo ngatumia kanuni sasi kwa ajili yamonu. Ili kwamba ifuma kwa monu modima ijifunza maana ya usemi, "Utaende saidi ya kilivyoandikwa." Hiyai ni kwamba kure umu wamonu ejivuna dooka ya ungiku. 7 Maana ni veivi edima adholia tofauti tofauti kati yafo na ungi? Ni choiki nacho wekiambilia bure? Shali edima idholia bure, choiki ure wekimbilia tofauti kati yafo, niikili mujivuna kola mtadhefanya ado? 8 Tayari muure vyoose ambavyo mvekundi! Tayari mdhe mekolia utajiri! Mleanza itavala- na kwamba mumiliki saidi yamodu sohoso! Loi, nawatakia umiliki mwema ili kwamba dumiliki pamoja naanyo. 9 Kwa hiyo ninadhani Ruva adheduvikiya soso na mitume sha idurora mwisho katika mstari sho wa maandamano na shali vandu valehukumiwa iwawa. Dwava shali tamasha kwa ulimwengu, kwa malaika na kwa wanadamu. 10 Soso ni vajinga kwa ajili ya Kristo lakini nyohonyo mure hekima katika Kristo. Tu vanyonge, lakini nyohonyo mutre ngufu. Mweheshimiwa, lakini sohoso vedusarau. 11 Hata dhuvaha durewe shaa na notra, dure nguo ku, dure mapigo, na tena dure makasi. 12 Dufanya kasi kwa bidii, kwa maoko yamodu duveni. Vakadusarau dwabariki. Wakati vedutesa, twavumilia. 13 Vakadudhahilya, dhedweeva kwa upole. Tumekuwa na duhesabiwa na kuwa shali kukataliwa na dunia na takataka kwa mambo yoose. 14 Ngeandika mambo yahaya ivahaibisha nyohonyo, lakini waulia nyohonyo sha vana vakwa ngivakundi. 15 Hata kola mure vaalimu mia na ikumi katika Kristo kure baba veengiku. Kwa kuwa ngidhe va ndia monu katika Kristo neitria injili. 16 Ado ngivasihi n`giigeni nani. 17 Yoyo niyo sababu ngidhemduma kwa mnu Timotheo, mpendwa wangu na mwana mwaminifu katika Bwana. Nevakumbura shia sakwa katika Kristo, shali ngangilevafundisha kila handu na kila kanisa. 18 Luvaha ha baadhi yamonu vejisifu, wakitenda kana kwamba ngilesha kwamonu. 19 Lakini ngiisha kwamonu kitamba, shali Bwana akakunda. Niilo ngemanya si machecha yamwao tiki vejisifu, lakini ngidhelolia nguvu samwao. 20 Kwa kfal ufalme wa Ruva ukeri katika machecha ukeri katika ngufu. 21 Mkundi shoiki? Ngishe kwa monu na fimbo au kwa upendo na katika roho ya uhoo?