Chamu 5

1 Namu kila kuhani mtue,aletalwa iduka kwafo kati ya vandu,nialelelalwa aimulee badala ya mwavo kwa findo femhusu Abaa,ili aidime la iduka kwa weri umi bakishishi na sadaka kwa ere ajili ya mbiao. 2 Nieidima uji mbirikamia mboha na vatiri na vaya veibishana namu fee mweni seke arimbitiwa na uolo. 3 Kwa sababu yali holi,niete wajibu wedua sadaka kwaajili ya mbiao sakwe shakundu erundia mbiao sa vandu. 4 Na tekwete mndu eiria eshima ihoi kwa ajili yakwe mweni, hata kuto badala yakwe ni lasima aamkuliwe na Abaa, shakundu alali Haruni. 5 Hatakuto Kristo taalejininga eshima mweni kwa ikatore, fee mweni ivaa kuhani ntue. Badala yakwe, Abaa nialeamba kwakwe, ''Ife ni kona wakwa, linu ngavaa auyafo''. 6 Shakundu aamba seke handu hengi, ''ife ni kuhani kirere baada kimeukia Malkizedeki.'' 7 Weri wa kipindi chakwe kali n moo, niale hembana ihemba, nialemhemba Abaa kwa msoru, kwauya eidima imuokoa na ifaa; Kwasababu ya unenyekevu kwakwe kwa Abaa, ni valemwishua. 8 Ijapo aveli kona, niavelijifunsa kwa findo fia fivelimninga ukivaa. 9 Nialekamilika na kwa njia ihoi alerundika kwa kila mndu emwishini ave kitevo cha wokovu wa kirere. 10 Kwa ivikwa kwasha na Abaa sha kuhani mtue baada ya melkizedeki. 11 Twete mengi eamba imhusu Yesu, hatakuto ni kidomari ivavia namu nyu mlivaleshi ihotania. 12 Japo kwa weri uhou kiveliva vaalimu,nado ni kwete umuhimu wa mndu ivafundisha mafundisho ho kumbelea kanuni sa iteta la Abaa.Mwehitaji maruva na shii chao kidomari 13 Kwakuto mndu wose uya erita maruva tiki teele usoefu katika ujumbe wa hakinnamu fee bado ni mwana. 14 Kwa ura ,chao kidomari ni cha vandu vazima,vaya ambao kwa sababu ya usoefu wa mwavo katika imanya tofauti ilifo kati ya haki na uvishwa ,vale fundishwa imanya ishaa na ivishwa.