Kihongi 23

1 Mkutano voha akanyimite wakamupeleka Yesu mbele ya Pilato. 2 Wakatumbule kumushutumu wakalongile ulimkata mundu yula akipotosha taifa litu kuukukana tusitoe kodi kw akulisali na akilongela kwamba yuene Kristo, Mfalme." 3 Pilato akankonyite alongile je wenga ni mfalme wa Wayahudi?" Na Yesu akajibwite akalongile wenga walongela naa." 4 Pilato akalongile kuhani mkuu na mkutano, nivonatendeka likosa mundu nyula." 5 Lakini wenga wakasisitiza wakalongile, wakavile vachole vandu avafundishe katika uyahudi vaha, kumbula na nchi avile pano. 6 Pilato akayuhine ghano akankonyite kama mundu yuni niwagahi laya? 7 Akatumbule kama akavile pahi yautawala waheleli, akampelike Yesu kwa Herode ambaye nae akavile Yerusalemu kwa masiko hizo. 8 Herode akamonite Yesu akafurahi sana kwa sababu akapalile kimvana masinjiko yamahe. Wakayuwine anda gena ulitamani kuvona mungaya nuiigiza alifanyo na yuene. 9 Herode alimuhoji Yesu kw amihalo mengi lakini Yesu akamujibwite yoyayula. 10 Makuhani mkuu pamonga na waandishi wakanyimite kw aukali wakamustaki. 11 Herode pamonga na maashari ghake wakunganite, kuvila maazi yamaha kisha akmludisha Yesu kwa Pilato. 12 Herode na Pilato wakawa marafiki kuanzia linjiko linu, kabl;ea wakavile maadui). 13 Pilato akawakemite pamonga na makuhani wakuu nawatawala na umati wa vandu, 14 wakalongolile munetile mundu yunyu kama mundu anaavalongosa vandu watendekee mabaya natazama baada yakulwegha nimemuhoji mbeye ghinu. 15 Hapana, wala Herode, kwa maana amemrudisha kwetu, na tazama hakuna chochote alichokifanya kinachistahili adhabu ya kifo. 16 Kwa hiyo basi nitamuadhibu na kumuachilia. 17 (Sasa, Pilato anawajibika kumuachilia nfungwa mmoja kw awayahudi wakati wa sikukuu). 18 Lkaini wote wakapiga kelele pamoja wakisema," Mwondoe huyo na tufungulie Baraba!" 19 Baraba alikuwa ni mundu ambaye amewekwa gerezani kwa sababu ya uasi fulani katika jiji na kwa kuua. 20 Pilato akawaambia tena, akitamani kumwachilia Yesu. 21 Lakini vene wakatovite, manguto wakinlongela," Musulubishe, musulubishe." 22 Akawakonyikihe kwa mara ya tatu kunikeyunu mundu chengite nike? Nihengite ndeka likosa linalostahili zabu ya kugwaye kweni kwa linop nitwa yomola kumwazibu ninekekea." 23 Lakini wakasisitiza kwa sauti ya kunani walitaka asulubiwe na auti gao zakamshawishi Pilato. 24 Hivi akamwihe kuwapatia kupala vaho. 25 Akamuachilia yula wakampaile ambayo wafungwite kwakusababisha gansi nankukoma lakini akavikite Yesu kwa matakwa yao. 26 Walipokuwa wakumpeleka mundu umonga ankamaye Simoni wa Ukerene, akitokea katika nchi wakamika muchalaba akakovokile Yesu. 27 Umati mlulungu wa vandu nawadala ambao uliuzika na kuombeleza kwaajili ghao wakuvile wakinko. 28 Lakini akiwageujele, Yesu akawalongolile mabinti wa Yerusalemu onokotokolila ninyi mwanamwane kwaajili ya vana vinu. 29 Tazama linchiko zivaya ambavyo wakilongelela wamebalikiwa wali ya tasa namatumbio yakupatite ndeka mavele amabyo hayayo kuyongesa. 30 Ndipo watupokutumbula kuwalongelela milima kughegha na vilima kugubukili maana kama waki. 31 Maana wahenga mambo ghano ikiwa mkongo mubichi itavile mkavu?" 32 Vagosi vange, wahalifu vavina walipelekwa pamonga naye ili wankome. 33 Wakavunyite mahali wakema moyo funzo na muto ndipo yakamshulubisha pamonga na vala wahalifu umonga upande wa kulila naghongi upande wa kushoto. 34 Yesu akalongile,"Tati uchomole ku kuviegha watendali nao wakotovite kula kugawa mavazi ghake. 35 Vandu wakavile wakunyite wakanolokea kunu watawala kuzihaki, wakilongela waliwaokoa vangu hinaha sasa ajiokoe wamwene kumayuene Kristo wa Chapanga, mteule." 36 Askari pia walimuzalau, walimkaribisha yuene na wakupaka siki, 37 wakalongela kama wenga la mfalme wa wayahudi jiokoe wamwene" 38 Kukavile alama kinani ghake iliyoandikwa yenu NDI MFALME WA WAYAHUDI." 39 Umonga wa waalifu iliyosulubisha wakanighita akilongela wenga sistotojioko wa mwene na twenga." 40 Lakini yula yongi akajibwite ankoke mele na ukilongelela je wenga? 41 Twenga tuvile pano kwahaki kwamana twenga tupokela kila tunapostahili kwa matendotendeku ilikivi kibaya.'' 42 Na aliongeza," Yesu ungumbukaye litakapoyingila katika ufalme ghako." 43 Yesu akanongalile," Amini nongangolela leo nyinu navaye pamonga na nenga paradiso." 44 Pano ilavile karibu saa tisa livindu tuvunyite kunane ya nchi yoha sabatisa, 45 mwanga wa jua wahimite rusha pazia la hekalu likagawanyike katika tumbula kunani. 46 Akilia kwa sauti kolongwa , Yesu alallongile tati umavoko ghako nighuvikate loha ghango baada ya lulungela ghanu akahule. 47 Wakati akida akavone yakatendike akatukuzwe chapanga akalongilile hakika mundu yunu ekavile yuene haki." 48 Wakati umati wa vandu wavavinyite pamonga kushuhudia wakalolite wakivuke pamambo alihengite alakiluke kutova vifua zao. 49 LaKini marafiki zake na vadala wakukovile kuhuma galilaya wa kunyimite kuukutali wakilolokea mambo ghono. 50 Tazama pakavile na mundu aitwaye Yusufu, ambayeni umonga wa baraza mundu wamcha na mene haki. 51 (Akavile hajakubaliana na waunzi au matendo ghoo kuhuma Arthamaya muji wa kiyahudi ambayo akivile ukisubilia wa Chapanga. 52 Mundu yunu elimukurabia Pilato akayupite mwele wa Yesu. 53 Alishusha na akazungukia sanda akavite katika likaburi ilikohuwu limechongwa katika liganga, ambalo hakana aliyowahi kuzikwa. 54 Ikavile linjiko ba maandalizi na sabato inakalibia. 55 Wanawake, waliokuja nao kutoka Galilaya, walimfuata, na wakaona kaburi na jinsi mwili wake ulivyolazwa. 56 Warirudi na kuanza kuandaa manukato na marashi. Kisha siku ya sabato walipumzika kwa mujibu wa Sheria.