Kihongi 4

1 Basi Yesu pamanyite kuwa mafarisayo vayohini kuwa Yesu alikuwa anafaa sana kuwabatiza zaidi ya Yohana, ( 2 ingawa Yesu yueni akavile ibatiza ndeke ila wanafunzi vako), 3 akavukite Yudea na akaywavila kugalilaya. 4 Hivyo ikavile Yudea na akayenda kusammalia. 5 Na akahikite kumuse wa Samalia vuvukema SAikali, karibu nalieneo ambalo Yakobo akapetite mwamundu Yusufu. 6 Na kilive cha Yakobo kikavile apa Yesu akive atokile kwajili ya safari na atamite karibu na kiliva ikavile muda wa pamuhi. 7 Nara mchamalia akavuyite kuteka mase na Yesu akanongolile,"Upikie masi unyweshe." 8 Kwa sababu vanafunzi vake vakiva vayahwile kunyini kuhemela poso. 9 Yula nara akanongolila,"Ivivole wenge Myahudi, unyope nenge nala wa Kisamaria, kitu cha kunya?" 10 Yesu akajibwite hambuka wimanya kalama ya Chapanga , na yula yukulongelela, ni ghani upikee masi, ngauyupa na yuene ngakupelile masi gha uzima." 11 Nara yula akajibwite Bwana uvinako ndeke ndoo ya kuteke;la masi na kiliva ni kitundamaha naupata kugha masi gha uzima? 12 Je wenge nkulanga kuliko Tati wito Yakobo, ambaye ywatupalile kiliva eke, na yueni mwenyewe na vana vake pamonga na mifugo yake vakangwile masi gha kiliva hiki?" 13 Yesu akajibwite yupala kunywegha masi agha andapataye kavee kiu , 14 lakini yuene ywipala kunywe sha masa aga ghinipala kumpala napala kavii yii kiu badala yake masi ghinimpala kupela na ghaviaye chemichemi yiyibubujika hata milele." 15 Yula nala akanongolile,"Bwana niyuopa masi agha ili mabata kupata kavina kiu, ngotakakuvuya kavina kuhangaika kuvuya kivina kuteka masi." 16 Yesu akanongolile uyenda ukankoma nganawaka kisha uvuye." 17 Nara akanongalile minako ndeka ghose Yesu akanyibwite, ulongile ya mbone uvinako ndeka ghose.' 18 kwa maana uvinagosi uhano na uyuywa uvinayo hinaha ngana wako ndeke katika ele ulongile kweli!" 19 Nara yula akanongolile bwan ni nghani wene ni nabii. 20 Vakatati vitu vakaabudiaye nema ogho.Lakini mwenga nilongela ya kuwa Yerusalemu ndio sehemu ambayo vanda nipaswa kuabudu." 21 Yesu akanyibwite nara yula , niamini wakati unakuja ambapo hatakumwabudu tati katika nema ogho au Yerusalemu. 22 Mwenga vandu niabudu changamanya, lakini twenga tuabudu kila kiliamani, kwa sababu uwokovu wihuma kwa wayahudi." 23 Hata hivyo wakati ghivuyo na himaha uvile apa, wako waabudu kweli watamwabudu tati katika roho na kweli kwa Tati avapalaha vandu vanama eye kuwa vandu vake vivimwabudu. 24 Chapanga ni Roho na vala vivi mwabudu vipaswa kumuabudu kwa roho na kweli." 25 Nara aka akanongalile, manyite kuwa masihi ivuya( Yuvikana Kristo). Oyo pipala kuvuya andatulongelelelaye ghoho." 26 Yesu akanongalile nenge yuwilongela naye ndina mwane." 27 Wakati ghoghogho wanafunzi vake vakavuyite na vene vakakangise kwa nike akavile ilongela na vanala, lakini avile ndeke yuasubwile ndeke yuasubwite kukonyekeha," wipala nike? Au kwa nini wilongela naye?" 28 Hivyo nala yola akalekite uhulu vyake na akayuywile uhuru vyake na akayavywile kunjini na kuvalongolela vandu, 29 "Muye munole mundu ywanongilile mihalo yangu yoho yandandite, iwekana iwesa kuviegha ndio Kristo?" 30 Vavukite kujini vayavwile kwa ywene. 31 Wakati wa pamuhi vanafunzi vake vakachihiti vakalongile,"Rabi ulyeghe ughale." 32 Lakini yuene akavalongolile nenga minako ughale wangamanya mwenga." 33 Wanafunzi vakajadiliana avindeka yuanetile kileva choa chela je vakalekite?" 34 Yesu akavalongile,"Ughalu wangu ni kughafa ya mapenzi ghangu yuene mwandumite na kutimiza mahengo ghake. 35 Je nilongela ndeke amila niche uhano na mavuko naghaviye tayari nonongelela nolaya mighonda yiyivile tayari kwa mavuno! 36 Yuene yuibena ipokala misho la kukusanya watunda kw aajili ya uzima wa milele, ili kwamba yuene apandaye naye avunaye wafulaji pamoja. 37 Kwa kuwa nchemo ogho ni wa kweli yumonga ambanda na yunge avuna.' 38 Nikavumite kumbena ambacho hamkuhikia vange uhengite mahebgo ni mwenye nyingile katika furaha ya mahengo ghave." 39 Vasamalia vamahele katika musi ghola valimwengu kwa sababu ya taarifa ya yula nara ywakovile akishuhudia ghanongile mihalo yoha ghanudendite. 40 Hivyo wasamalia pawayuyite vakachihite atama pamonga nao na kalamite kwave kw asiku ivena. 41 Na vamahela zaidi wakamwamini kw asababu ya uhalo wake. 42 Vakanongile yula nara,"Tuamini sio tu kwa mihalo yako, kwa sababu sisi wenyewe tuyohine na hinaha tumanyite kuwa hakika yuene ni mwokozi wa ulimwengu." 43 Baada ya manjoka agha mavena, akavukite nakuyenda kugalilaya. 44 Kwa sababu yuene mwenyewe akavile atendikihe kuvyegha nabii avinako ndeke heshima katika nchi yake yuene. 45 Payuvile kuhuma kugalilaya wagalilaya vajkankalibise vakavile vakalolite mihalo yoha yatendite kuyaresulemu kusikuu, kwa sababu vene pia vakavile vakahudhurie kusikukuu. 46 Akavuyite kavina kana ya Galilaya Lewenoko kwa badilisi masi kuvyegha divai. Pavavile afisa ambayo mwana wake akile ntamwa oko kafara na umu. 47 Akayohikite kuwa Yesu ahumile Judea na kuyenda Galilaya, akayuvile kwa Yesu nakuchihi ahelele apanye mwanamundu akavile karibu kuhwegha. 48 Ndipo Yesu akanongalile ,"Mwenga changalal ishara na maajabu miwesa yii kuamini. 49 Kiongosi akalongile,"Bwana uhuhikaye kabla mwana wangu anavywegha ndeka." 50 Yesu akanongalile,"Yendaye mwana wako ni mzima."Yola mundu akaamini uharo walongile Yesu akaenda zake. 51 Akavile pihelela, watumisi vake vakampokile na kunongela mwana wake akiva mzima. 52 Hivyo akankonyikie ni muda ghani akapatite nafuu vakanyibwite luso munda wa saa saba homa yikanekite." 53 Ndipo baba yake akamanyite kuwa ni muda ghaghola Yesu akalongile,"Mwan wako ni mzima hivyo yuene na familia yako vakaamini. 54 Eye ikiva ishara ya pili yatembile Yesu pavukite Yudea kuyenda Galilaya.