Morengo 7

1 Vapende vane kwa fara kore na ahadi iji na kwetakase chavene kwa kila jambo ambalo rekokojesha ova vachafu kore mevere yeento na kore mwoo yeto na koosakera utukufu kore hofu ya Molongo. 2 Jinsi nafasi kwaajili yeto! tekwamofenerya monto wowonse tekwaefumnufaisha kwa faida ya moto 3 wowonse.Kaloasa jeo tere laua kw agfara nturirye olosa kwamba ne mwoyu yeto more korosie sie okuya famo na wishi famo. 4 Tete ujasiri mwenge nyombi nyanu na newevuna kende kwaajili yanyu jijoliwe ne faraja jijoriwe ne furaha ba katekate ya mateso eto sonse. 5 Kwaaja Makedonia, mevere yeti leyava na pumzi. Badala yachwe kwatola taabu kwe mmamuna jonse kw akotowa vita opande wa nje na hofu upande wa nyombi. 6 Lakini Molongo wandafariji vara vakata tamaa wakofariji kwa ajili ya Tito. 7 Teyava kw aujio wchwe tu kwamba Molongo wakofariji yava pia Lakini faraja jira Tito aajisokera osuma korenyee wee wakwera opende monene morenoo. Huzuni yanyu na mokeva na wasiwasi kwaajili yane joo zidie ova na furaha zaidi. 8 Hala ekeva faragha yene wavajisha osikitika nee sikujera lakini newajatera kende pende nona waraka oo wajisha nyee ova na huzuni. lakini mwava na huzuni kwa muda mole. 9 Fafa tete furaha tere kw afara mwise na shida laki i kw afara huruni yanu yavareka na kore toba mwalola na huzuni ya kiungo joo nateswa tere kw ahasara kwa sabaabu yanyu. 10 Kwa fara huruni ya kiungu oreta toba ambayo okamilisha wokovu bila ya ova na majuto husuni ya weerwi bao joo oreta mauti. 11 Laana huzuni ee ya kianga yayarya azima kee nene nyumbi yanyu jnsikee azma yava nene nyombi yanyu ozibitisha ova temwava na hatia kw ajinsi kee osongo wanyu wava monene. Hofu yanyu maatamanio anyu bidii yanyu na shauku yana wona kwamba haki nipashwa atendeke! kere kila jambo nozibitisha nyawene kokesava na hatia. 12 Ingawa navandeka nyee sendeka kwa ajili ya oro ofaniriye wala tere kwa monto wateswa na maovu naandeka ili kwamba udhatiwa huwoo yanyu kw ajili yeto ajishiwa ojulikana korenye mbere ya meiso a Molongo. 13 Ne kwaajili ya ee kwamba nofarijiwa kokende kore nyongez ya faraja yelo shavene nofurahi kokende pia baa zidi kwafara ya furaha ya Tito kwa fara moo wachwe wa burudishwa na nyee vonse. 14 Kwa fara kane nevua korewe husiana na nyee fava na soni . kenyume chachwe kempero tu kila neno kwarelosa korenye rava chadi majiima eto kuhusu nyee kwa Tito yazibitisha oava chadi. 15 Upendo wachwe kwa ajili yeto ba nee monene mono kempero andakomboka otii wenu nyote jinsi mwamokamilisha wee kwa hofu na osingisa. 16 Nofurahi kende kwa fara tete ujasiri kamili nyumbi yanyu.