1 Mabwana dinyani kwa watumwa mambo ya hakina ya adiri nammenya pia kwamba mnae Bwana wa mbinguni. 2 Endeleani kuwa dhabiti katika maombi kalani mendo kwa leso kwa shukurani. 3 Ombani ni vamwe kwa ajili ya neno kwamba siri ya kweri ya Kristo. Kwasababu ya neno ikovwa miuyororo. 4 Voeani kwamba niweze kureka wazi kama ogo inipasa kwamba. 5 Enda kwa hekima kwa ara maesa na mukombole wakati. 6 Maneno yenu makale naneema wakati wowote makolee munyu majila onde ili kwamba mweze kumenya jinsi ikwapasa kumjibu motu. 7 Kwa mambo manihusu inye Tikiko asaaketa mamenyekana kwenyu.Warewe ni ndugu akwendwa,Mtumishi mwaminifu,namtumwa aruetu kwa Bwana. 8 Ningemtoma kwenu kwaajili ya revi,kwamba mweze kumenya mambo kuhusu ije na pia kwamba aweze kuwadongoja ngoro. 9 Ningumtoa mavamwe na onesimo,ndugu yete akwendwa mwaminifu,na omwe wenu,masaela gito chadumela ava. 10 Aristarko marwa aluwakwa,na kwakeja,pia na Marko binamu yake Barnaba mwamvokela utaratibu kuduma kwake kama akesa kweu,mvokela," 11 Na pia Yesu akwetwa Yusto.Aya mawengwa wa tohara niya keta kazi angetu kwa sera ya ufalme wa Mrungu.Makala ni faraja kwakwa. 12 Epafra na kwakeja,warewe omwe wenyu mtumwa wa Kristo Yesu warewe na keta bidii kufanya maombi kwaajili yeno kwamba mweze kurama kwa ukamilifu na kuhakikishwa kiukamilifu na mapenzi yonde ya Murungu. 13 Kwaogo ningu mshuhudia,kwamba naketa kazi kwa bidii kwaajili kwaosomawavayo Mierapoli. 14 Luka ora tabibu akwendwa ,na dema nama kwa keja. 15 Kwakeja ndugu shakwa makelevo Leodekia,na nimja ,na kanisa rerari nyombani kwake. 16 Barua eneo ikisomwa miongoni mwenu,isomwe pia kwa kanisa la walaodekia,imwi pia haki kishani namnyi soma ela barua kuduma Laodekia. 17 Amba kwa Arkipo,lolaela huduma ambayo ivokelwa katika Bwana kwamba ipaswa kutimiza." 18 Salamu eneo ni kwa koko kwakwa mwene Paulo kumbukani minyororo yakwa.Neema na ikale na imwi.