Sura 3

1 Ikikala kenja Mrungu akuafufula vamwe na Kristo alacheni mambo ya ora ambako Ktisto akala koko kwakuroma wa Mrungu. 2 Fikirini mambo ya ora seo mambo a duniani. 3 Kwa kukala mkogwa na maisha enyu mavidwa vamwe na Kristokatika Mrungu. 4 wakati Kristo akionekana ambayo ni maisha yenyu ndevo imwi msaonekana nake katika utukufu. 5 Kwa ogo avideni mambo marevo katika endiyaani zinaa uchafu shauku nia mbei na tamaa ambayo ni ibada ya sanamu. 6 Ni kwa ajili yamambo ayo ghathabu ya Mrungu naikusa oru ya ana matiatii. 7 Ni kwa ajili ya mambo ayo imwipia muheha kwa aso na mkaishi kati yenyu. 8 Lakini ndevo muyaachi mambo aso onde, vaanighathabu hasira , nia mbei matusi na maneno matokayo maduma miromoni mwenyu. 9 Titie kengana imwi kwa imani kwa kukala mkuudora utuwenyu wa kara na matendo ake. 10 Mgui ova utu movya ambao naketwa ovya katika maarifa kwa mfano wa ura aamba. 11 Katika maarifa aya takarimyunani walamyahudi kutahiliwa na kuto tahiliwa msomi na atari msomi mtumwa na atari mtimwa lakini badala yake Kristo ni mambo onde katika onde. 12 Kama ateule a Mrungu atakatifu malachwa iyoveri utu mzuri ukarimu unyenyekevu upole na uvumilivu. 13 Gweranani imwi kwa imwi hurumianeni kila motu na aru ake kama motu analalamika zaidi ya wongi umsamehe kwa jinsiera era kama ura Bwana aasamehe imwi. 14 Zaidi ya mambo aya onde mikale na upendo ambacho ndechokigezo cha ukamilifu. 15 Amani ya Kristo na iwalongoze ngoroni mwenyu ikeri ni kwa ajiliya amani eno kwamba mkweta katika mweri womwe mkale na shikurani. 16 Na neno ra Kristo rikale ndeni yenyu kwautajiri kwa hekima yondefundishaneni na kushauriana imwi kwa imwi kwa zaburimaravo na maravo a ngoroni ina kwa shukurani ngoro shenyu kwa Mrungu. 17 Na chochote kira mketa katika maneno au katika matendo keteni onde katika jetwa la Bwana Yesu mooveni shukurani Mrungu Papa kupalela warewe. 18 Aka anyenyekeeni arome enyu kama ogo ikwayera katika Bwana. 19 Na imwi arome aendeni aka enyu na mtiekala akali uro yoo. Ana anaheshimuni asheri enyu katika mambo 20 onde maana ndego shimfuaija Bwana. 21 Akina Papa mtiekuwachokoza ana enyu ili mtiekata tamaa. 22 Atumwa atiini mabwana shenyu katika mweri kwa mambo ondeseo kwa huduma ya medo kama atu mafurahisha tu bali kwa ngoro ya kweli msesini Mrungu. 23 Chocote kura mkete ketani kuduma nafsini mwenyu kamakwa Bwana na si kama kwa wanadamu. 24 Na mwenya ya kwamba msavokera tunza ya umilikaji kuduma kwa Bwana. Ni Krisro Bwana timtumikira. 25 Kwasababu yoyote aketa maseohaki asavokera hukumu kwa matendo matari hakiaaketa na takuri upendeleo.