1 Wakati mwana ng'ondi akifungua muhuri ya saba kuka na ukimya mlungunyi takribani nusu saa. 2 Kisha nikawona malaika saba wasimama imbiri ya Mlungu na wakanekwa tarumbeta saba. 3 Malaika umwi akcha wawadiria bakadu ya dhahabu yekona uvumba, wasimama madhabahunyi. Akanekwa uvumba mwingi ili kwamba agufunye pamoja na malombi ga waamini wose katika madhabahu imbiri ya kifumbi cha enzi. 4 Mosi gwa guja uvumba achukumweri na malombi ga waamini gakajoka igu imbiri ya mlungu kufuma mkonunyi mwa malaika. 5 Malaika akawusa bakuli ja uvumba na akajichura modo kufuma kuko madhabahu. kisha akajidaga ndonyi igu ya isanga, na kukafumiria sauti ra radi, miale ya radi na tetemeko ja isanga. 6 Waja malaika saba ambawo warikogo na tarumbeta saba wakaka tayari kurikaba. 7 Malaika wa kwanza akaikaba tarumbeta yake, na kukafumiria mvua ya magwe na modo gwachanganyikana na mbaga. vikadagwa ndonyi katika isanga ili kwamba theluthi yake iye, theluthi ya midi ikaya na nyasi rose ra kijani rikaya. 8 Malaika wa kawi akakaba tarumbeta yake, na kilambo kama lugongo mbaha gwarikogo gudya kwa modo gukadagwa baharinyi. Theluthi ya bahari ikaka mbaga, 9 Theluthi ya viumbe mbanana katika bahari vikafwa, na theluthi ya mdi rikanoneka. 10 Malaika wa kadadu akaikaba tarumbeta yake, na nyeri nyeri mbaha ikangwa kufuma mlungunyi, ikimulika kama kurunzi, igu ya t6heluthi ya mieda na chem chem ra machi. 11 Irina ja nyeri nyeri ni pakanga. Theluthi ya machi ikaka pakanga, na wandu wengi wakafwa kutokana na machi garikogo gabirie. 12 Malaika wa kana akakaba tarumbeta yake, na theluthi ya iruwa ikakabwa, anduku amweri na theluthi ya mweri na theluthi ya nyeri nyeri. Kwa huwo theluthi yavose ikaguka kuka kira, theluthi ya dima na theluthi ya kio ndavikea na mwanga. 13 Nikanguwa na nikasikira tai eko kuwa adamburuka katika anga, akiwanga kwasauti mbaha, "Ole, ole, ole kwa waja wakaga katika isanga, kwa sababu ya mlipuko gwa tarumbeta ili ilio saidia ambayo yeko wakikukaba nawika wadadu.