Sura 7

1 Baada ya ga nikawona malaika bana wasimama koko kona ina ra dunia, wazuia mbeo inara isanga kwa ndigi ili kwamba kusake na mbeo ivumaga katika isanga, igu ya bahari au dhidi ya mdi gogose. 2 Nikawona malaika umwi akicha kufuma mashariki, arikogo na muhuri gwa Mlungu eko mbanana . Akalila kwa sauti mbaha kwa malaika bana ambawo wanekiwe ruhusa ya kudhuru isanga na bahari: 3 "Msadhuru isanga, bahari au mdi mpaka anduikaga dameria kuwika muhuri katika paji ra vingo va watumishi wa Mlungu wedu." 4 Nikasikira idadi ya waja wakugwa muhuri 144,000, ambawo wakubwa muhuri kufuma kila mbari ya wandu wa Israeli. 5 12 ,000 kufuma katika mbari ya Yuda wakubwa muhuri 12,000 kufuma katika mbari ya Rubeni, 12,000 kufuma katika mbari ya Gadi. 6 12 ,000 kufuma katika mbari ya Asheri, 12,000 kufuma katika mbari ya Naftali 12,000 kufuma katika mbari ya manase. 7 12,000 kufuma mbari ya simoni, 12,000 kufuma mbari ya kawi, 12,000 kufuma mbari mbari ya isakari, 8 12,000 kufuma mbari ya Zebuloni, 12,000 kufuma mbari ya Yusufu, na 12,000 kufuma mbari ya Benyamini wakumbwa muhuri. 9 Baada ya malago aga nikanguwa, na kwarikogo na umati mbaha ambago ndakudae mndu wadima katadigwa - kufuma kila isanga, mbari, jamaa, luga - wasimama imbiri ya kifumbi cha enzi na imbiri ja mwana ng'ondi. Warikogo warwa kanzu achokwa na wokona matawi ga mitende mikonunyi kwawe, 10 na warikogo wakiwanga kwa sauti ya igu "Wokovu ni Mlungu ambaye waka katika kifumbi cha enzi, na kwa mwana ng'ondi!" 11 Malaika wose warikogo wasimama kuzunguluka kifumbi cha enzi na kuwazunguluka waja wazee andukuamweri na wekona mbanana bana, wakigogoma ndonyi ndeonyi na wakiwika wushu rawe igu ya ndoe imbiri ya kifumbi cha enzi na wakimwabudu Mlungu, 12 Wakideda, "Amina! utukufu, hekima shukurani, heshima, uwezo na ndigi vike kwa Mlungu wedu milele na milele Amina!| 13 Kisha umweri wa waja wazee akanikotia, "awa ni wakani warwa kanzu rachokwa na wafuma hao? 14 Nikamgoria, "Mzuri mbaha, waichi we," na akamgoria, "awa ni waja wafuma katika dhiki mbaha. Warifala kanzu rawe na kuribonya rachokwa kwa mbaga ya mwana ng'ondi. 15 Kwa sababu ihi, weko imbiri ya kifumbi cha enzi cha Mlungu, na wanamwabudu ye kio na dima katika hekalu jake. Ye waka igu ya kifumbi cha enzi asambazaga hema yake igu yawe. 16 Ndawawonaga njala sena, wala kau sena. Iruwa ndijiwakoraga, wala joto ja kukora. 17 Kwa kuwa mwana ng'ondi eko gadigadi ya kifumbi cha enzi akaga mlisha wawe, na adima waongoza katika chem chem ya machi ga mbanana, na Mlungu ainjaha kila mbori katika meso gawe."