1 Ninekiwe mweri gwa kutumia kama changu cha kupia. Nikagoriwa, "Inga na ugende pima hekalu ja Mlungu na madhabahu, na waja waabudu ndenyi yake. 2 Ela asapime iyenzo ja ua gwa shigadi ya hekalu, kwakuwa wanekwa wandu wa mataifa. Waguwa digamzi mtakatifu kwa muda gwa mieri orobaini na iwi. 3 Niwanekaga mashahidi wapwa wawi mamlaka ya kutabiri kwa muda gwa maruwa 1,260, wakika warwa mkugumia. 4 Awa mashahidi ni midi iwi ya mizeituni na vinera viwi ambavo va simama imbiri ya wana wa dunia. 5 Kama mndu yeyose akaamua kuwadhuru, modo gufumaga momunyi kwawe na kuwadhuru adui rawe. Yeyose akundi kuwadhuru ela abwagwe kwa chia ihi. 6 Awa mashahidi wekona uwezo gwa kufunga anga ili kwamba mvua isanye wakati wadatasiri. Wekona ndigi ya kubadili machi kuka mbaga na kuikaba isanga kwa ahija aina ya kipigo wakati gogose waka kunda. 7 Wakati wakaka wamaria ushuhuda gwawe, uja mnyamandu afumaga kuko ishimo jiseko na mwisho abonyaga wada dhidi yawe. Awashindaga na kuwabwaga. 8 Miwi yawe ilalaga katika mtaa gwa mzi mbaha (ambago kimfano gwa wangwaga sodoma na Misri) ambapo Mzuri wawe wasulubiwa. 9 Kwa siku idadu na nusu baadhi kufuma katika jama ra wandu, mbari, luga na kila isanga wanguwaga miwi yawe na ndawafunyaga kibali kwikwa katika kaburi. 10 Waja wakaga katika isanga wamboriwagwa kwa ajili ya we na kushangilia, hata kudumuana zawadi kwa sababu awo walodi wawi wawatasa waja wakaga katika isanga. 11 Ela baada ya siku idadu na nusu pumzi ya mbanana kufuma kwa Mlungu ikawangia nawo wakesimama kwa magu gawe. Hofu mbaha ikawanguya waja wawa wonga. 12 Kisha wakasikira sauti mbaha kufuma mlungunyi ikiwagoria, "chonyi kunu" Nawo wakagenda igu mlungunyi katika indulu, wakati adui rawe wakinguwa. 13 Katika saa iyo kukaga na tetemeko ibaha ja ndoe na imweri ya ikumi ya mzi ingwagwa. Wandu elfu saba wabwaga katika tetemeko na wasabakiaga mbanana waboshigwaga na kumneka utukufu Mlungu wa mlungunyi. 14 Ole ya kawi ikaida. Nguwa! ole ya kadadu idacha upesi. 15 Kisha malaika wa saba akakaba tarumbeta yake, na sauti mbaha ikadeda mlungunyi na kugora, "Ufalme gwa dunia gwake ufalme gwa Mzuri wedu na gwa Kristo wake. Atawalaga milele na milele." 16 Kisha wazee ishirini na bana warikogo waka. Kifumbi cha enzi imbiri ya Mlungu wanganye wani ndonyi kuko ndoe, wushu gwawe ragogoma ndonyi, nawo wada mwabudu Mlungu. 17 Wadadeda, warikogo, kwa sababu watwaa ndigi yako mbaha na kwanza kutawala. 18 Mataifa wakerea, ela gadhabu yako idacha. Wakati gwafika wafu kuhukumiwa na we kuzawadiwa watumishi wako walodi, waamini na waja weko na hofu ya irina. Na wakati gwako gwafika gwa kuwanona waja ambawo waka wakonona dinia." 19 Kisha hekalu ja Mlungu mlungunyi jikawikwa mweri na isanduku ja agano ni miali ya mwanga, jongo, ngurumo ra radi, tetemeko ja ndoe na magwe ga mvua.