1 Sauli warikogo makubalionyina kifwa chake. Ituku ijo niko aanzie kuwatesa kinyume cha ikanisa jiko Yerusalemu, na waaminio wose watawanyikie katika majimbo ya yudea na samaria, isipokua mitume . 2 Wandu wachamlungu wamrikie stephano na kubonya maombolezo mabaha igu yake. 3 Lakini sauli wajidhwne sana ikanisa, Wagendie nyumba kwa nyunba na kuwaburutashigadi waka na womi, na kuwadaga igerezenyi. 4 Waaminio ambawo wakogo watawanyika bado wajihubirie idedo. 5 Filipo akasema katika muzi gwa samaria na akamtangaza kristo uko. 6 Baada ya makutano kusikira na kuwa na ishara alibonyie filipo, wakawika umakini igu ya chija wachideda. 7 Kufuma aho wadu wengi wasikare pepo wachama wawafumie wandu uku wakilila kwa sauti mbaha, na wengi waololie na viwate wabaisiwe. 8 Na kwa rikogo na kuboirwa kubaha katika muzi. 9 Lakini kwerikogo na mundu umweri katika muzi guja riha jake ni simoni ambaye werikogo akibonya usawiambago wagutumae kuwashangaza wandu wa isanga ja samaria, wakati wakudeda kugora ye wi mundu muhimu 10 Wasamaria wose tengu mtini hata mbaha, wakansikiria wakadeda;mundu uyu ni ija naligi ya mlungu ambayo nimbaha.'' 11 Wakemsikiria, kwa kugura wawashangaziekwa mda mlacha kwa usawi gwake. 12 Lakini wakati kumeria kuamini kuwa filipo wahubirie igu ya uzuri gwa mlungu na igu ya irina sa Jesu kristo, waabatiziwe womi kwa waka. 13 Na simoni mweni waaminie'. baada ya kubatizwa, waendelee kukaria na filipo kuona ishara na mrujiza ikogo ikibonyeka, washangaie. 14 Wakati mitume ya yerusalimu kusikira samaria yabokera idedo ja mlungu, wakawaduma petro na yohana. 15 Wakati wakisea wakawalombia kwanba wabokere Roho mtakatifu . 16 Mpaka muda ugo, Roho mtakatifu werikogo ndawashukie hata wawo warikogo tu wabaatiziwe kwa irina ja Bwana Jesu. 17 Niko petro na yohana wakawawikia mikonu, nawo wakabokera Roho mtakatifu. 18 Wakati simoni kuwona kwamba Roho mtakatifu wafunyigwa kuidia kuwikiwa mikonu ni mitume, akakunda kuwaneka magome. 19 Akadeda ''Ninekenyi ihi ndigi, illi kila ni mwii kiga mikonu awokere Roho mtakatifu.'' 20 Lakini petro akamzera, magome ga kio andu kumweri na we lagaria kila, kwa sababu wadhani kugora karamea ya mlungu yapatikanaga kwa magome. 21 Ndudae eshemu katika itago iji kwa sababu ngolo yako siyo myoofu imbiri ra mlungu. 22 Huwo basi tubu mawiwi gako na kulomba mlungu labda wadima samehewa fikra ra ngolo yako. 23 Kwa kugora nawana uko katika sumu ya uchungu na kifungo cha zambi." 24 Simoni akajibu na kudeda, "Mlombienyi Mzuri kwa ajili yapwa, kwa kugora malago gose mwaria gadima kufumiria. 25 Wakati Petro na Yohana warikogo washuhudia na kuhubiri idedo ja Mzuri, wawie Yerusalemu kwa chia iyo, wahubirie injili katika vijiji vingi wasamaria. 26 Basi malaiaka wa Mzuri akadeda na Filipo na kudeda, "Angaza na ugende kusini katika chia igendaga ndonyi ya Yerusalemu kuelekea Gaza." (Chia ihi iko katika ijangwa). 27 Akaangaza na kugenda. Ngowa, kwarikogo na mundu wa Ethiopia. Awikiwa igu ya hazina yake yose, na ye wakogo wagenda Yerusalemu kuabudu. 28 Warikogo akiwua wakaia igarinyi kwake akisoma chuo cha nabii isaya. 29 Ngolo akadeda na Filipo, "Sogea karibu na igari iji ushikamane najo 30 Huwo Filipo akagenda isege, akamsikira akisoma katika chuo cha nabii isaya, akadeda, Je, waichi uchisomaga?" 31 Muethiopia akadeda, "nidimaga wada mundu akalemwa nilongoza?" 32 Idana ifungu ja maandiko akogo akisoma muethiopia na iji, kuchinjwa, na kama ng'ondi wanyarie kimya, ndafungue momu: 33 kwa kuhuzunishwa kwake hukumu yake yainjigwe: Nani wadimaeleza kivazi chake? maisha gake adaariwa habari rake gainjigwa katika isanga." 34 Huwo towashi akamkotia Filipo, na kudeda, nakulomba, ni nabii uyao ambaye adaariwa habari rake, ni kuhusu ye, au ra mundu mzima"?. 35 Filipo akaanza kuaria, waanzie kwa iandiko iji ja isaya kumhubiria habari ra Jesu. 36 Wakika chienyi, wakafika machinyi, towashi akadeda, "Ngowa, kuko na machi aha ni ndoi chizuia nisabatizwe?, 37 Madedo aga, "Huwo muethiopia akajibu "naamini kwamba Jesu Kristo ni mwana wa Mlungu, ndageko maandikonyi ya kala). Niko muethiopia akaamuru igari jisimame. 38 Wagende ndenyi ya machi, andukumweri Filipo na Towashi, Filipo akawambatiza. 39 Wakati wafuma machinyi, Ngolo wa Mzuri ikamgenja Filipo kula, towashi ndembonie, akagenda chia yake akishangilia. 40 Ela Filipo akafumiria Azoto. Waidie mkoa uja na kuhubiri injili katika mizi yose mpaka mkafika.