Sura 4

1 Wakati Petro na Yohana warikogo wakiaria na wandu, makuhani na mlindiri wa ihekelu na masadukayo wakawagendie. 2 Warikogo waudhika nanganyi kwa sababu Petro na Yohana warikogo wawafundisha wandu kuhusu Jesu na kutangaza igu ya kufufuka kwake kufuma kwa wafu. 3 Wawadie na kuwawika igerezanyi hadi asubuhi inugirie, kwani tayari yakogo kwenji. 4 Ela wandu wengi warikogo wasikira ujumbe warikogo waamini, na idadi ya womi wakogo waamini wakadiriwe kuwa elfu isanu. 5 Hata kufika asubuhi ituku jinugurie, kwamba wabaha wawe, wagosi na waandishi, kwa andu kumweri wakubanyikie Yerusalemu. 6 Anasi kuhani mbaha warikogo, na kayafa, na Yohana na Iskanda, na wose warikogo ni mbari wa kuhani mbaha. 7 Warikogo wawawika Petro Yohana gadi yawe, wawakotei?" 8 Kisha Petro, akiwa wachua Ngolo mtakatifu, akawazera, "Inyo wabaha wa wandu, na wagosi, 9 Kama isi ituku ja linu dahojiwa kuhusu itendo jiboie jibonyigwa kwa mundu uyu mkongo - kwa namna ki mundu uyu wabonyiwe mlazi? 10 Hebu jimanyikane ijo kwenyu na kwa wandu wose katika Israeli, kwamba kwa irina ja Jesu Kristo wa Nazareti, ambaye mwasulubishwe, ambaye Mlungu wamfufue kufuma kwa wafu, ni kwa chia yake kwamba mundu uyu wasimamie aha imbiri yedu akika ekona afya. 11 Jesu Kristo ni igwe ambajo inyo wajenzi nawajimenyie, ela ambajo jabonyiwe kuwa igwe ibaha ja pembenyi. 12 Ndekudae wokovu katika mundu uwiwi wowose uja. kwa maana ndakudaye irina jimwi ndonyi ya mbingu wanekiwe wandu, ambajo kwa ijo dadima kuokolewa." 13 Idana kuwona ujasiri gwa Petro na Yohana, na wakagundua kwamba warikogo ni wandu wa kawaida wasadae elimu, washangaie, waka manya kwamba Petro na Yohana wakogo andukumweri na Jesu. 14 Kwa sababu wamwonie uja mundu waboisigwa wasimama andukumweri nawo, ndewakogo na kilambo cha kudeda dhidi ya iji. 15 Ela wakogo wasamaria kuwaamuru walodi iinge imbiri wo kwa wo. 16 Wadedie, diwabonyaga wada wandu awa? Ni loli kwamba wo gumanyikame ni kila umweri aishi Yerusalemu, ndedidimaga kujilega ijo. 17 Ela, ili kwamba ilago iji jisaenee miongonyi mwa wandu, hebu diwabonye wasadede sena kwa mundu wowose kwa irina iji. 18 Wawamanyie Petro na Yohana ndenyi na kuwaamuru kamwe wasadede wala kufundisjha kwa irina ja Jesu. 19 Ela Petro na Yohana wajibie na kuwagoria, "kama ni sahihi mesonyi kwa Mlungu kuwatii inyo kuliko Mlungu kuwatii inyo kuliko Mlungu, hukumunyi inyo wenyi. 20 Maana isi ndedimaga kusiga kugadeda malago ambago daga wona na kugasikira." 21 Baada ya kuwaonya nanganyi Petro na Yohana, wawasigie wagende. Ndewedimie kupata sababu yoyose ya kuwaazibu, kwa sababu wandu wose wakogo wakimgola Mlungu kwa chija chikogo chabonyeka. 22 Mundu akogo wabonyekera muujiza gwa uponyaji wapatie kukaia na umwi gwa zaidi ya miaka arobaini. 23 Baada ya kuwasiga huru, Petro na Yohana wachee kwa wandu wawe na kuwataarifu gose ambago makuhani wabaha na wagosi warikogo wawagoria. 24 Kugasikira, wapaazie sauti rawe kwa andu kumweri kwa Mlungu na kudeda, "Mzuri we uumbie mbingu na dunia na bahari na kila kilambo ndenyi yake, 25 We ambaye, kwa Ngolo mtakatifu, kwa momu gwa aba wedu Daudi, mtumishi wako, ulisema, "kwa indoi wandu wa masanga wabonya gasia, na wandu watafame malago gasafaa? 26 Wazuri wa dunia wakipangie andukumweri na watawala wakusanyika kwa andu kumweri dhidi ya Mzuri na dhidi ya masihi wake." 27 Ni hakika, Herode na Pontio Pillato, andukumweri na wandu wa masanga na wandu wa Israeli, wakusanyikie kwa andu kumweri katika muzi ugu dhidi ya mtumishi wako mtakatifu Jesu, ambaye wamwirie mavuda. 28 Wakusanyikie kwa andu kumweri kubonya gose ambago mkonu gwake na mapenzi gako gagaamuriye tangu mwanzo kabla ndegafumiria. 29 Idana, Mzuri, gaguve matisho gawe, na ugenda wajalia watumishi wako kujideda ilago kwa ujasiri gose. 30 Ili kwamba ukanyoosha mkonu gwako kuboisa, ishara na maajabu vidime kufumiria kuidia irina ja mtumishi wako mtakatifu Jesu." 31 Kumeria kulomba, ieneo ambajo wakusanyikie kwa andu kumweri jikotikiswa, na wose wakachurwa ni Ngolo mtakatifu, na wadedie ilago ja Mlungu kwa ujasiri. 32 Idadi mbaha ya waja waaminie warikogo na ngolo jumweri na ngolo umweri na ndakudaye hata umweri wawe adedie kwamba chochose amilikie chakogo chake mweni, badala yake wakogo na vilambo vose shiriki. 33 Kwa ndigi mbaha walodi warikogo wakutangaza ushuhuda gwawe kuhusu ufufuo gwa Mzuri Jesu, na neema mbaha yakogo igu yawe wose. 34 Ndekukogo na wowose miongonyi mwawo apungukiwe ni mahitaji, kwa sababu wandu wose wakogo na hati ra viwacha au nyumba, wawuzie na kureda magome ga vilambo virikogo vauzwa. 35 na kuviwika ndonyi ya magu ga walodi. Na mgawanyo gwabonyiwe kwa kila muumini, kulingana na kila umweri arikogo na ihitaji. 36 Yusufu, mlawi, mundu kufuma kipro, wanekiwe irina ja Barnabasi na walodi (inyo ikitafsiriwa, ni mwana wa faraja). 37 Akika na mbuwa, wajiuzie na akareda magome, akariwika ndonyi ga magu ga walodi.