1 Kufika ituku ja Pentekoste, wose warikogo andu kumweri sehemu imweri. 2 Gafla ikafumiria muungurumo kufuma mbingunyi kama upepo guboie. Ukaguchura nyumba yose wakogo wakaia. 3 Aho rika wafumiria chumi, kama chumi ra modo ragawanyika, rikakaia igu yawe kila umweri wawo. 4 Wose wakachurwa ni Ngolo mtakatifu na waanza kudeda kwa luga rimwi, kama uja Ngolo kandu wajalia kudeda. 5 Idana warikogo wayahudi warikogo wadaishi Yerusalemu, wacha Mlungu, kufuma kila isanga ndonyi ya mbingu. 6 Ngurumo iri kusikiriwa, ikundi ja wandu jikacha andu kumweri na wakika na wasi wasi kwa sababu kila mundu wasikire wakideda kwa luga yake mweni. 7 Waduae na kushangazwa, wo wadedie, "Loli, awa wose wadadeda siwo wagalinganya? 8 Kwa indoi isi dawasikira, kila umweri katika luga davalwa naro? 9 Waparthia na wamedi na waelamu, na awo waishi mesopotamia, uyahudi, na kapadokia, na katika ponto na Asia, 10 Katioka frigia, pamfilia, katika misri, na sehemu ya libya hata kirene, na wagenyi kufuma rumi, 11 Wayahudi na waongofu, wakrete na waarabu, dawasikira wakiaria katika luga redu kuhusu kazi ra uweza gwa Mlungu." 12 Wose warikogo waduwaa na kutatanishwa; wadedane weni kwa weni, "Ihi ikona maana ki?" 13 Ela wami wadhihakie wakideda, "Awa wachurwa kwa mvinyo mbishi." 14 Ela akakimsi andu kumweri waja ikumi na imweri, akapaza sauti, akawazera wandu wa Yudea na wose waishi aha Yerusalemu, iji jimanyikane kwenyu, sikirenyi kwa makini madedo gapwa. 15 Wandu awa ndewalewiwe kama andu mdhaniaga, sababu saa iri ni asubuhi saa idadu. 16 Ela iji jirikogo jadedwa kuidia kwa Mlodi Yoeli. 17 Ikaga katika matuku ga mwisho, Mlungu wadedie, nidedaga Ngolo wapwa kwa wandu wose. Wana wenyu na wai wenyu wadimafunya ulodi, wadawana wenyu wadimawona mgomo, na wagosi wenyu wadima lola ndodo. 18 Kwa wuja igu ya watumishi wapwa watumishi wapwa wa kinaka katika matuku ago, nidiaga Ngolo wapwa, nawo wadima tabiri. 19 Nibonyeraga maajabu igu angenyi na ishara ndonyi dunienyi baga, modo na mafusho ga mosi. 20 Na iruwa jikaguswa kukaia kira na mweri kuwa baga, kabla ya kucha ituku ja ajabu ja Mzuri. 21 ikaia kwamba kila umweri ambaye ijiwangaga irina ja Mzuri wadimaokoka.' 22 Wandu wa Israeli, sikirenyi madedo aga: Jesu wa Nazareti, mwadamu wathibitishwa ni Mlungu kwenyu kwa matendo ga uweza na maajabu, na ishara ambaro Mlungu kuidia ye gadi gadi yenyu, kama inyo weni kandu mwiichi- 23 kwa sababu ya mpango gwakusudiwa tangu imbiri, na maarifa ga Mlungu, wafunyigwe, na inyo kwa mkonu ya wandu wahalifu,mwamsulubishie na kubwaga, 24 ambaye Mlungu wamwiinue, akainja uchungu gwa mauti gake, kwa sababu ndadimikie kwake kumilikiwa ni ye. 25 Huwo Daudi adadeda kuhusu ye Namwomie Bwana daima imbiri ya wushu gwapwa, ye weko mkonu gwapwa gwa kujo huwo basi sisegurwa 26 Kwa kuwa ngolo yapwa yakogo ma kuboima lumilwapwa gwaboirishiwe. Pia muwi gwapwa gwedi maisha katika ujasiri. 27 Ndwisigaa nafsi yapwa igende kuzimu wala nduruhusu Mtakatifu wako kuwona uozo 28 We wadhihilisha kupwa chiara bina na; wedime nibonya nichue kuboirwa imbiri ye wushu gwako; 29 Mbazi, nadima kudeda kwenyu kwa ujasiri kuhusu aba wendu Daudi: ye wafaye na akarikwa,na ikaburijake jeko andukumweri na isi hata huwu linu. 30 Huwo, werikogo nabii na wamenyie kugora Mlungu wapaie kwa kirawo kwake, kwamba wadimawika umweri katika uzao gwake kifumbimyi cha enzi. 31 Wagiwonie iji mapema, na akadeda kuhusu ufufuo gwa Kristo,'Wala nderikogo wasigwa kuzimu, walamuwi gwake ndaguvu ndie.' 32 Uyu Jesu- Mlungu wamfufue, ambaye isi wose da mashahidi. 33 Kwa huwo,akika wanuigwa katika mkonu gwa kujo gwa Mlungu,na akiwa.wawakera ahadi ya Roho Mtakatifu kufuma kwa aba, ye wamimina ihi ahadi,ambaye inyo mdawona na kusikira. 34 Kwani Daudi ndapaie kugenda mbingunyi, lakini akadeda, 'BWANA wadedie kwa Bwana wapwa, 35 "Kaia mkonu gwapwa gwa kujo, mpaka nikawabonya adui wako kifumbi kwa ajili ya magu gako. 36 Kwahuwo nyumba yose y6a Israeli na imanye kwa hakika kwamba Mlungu wabonya ye kuwa Bwana na kristo,uyu Jesu ambae mwamsulubishie". 37 Idana kusikira huwo,wakakorwa katika ngoro rawe, waka mzera Petro na mitume mizima,"Wambari, dibonye wada?" 38 Na Petro akawazera, "Tubunyi na Mbatizwe, kila umweri wenyu, katika irina ja Jesu Kristo kwa ajili ya msamaha gwa zambi renyu, na muwekeraa zawadi ya Roho mtakatifu. 39 Kwanikwenyu ni ahadi na kwa wana wenyu na kwa waja wose weko kula,wandu wengi kadri Bwana Mlungu wedu kandu awawanga." 40 Kwa madedo mengi washuhudie na kuwasihi; wadedie "Jiokoenyi mfume katika kivaziichi kiwiwi". 41 Niko wakayabokera madedo gake na wakabaatizwa,aho akaongezeka katika ituku ijo kama nafsi elfu idadu. 42 Wakaendelea katika mafundisho ga mitume na ushirikiano,katika kugubega mkate na katika malombi. 43 Hofu ikacha igu ya kila nafsi, na maajabu mengi na ishara rikabonyeka kuidia mitume. 44 Wose waaminie warikogo andukumweri na kuwa vilambo vawe kwa andukumweri, 45 na wauzie vilambo na miliki rawe na kurigawanya kwa wose kulingana na hitaji ja kila umweri. 46 Huwo ituku baada ya ituku waendelee wakiwa na ilengo jimweri katika ihekalu, na wabegie mkate kayenyi, nawashirikie vindo kwa kuboiwa na unyenyekevu gwa ngolo; 47 Wamsifie Mlumgu na wakika na kibali na wandu wose.Bwana wawaomgoze ituku kwa ituku ambawo wakogo wakiokolewa.