1
Yumwe mwe malaika saba mwekuwa na vipete saba nee keza na kunamba ''soa nenda nikuonyese kuahwa kwa mkianga mkuu mwekaa uwanga ya mazi mangi,
2
Ambae wafaume wasi wagosoa mbui za koang naye juu ya ukozi na kianga chakwe wekaao duniani wakolwa.''
3
Malaika akandoa mwe loho kiamuo nyikani muona myee kekaa uwanga ya mnyama mwenkundu kamema mazina ya utusi mnyama neee anamikwii saba na mchembe kumi.
4
Mvyee nee kahambwa nguo ya zambau na nyenkundu kahambwa zahabu mawe ya samani na lulu nee katoza kikombe cha zahabu mwe mkono wakwe chekumemacho vintu vya mbifya ya uchama wa kianga chakwe.
5
Uwanga ya komo da chei chakwe kuandiakwa zinasa si. ''BABELI MKUU MAMIAO DA WAKIANGA NA VINTU VYA MBIFYA YA SI.''
6
Nikaona kuwa uyo mvyee kakolwa kwa npome ya waumini na npome ya wekufaa kwaajii ya yesu ukati nekumuonaho nehehewa sana.
7
Akini malaika akanamba ''kwani wehewa? nenda nikuhinye maana ya mvyee na mnyama amdoae ( mnyama mitwi saba na mahembe kumi ).
8
Mnyama wekumuoanae mwekuwaaho nkaho vintu husaa akini yu tayali kukwea kulawa mwe tubwi desado kuwa na mwisho kukwea ikabinda enda asongwe ni ubanasi wada wekaao uwanga ya si wada amba mazina nkayekugondwa me kitabu cha ugima tangia kuumbwa misingi ya ulimwengu wenda wehewe wakamwona mnyama mwekuwaho sasa nkaho aini yu hehi na kweza.
9
Mwetango unu ni kwaajii ya akii zenazo viugo mitwi saba ni miima saba ambaho yudaaa muyee ne kekaa uwanga yakwe.
10
Hata nayo ni wafaume saba afaume washano wagwa yumwe yuaho na mtuhu nkazati kweza ukati akeza kweza enda ekae kwa mda mjihi.
11
Mnyama mwekuwa aho akini sasa nkaho yee naye ni mfaume ywa nane akini ni yumwe ywa wafaume saba na aito kwe ubanasi.
12
Yada mahembe kumi ni wafaume kumi ambao nka wazati kuhokea ufaume akini wenda wahokee mamlaka kana wafume kwa saa mwenga hamwe na mnyama.
13
Awa wana shauli dimwe na wenda wamwenke nguvu zao na mamlaka ya yuda mnyama.
14
Wenda wagosoa kondo gali yao na mwanango to akini mwanangoto enda avote kwakuwa bwana ywa mabwana na mfaume ywa wafaume na mwa yeye tetangwa na tisagulwa waaminifu.''
15
Malaika akanamba ''yada mazi wekuonayo aho ekwekaaho yuda mkianga ni wantu, utusi mataifa na luga.
16
Yada mahembe kumi wekuonayo - ayo ni yuda mnyama wenda wakimwe na yuda mkianga. nao wenda wamtende kuwa ikedu na mwazi wenda wamtende kuwa ikeddu na mwazi wenda wamde wamde mwii wawe na kuwoka moto.
17
Mana mungu kaika mwe myoyo yao kwenua kasidi kakwe kwa kwevana na kumwenka nguvu zao kumtawala mbui ya mungu yenday itimie.
18
Yuda mvyee wekumuonae ni uda mzi mkuu juu ya wafaume wa si.''