1 Msi wa ishiini na nne wa mwezi uo uo wantu wa Islaeli wakusanya, nao nee wafunga nao nee wavaa magua, nao wakaika vumbi mwe mwitu yao. 2 Uvyazi wa Islaeli nee wenenga na wageni wose, nee wa gooka na kukili zambi zao wenye na matendo mabaya ya tatizao. 3 Wagooka hantu hao, na lobo ya msi ne wasoma kuawa kitabu cha Sheia ya Zumbe Muungu ywao. Na lobo ntuhu msi wakili na kwenama mbele ya bwana Muungu ywao. 4 Walawi, Yeshua , Bani, Kadmieli Shebani ya Buni, Sherebia, Bani na Kenani wagoooka uwanga ya ngazi, wakamwetanga Zumbe, Muungu ywao kwa sauti nkuu. 5 Nee Walawi na Yeshus na Kadmiel na Bani na Hashabneya na Sherebia, na Hodia na Shebania na Pethalia, wa kamba, "Gookani, mkamtogoe Bwana, Muungu ywenu, kae na kae. "Likiwe zina dako tukufu, dekutukukado kwemboka baaka zose na ntogoo zose. 6 Wewe u Zumbe, wewe ikedu. Wewe kugosoa mbinguni, mbingu za uwanga na malaika wose wa nkondonkondo na dunia kia kintu che uwanga yakwe na bahai navyose vyeumo. Wawenka wose ugima na majeshi ya malaika wakwenamia. 7 Wewe nee Zumbe, Muungu mwekumsagua Abtamu, akamwa avya kuawa uri wa Wakaldaya, akamwetanga Ibwaahim. 8 Kuona moyo wakwe nee ni mkamiifu mbele yako nawe ukagosoa agano hamwe nae da kuweanka uvyazi wakwe si ya Wakanaani, na Mhiti na Mwamoli naa Pelizi na Myebusi na Wagilgashi, Kuika kiaga chako kwaajii wewe umlahaki. 9 Kuona sungu ya tatizetu Misli na ukasikia ndio yao nkandai ya bahali ya shamu. 10 Wewe kugosoa utangio na maajabu juu ya Falao, na wandima wakwe wose na wantu wose wa si yakwe, kwajii nee kumanya kwamba Wamisli wagosoa kwa kwefenya. Akini kwegosweea zina ambado digooka kiamuo msi wa ivyeeo. 11 Ukapanga bahali mbele yao, wakadumua gatigati ya bahai uwnaga ya sinkavu na wasa wada wekuwao mwe kina kama iwe mwe mazi ya kina. 12 Wewe kuwaongoza kwa nguzo ya Zumbe ukati wa musi na kwanguzo ya moto ukatrri wakio, ili kuwatumikia siai wadahe kwenda mwe unng'ao wake. 13 Kuseeya uwanga ya Mwiima Sinai ukamwiia nao kuawa mbinguni ukawenka amli za haki na Sheia za kwei amli ntana na maagizo. 14 Kuwambia sabato yako takatifu , ukawenka amli na Sheia kwembokea Msa mndima ywako. 15 Kuwenka nkande kuawa mbinguni kwaajii ya saa yao na mzai kuowa mwamba kwa nkiu yao, ukawamba waite kuimiiki si wekuwenkayo kwa kuwenka kuapo. 16 Akini wowo na tatizetu wagosoa uasi, nao nee ni wagau, wala nkawekuzitunya amli zako. 17 Waemea kuzitegeeza na nkawekuafya juu ya maajabu wekugosoayo gato yao, akini wakawa wagau na mwe uasi wao nee waika viongozi wauwiie hali ya utumwa. akini wewe u Muungu ambaye kumema msamaha, mwenye rehema na mbazi nkio mhufu wa maya na mwingi mwe upendo sabiti wewe nkwekuwabada. 18 Wao nkwekuwabada hata wekubindaho kuavya ndama mwe chuma chekokwacho na kwamba, "Uyu nee Muungu ywemu mwekukueta kuawa Misli, "ukati wekwegaho sana. 19 Wewe kwa mbazi zako nkwekuwabada mwe wangwa. Nguzo ya zunde yekuwaongozayo Siai nkayekuwabada ukati wa musi, waa nguzo ya moto kio iwamwiijia baabaa ambayo wakundwa kwendea. 20 Nee kuwenka Loho waka mtano kuwahinya, na mana yako nkwe kuwanyima mwe vyanwa vayo na ukawenka mazi kwa nkiu yao. 21 Kwa miaka alibaini kuwaika mwe wangwa, na nkawe kukosa chochose. Nguo zao nkazekusakaa naa miundi yao nkayekumema. 22 Kia npembe ya hae. Basi wakaimiiki si ya mfaume ywa Heshboni na Si ya ogu mfaume ywa Bashani. 23 Kuwatenda wana wao kuwa wangi kana ntoondo za mbinguni na ukawengiza kwe si. Nee kuwambia tatizo wengie na kumiiki. 24 Basi wantu wakengia, wakamiiki si, waka wavota wenyezi wa si iyo, Wakanaani. Ukawageya mwe mikono yao, hamwe na wafaume wao na wantu wa si, ili Islael igosoe nao kana wewekukundavyo. 25 Woo waiteka mizi yenye nguvu na si yenye usitawi, nao wakadoo nyumba zenezo vintu vyose vitana. Visima vyekufukwavyo, mizabibu na miti ya mizaituni, na miti ya matunda mangi. Kwa iyo wada nakweguta na kutosheka, na kutamwa kwa wema wako. 26 Basi nkawekukutunya na wakaasi. Wasa Sheia yako nyuma ya migongo yao. Wawakoma anabii wako wawakanya wakuuwie wewe, nao wakagosoa ukatii mkuu. 27 Kwa iyo ukawagea mwe mikono yawankuu wao mwekuwa suubish. Na ukati wa suuba , wakuiiya nawe ukawa sikia kuawa mbinguni na maa nyingi ukawakoa mwe mikono ywa wankuu wao, kwaajii ya mbazi zako nyingi. 28 Akini baada ya kuhumwiiza, wakagosoa mabaya vituhu mbele yako, nawe ukawabada mwe mikono ya wakuu wao, kwa iyo wankuu wao wakatawala juu yao. Hata wekuku wiaho na kukunja ukasikia kuawa mbinguni maa nyingi ukawakoa kwa ajii ya mbazi zako. 29 Nee kuwaonya ili wapate kuuya kwe Sheia yako. Hata ivyo wagosoa kibui nkawekutekutegeeza amli zako. Wagosoa zambi zidi ya amli zako ambazo zamwenka ugima muntu yoyose mzitunya, Nkawekuzitunya, nkawekuzigosoa na waemea kuzitegeeza. 30 Kwa miaka mingi kwenda nao na kuwakanya kwa Loho ywako kwa sia ya manabii wako. Hata ivyo nkawekutegeeza. Kwa iyoukawagea mwe mikono ya wantu wa hehi. 31 Akini kwa mbazi zako nkuu nkwekuwaheza kabisa, au kuwabada, kwa kuwa wewe u muungu wenye lehema na mta mbazi. 32 Basi Muungu ywetu, Muungu ywetu, mtanguvu na mtisa, mwiika ayano dako na ukudiso wako, sungu zose zeku tipato swiswi, wafaume wetu, wakuu wetu na makuhani wetu, na manabii wetu na tatizetu, na wantu wako wose taukia siku za wafaume wa Ashuu kiamuo ivyeeo wesek uzitoazia kuwa na ncheche. 33 Wewe umtahaki mwe yose yekutipatayo kuwa kugosoa kwa uaminifu na tigosoa ubaya. 34 Wafaume wetu, makuhani wetu, na tatizetu nkawekuitoza Sheia yako nkawekuzingatia amli zako au shuhuda zako wekuwashuhudiazo. 35 Hata mwe ufaume wao wenye, ukati watamia wedi wako kwao, mwe si nkuu yenye mboto wekuikayo mbele yao nkawekukugoswea au kueka sia zao mbaya. 36 Mboto ntana kuawa si yetu yaita kwa wafaume wekuwaikao juu yetu kwa ajii ya zambi zetu, Watawala juu ya mii yetu na juu ya mifugo kana wakundavyo. Tina sungu nkuu. 37 Kwa ajii ya yose aya tagosoa agano sabiti kwa kugonda. Kwa hati yekufungwa ni mazina ya wakuu wetu, Walawi, na makuhani. 38 Kwa ajii ya yose aya tagosoa agano Sabiti kwa kugonda kwa hati yekufungwa ni mazina ya wakuu wetu, Walawi, na makuhani.