Sura 10

1 Wada ambao waika mazina yao mwe kumbukumbu zekugubikwazo ne ni. Nehemia mwana Hakalia gavana, na makuhani wekuikwao Sedekia. 2 Seraya, Azaria Yeremia. 3 Pashuri, amoria Malkiya. 4 Hamshi, Shekania, Maluki, 5 Hariamu, Mere mothi, Obadia, 6 Daniel, Ginethomi Baruki, 7 Meshulamu, Abiya Miyamini. 8 Maazia, Bilgai na she maya. Awa wawa makuhani. 9 Walawi ne ni Yeshua mwana wa Azania, Binui wa jamaa ya Henadadi, Kadmeli. 10 na Walawi weziwe, Shebania, Hadia, Kelita Pelaya, Hanani, 11 Mika, Rehobu, Hashabia, 12 Zakuri, Sherebia, Shebania, 13 Hodiya, Bani na Beninu. 14 Wekuao viongozi wa wantu ne ni Paroshi, Palath - Moabu, Elamu, Zatu, Bani. 15 Buni, azgadi, Bebai, 16 Adoniya Bigwai, Adini, 17 Ateri, Hezekia, Azuri, 18 Hodia, Hashumu, Besai, 19 Harifu, anatothi, Nobai. 20 Magpiashi, Meshulamu, Heziri, 21 Meshezabeli, Sadoki, Yadua. 22 Pelatia, Hanani, AnaYA, 23 Hoshea, Hanania, Hasgubu, 24 Hlaoheshi, Plha, Shobeki 25 Rehemu, Hshabna, Maaseya. 26 Ahia Hanania, Anani, 27 Maluki, Harimu na Baana. 28 Na wantu watuhu wekuao makuhani, na Walawi na walinzi wa malango; na waimbajii na watumishi wa hekalu na wose wekwenegao wenye na wantu wa sii za jirani, kwa Sheia ya Muungu, na wavyee wao, na wans wao, na Binti zao, wose wekuao na ujuzi na umanyi. 29 Wakekonga na ndugu zao, wakuu wao waketahwa mwe laana na kuapo ela kwenda mwe sheia ya Muungu, yekuaviwayo na Musa ntume ya Muungu, na kazingatia amli zose za Bwana Muungu wetu na kuhumu na sheia zakwe. 30 Tiahidi kuwa nkatidaha kuwaoza wana wetu wantu wa si, au wana wetu kutegua kwao. 31 Pia tiahindi kwamba kama wantu wa si wandawaete biashaa au nafaka yoyose ya kutaga siku ya Sabato, nkatidaha kugua kwao siku ya Sabato au siku yoyose takatifu. Kia mwaka wa saba nndatieke minda yetu ihumuize, na nndati samehe madeni yose yaawayo kwa Wayahudi watuhu. 32 Tikubalo amri ya kulavya shiingi ya Shekeli kia mwaka kwa ajii ya huduma ya ya nyumba ya Muungu wetu. 33 Kuavya mkate wa kuwaaho, na sadaka ya nafaka ya kawaida, sadaka za kuteketezwa siku ya Sabato, sikunkuu pyahamu za mwezi na sikunkuu za kutekuzwa, na sadaka takatifu na sadaka za zambi za kweta upatanisho wa Israeli, hamwe na ndima zose za nyumba ya Muungu wetu. 34 Na makuhani, Walawi na wantu wa kutoa kura kwa ajii ya Sadaka ya mkuni. Kwa indisague ni ani ndiye aete nkuni mwe familia zetu ndani ya nyumba ya Muungu wetu kwa nyakati ze kuikwazo kia mwaka. Nkuni izo nndazokwe uwanga ya Madhabahu yaBwana Muungu wetu, kama yekuandikwavyo mwe Sheia. 35 Tiahidi kueta nyumbani kwa Bwana matunda ya kwanza yaawayo mwe msanga wetu na matunda ya kwanza ya mti kia mwaka. 36 Na kama yekuandikwavyo mwe Sheia, ne tiahidi kueta nyumbani kwa Muungu na kwa makuhani watumikao aho uvyazi wa bosi wa wana wetu na Wanyama wetu. 37 Nndatietu unga wa bosi na sadaka za nafaka zetu, na matunda ya kia mti, na dvyumba vya kuhifadhi vya nyumba ya Muungu wetu. Nundatiwaetee Walawi sehemu ya kumi kuawa mwe sanga yetu kwa sibabu Walawi wakusanya sadaka mizi yose tigosoayo ndima. 38 Kuhani, uvyazi wa Haruni lazima awa na Walawa wakati ahokeaho sadaka, Walawi wakundigwa kueta sehemu ya kumi ya sadaka mwe nyumba ya Muungu wetu mwe vyumba vya kuikia hazina. 39 Kwa sibabu wana wa Israeli na wana wa Lawi, nndawaete sadaka za nafaka, divai pyahamu, na mavuta mwe vyumba vya kuhifaddhi ambaho vintu vya hatakatifu vyagooswa, na hamtu ha makuhani watumishi, na walinzi wa he mwaango, na waimbaji. Nkatidaha kuibada nyumba ya Muungu wetu.