1 Wagalatia wabahau, ni ziso dani de kuwabamagando? yesu kristo nkekuonyeshwa kama msulubiwa kwe meso yenu? 2 Mimi nafaigwa ni manye kuawa kwenu. je mhokea roho kwa mbui ya sheria au kwa kuamini kia mwe kusikuacho? 3 Je nyie ni wabahau kiasi iki? je mvoka mwe roho ili mbindiize kwe mwii? 4 Je mteseke kwa mbui nyingi bwebue, kama mkwei ne ni ya bue? 5 Je uyu muavya roho kwenu na kugosoa mbui za nguvu kato yenu agosoa kwa mbui za sheria au kwa kuikia hamwe na imani? 6 Abrahamu ne kamamini mungu ivyo kahesabiwa kama mwenye haki.'' 7 Kwa namana idaida elewani kwamba wada ambao waamini ni wana wa abrahamu. 8 Andiko ditabii kwamba kama mungu ne kahesabia haki kwa wantu kwa sia ya imani injii ne ihubiwa mwe wewe mataifa yose yandaya bariiwe.'' 9 Ili baadaye wada ambao wana imani wabarikiwe hamwe na abrahamu ambaye ne akaamini. 10 Wada wategemeano mbui za sheria walaaniwe kwa kuwa viandikwa kulaaniwa mntu yeyose ambaye mkatongea mbui zekuandikwazo mwe kitabu kuyagosoa yese.'' 11 Sasa ni kwei kwamba mungu nkamhesabiii haki hata yumwe kwa sheia kuwa mwenye haki andaaishina imani. 12 Shei mkaiwiya kwe imani akini badala yakwe mgosoa mbui izi kwa sheia anda ekae na sheia.'' 13 Kristokatikomboa swiswi kuawa kwe laana ya sheia wakati ekugosoaho loamo kwa ajii yetu, kwa kuwa iandikwa, '' kia mtundikwa kalaaniwa. 14 Cha maana ni kuwa baraka ambazo ne zikwa abrahamu ne zeza kwa wantu mwe kristo yesu, ili kwamba uhokee kiaga ha roho kwembokea imani. 15 Ndugu, matamuia namna ya kiuntu. hata wakati kiaga kiikwa kae nkakuna mdaha kudipuuza au kuongeza Kiaga kisemwa wakati wa abrahamu na uvyazi wakwe. 16 Nkatamba uvyazi kumanaanisha wengi baadala yakwe ukedu kwa uvyazi ambao ni kristo. 17 Sasa namba ivi, sheia yekwezayo miaka 430 baadaye nkaiusa kiaga chetu cha nyuma che kwikwacho ni mungu. 18 Kwa kuwa kama urithi ne ukapatikana kwa sheia, bsi tena ne nkaweza kwa kiaga. 19 Kwa ajii yani, sasa sheia iavigwa, iongeze sababu ya makosa, mpaka uvyazi wa abrahamu wezekwa wada wekuahidiwaoo, sheia iaho kwa ajii ya shinikiza kwembokea malaika kwa mkono wa mpatanishi. 20 Sasa mptanishi ni yumwe bali mugu ni yuwe tu. 21 Je sheia ikinyumwe cha ahadi za mugu? hapana kwa sheia yekuavigwayowe ina uwezo wa kueta ugima, haki ne ipatikane kwa sheia. 22 Akini baada yakwe kiaga kifunga mwe zambi mungu katendaivyo kwa ajiii ya yesu kutiokoa swiswi kwa imani ya yesu kristo ipatikane kwa wada waaminio. 23 Akini kabla ya imani mwe yesu kristo nkaizati kweza. 24 Sheia igosoka kristo ekwezaho ili kwamba tihesabiwe kwa haki na imani. 25 Sasa kwakuwa imani yeza mkatiho tena mwe meso yakwe. 26 Kwa kuwa nyose ni wana wa mungu kwembokea imani katika kristo yesu. 27 Wose mwekubatizao mumvaa kristo. 28 Nkakuna myahudi wala myunani, mtumwa wala uru mgosi wala mvyee, kwa kuwa wose muwamwe kwa yesu kristo. 29 Kana nyie ni wakristo basi ni uvyazi wa ibrahimu, ne warithi mujibu wa kiaga.