1 Kisha Yusufu kaingya ko Farao ne kambia, "Papa okwa na ndugu sakwa, mamondo wao mburu zao na shose vaode wamefika ifuma katika orika lo Kanaani. Lambwa, wapo katika orika lo Gosheni." 2 Akawachukua watano katika ndugu sake na kuwatambulisha ko Farao. 3 Farao akawambia ndugu sake, "Kasi yanu nyinga?" Wakambia Farao, "Watumishi wako ni wafugaji cha akui sedu." 4 Kisha wakamwambia Farao, "Jacha idamya ko mda katika orika. Kode malisho ko ajili ya makundi ya watumishi wako ko maana njaa nyi kali mnu katika orika lo Kanaani. Kudo kusare waache watumishi wako wakae katika orika lo Gosheni." 5 Kisha Farao akawaambia Yusufu, kaamba, "Papa wapo na ndugu sapo wamekuja kwapo. 6 Orika lo Misri lukuri mbele yapo. Mdamire papa wapo na ndugu sapo katika andu kucha orika lo Gosheni. Ikiwa nyuichi watu vaode uwezo miongoni mwao, uwaweke kuwatunza wanyama wangu." 7 Kisha Yusufu kamwingira Yakobo papa yake ne mdera mbele ya Farao. Yakobo akambariki Farao. 8 Farao kambia Yakobo, "Umeishi ko mda mki?" 9 Yakobo kambia Farao, "Miaka ya safari sakwa nyi mia moja thelathini. Miaka ya maisha yangu imekuwa ifuje na ya maumivu cha miaka ya papa sakwapo." 10 Kisha Yakobo akambariki Farao ne kure mbele sake. 11 Kisha Yusufu kamdera papa wake na ndugu sake. Akawapa eneo katika orika lo Misri sehemu njichi mnu ya orika, katika eneo la Ramesesi, cha kundu Farao ekeri ameagiza. 12 Yusufu akamhudumia papa wake ko kando na ndugu sake na numba yose ya papa wake, ko iihana na hesabu ya wahitaji wao. 13 Basi koveode kandopo katika orika lose kwani njaa nyekeri ikarije mnu. Orika lo Misri na Orika lo Kanaani sikanyamarika ko sababu ya njaa. 14 Yusufu kasangirya hela yose yevekeri ko orika lo Misri na orika lo Kanaani, kovaruvija wakaaji wake kando. Kisha Yusufu kaende pesaya katika kasri ja Farao. 15 Pesa yose ya orika lo Misri na Kanaani yesia, Wamisri vose vakacha ko Yusufu vakaamba, "Jininge kando! Ngiki jipe mbele sapo komaana pesa yedu imesia?" 16 Yusufu kaamba, "Ikiwa pesa yanu imesia endenyi wanyama wenu nainyi ngapevaninga kando badala ya wanyama wenu." 17 Kudo vakaende wanyama wao ko Yusufu. Yusufu kavaniuga kando na wanyama wao mwaka uja. 18 Mwaka uja osia vakacha kwake mwaka ulevadya wakamwambia, "Jiperika ko bwana akwa kwamba pesa yedu yose imesia na wanyama nyi wa bwana okwa kode kyabaki mbele sa bwana okwa isipokuwa miili yedu na orika lodu. 19 Ngiki jipe mbele sa meso yake ise na orika lodu? Ujiure ise na orika lodu badaya ya kando na ise na orika lodu jipera watumishi wa Farao. Jininge mbeu ili kwamba jiishi na jilape na kwamba oriba lulave tupu bila vandu. 20 Kudo Yusufu kamuurya Farao orika lwose lo Misri. Kwani kila Mmisri kakumba mdeme wake ko sababu ya njaa nyekeri ikarije sana. Ko njia ii orika lukara mali ya Farao. 21 Na vandu akawafanya iva vatumwa ifuma mrasa umu o Misri na mrasa ungi. 22 Kokeri nyi orika lo makuhani vamonyi ambayo Yusufu aleiurapo ko maana makuhani vekeri vaneningwa posho. Veleja katika sehemu elevaninga Farao. Ko ikyo velekumba orika lwavopo. 23 Kisha Yusufu kavavia vandu, "Lambwa, ngaraukenyi inywe na orika lwanu inu kwaajili ya Farao. Basi mbeui iha kwajili yanu, na inywe mpevaja katika orika. 24 Kigheri kya mavuno mpemninga Farao sehemu ya katanu na sehemu nne sipeva sanu, ko mbeu sa mdeme na ko kando kya numba sanu na vana vanu." 25 Vakaamba umejikira maisha vedu na jipate kibali mesonyi kwapo. jipeva vatumishi wa Farao." 26 Kudo Yusufu kaifanyu iva sheria ineuta kasi mpaka inu katika orika lo Misri, kwamba imu ya katanu nya Farao. Eneo ja makuhani peke yake nyijo jilalefanywa iva ja Farao. 27 Kudo Israeli akaishi katika orika lo Misri, katika eneo ja Gosheni. Vandu vake vakapata umiliki aja vekeri wenye kuzaa ne ongerijika mnu. 28 Yakobo akaishi katika orika lo Misri miaka kumi na saba ko ikyo miaka ya maisha ya Yakobo vekeri miaka mia imu na arobaini na saba. 29 Wakati wake ofa Yakobo nyelekambia, nyelemdikira Yusufu mwanake nembia ikiwa ngapata kibali mbele sapo vikya koko kwapo wanda ya ipaja jakwa na ungifanyie ko uaminifu na loi. Tafadhari usinizike Misri. 30 Namelaa na papa sakwa upengifuna Misri ne kirika katika eneo jerikya ja papa sakwa" Yusufu ka amba, "Ngapefanya chakundu oamba." 31 Israeli kaamba, "Ngiapia na Yusufu kamwapia. Kisha Israeli karama wanda mbele ya uli wake.