1 Ikawa baada ya mambo haya, mnyweshaji wa mfalme wa Misri na mwokaji wa mfalme walimkosa bwana wao, mfalme wa Misri. 2 Farao kavailushira hawa maafisa wawili, mkau wa wanyweshaji na mkuu wa waokaji. 3 Kavadera ko lindo ko numba ya kapteni o ulinzi, ko gereza ili Yusufu alimofungwa. 4 Kapteni o walinzi kamdera Yusufu kuwa mtumishi wao. Valedamia kifungonyi ko muda fulani. 5 Vose vakaota ndoto - mnyweshaji na mwakaji wa mfalme wa Misri walimokuwa wamefungwa gerezani - kila umu kaota ndoto kio ikyo ikyo, na kila ndoto ilikuwa na tafsiri yake. 6 Yusufu kacha kwavo kitalang'a na kavaona. Lambwa, vaveode na uzuni. 7 Kavavesera maafisa wa Farao vavekeri anduamu nacho kifungonyi ko numba ya bwana wake, iamba, "Ko ngikyo inu mneonekana wenye uzuni?" 8 Vakambia, Ise vose jimeota ndoto na kuodeo itafsiri. "Yusufu kavavia, "Je tafsiri inefuma ko Makilunga? Ngivienyi, tafadhari." 9 Mkuu wa wanyweshaji kambia Yusufu ndoto yake. Kambia, "Ko ndoto yakwa, Lambwa, kuvekeri na mzabibu mbele yakwa. 10 Na kuvekeri na matawi varadu ko mzabibu icho. Ulipochipua, ukachanua maua na kuzaa vichala vya zabibu. 11 Kikombe cha Farao kivekeri mokonyi kwapo. Ngakairia zabibu na kuzikamua ko kikombe kyo Farao, ne ikidera kikombe ko moko va Farao." 12 Yusufu kambia, "Tafsiri yake nyi ii. Vaja matawi maradu nyi si siradu. 13 Ndani ya siku siradu Farao apekiinua mdo wapo ne ikuurigha ko nafasi yapo. Upekidera kikombe kya Farao ko moko vake, kama ilivyokuwa ulipokuwa mnyweshaji wake. 14 Kake ungikumbuke ukafanikiwa, na ungirore wema. Ungitaje ko Farao ne ingisembera iha gerezani. 15 Maana hakika ngaletekwa ifuma ko nchi ya Waebrania. Na iha ngameuta kyokyose kinengipasa ngiderwe gerezani." 16 Mkuu wa waokoaji alipoona kwamba tafsiri ilikuwa ya kuvatia, kambia Yusufu, "Inyi pia ngaleota ndoto, na lambwa, shokapo shiradu sha mikeka shivekeri uye ya mdo wapo. 17 Ko kikapu kya uye kuvekeri na kila aina sa bidhaa ya kuokwa ko Farao, kake ndeghe vakasheja ndani ya kikapu uye ya mdo wapo." 18 Yusufu kajibu ne iamba, "Tafsiri nyi hii. Shikapu shiradu nyi siku siradu. 19 Ndani ya siku siradu Farao apekiinu mdo wapo ifuma kwapo na apekutundika uye ya vandu. Ndeghe sipeja usese lwapo." 20 Ikawa siku ya karadu ambayo nyivekeri nyi siku ya kuzaliwa kwa Farao. Kauta ndima ko vatumishi vake vose. "Kainua uye mudo cha mkuu o wanyweshaji na mudo cha mkuu wa waokaji kati ya watumishi wake. 21 Kamuurigha mkuu wa wanyweshaji ko majukumu vake, na kakidera kavi kikombe ko moko va Farao. 22 Kake kamtundika mkuu wa waokaji, kama Yusufu alivyokuwa amewatafsiria. 23 Hata kudo mkuu wa wanyweshaji hakukumbuka kumusaidia Yusufu. Badala yake, alimsahau.