1 Yahweh akamwamba Musa: 2 "Tamuia na wantu wa Israeli uwambe, 'Izi nee siku nkuu Yahweh, ekuamuuzo kwa ajii yakwe lazima mzibiikie kuwa makintano matakatifu, ni sikunkuu zangu za maa kwa maa. 3 Mwadaha kugosoa ndima kwa misi mntandatu, mia msi wa mfungate ni Sabato ya kuhumuiza kabisa. Usifanye kazi kwa sababu ni Sabato kwa ajili ya Yahweh mahali pote mnaposhi. 4 Izi nee sikunkuu za Yahweh zekuamuliwazo, Mikuntano mitakatifu ndio mbiikie kwa nyakati zekuamuliwazwo: 5 Mwe mwezi wa bosi, msi wa kumi na mnane wa mwezi wenye mngao hafifu na masweeo ya zua ni Pasaka ya Yahweh. 6 Mwe msi wa kumi na shano wa mwezi udauda ni sikunkuu ya mikate yesayokugewa hamila kwa ajii ya Yahweh kwa mda wa misii mfungate monda mde wa misii mfungate monda mde mikate yesayokugewa hamila. 7 Msi wa bosi lazima mwekae hamwe nkamna mgosoe ndima ya kawaida. 8 Kwa misi mfungate monda mmwetee Yahweh mageeko ya nkande. Msi wa mfungate ni mkuntani mtakatifu wekutengwao kwa ajii ya Yahwe na nywinywi mwe msi uo nkamna mgosoe ndima yoyose ya kawaida." 9 Yahweh akagombeka na Musa, akamba, 10 "Sema na wantu wa Israeli uwambe, 'Monda mkembike mwe sii nendayo ni myenke nywinywi, mbondayo mazao yakwe ya bidi mmwetee kuhani fungu da masuke ya nafaka ya matunda yakwe ya bosi. 11 Anda adenue ido fungu da maseke ya nafaka mbele ya Yahweh na kudieta kwakwe, Dinda dihokewe kwa niaba yenu. Dinda dietwe msi baada ya Sabato ili kuhani adenue na kudieta kwangu. 12 Msi uda wendao udenue dia fungu da masuke ya nafaka na kudieta kwangu inda ibidi muavye mwana ngoto mgosi ywa mwaka umwe mwese kasoo, awe kafaa da kudagamizwa kwa Yahweh. 13 Makafaa ya nafaka yonda yawe kumi ya efa za unga laini wekubiganywao na mavuta yawe matoleo yekugosolwayo kwa moto wa Yahweh, ili kuavya halufu ntana ya kuagiza, hamwe ivyo honda hawe na makafaa ya vinywaji vya divai mwenga ya nne. 14 Nkamna mde mkate waa nafaka ye kukaangwayo waa nafaka mpya mpaka msi uda mwekuetao nafaka kwa Mungu ywenu. Idi dinda diwe ni agano mwe vivyazi vyenu vya wantu wenu hohose hada ndiho mwekae. 15 Tangu msi wekutongeao baada ya Sabato--iyo nee ni msi mwekuetaho dia fungu da nafaka ya makafaa ya kukucha hisabu majuma mfungate kamii. 16 Monda mhisabu misi hamsini ambayo nee misi baada ya Sabato ya mfungate ya nafaka mpya kwa Yahweh. 17 Monda muete mikate miidi kuawa mwe nyumba zenu, mikate miidi yekugosolwayo kua wana na mbii ya kumi ya efa. Lazima igosolwe kwa unga laini we kubiganywao na hamila yonda yawe ni makafaa ya kusingiswa ya malimbuko ya bosi kwa Yahweh. 18 Monda muete iyo mikate hamwe na wana ngoto mfungate wa mwaka umwe wesao kasoo fahali yumwe mteke na magosi ya ngoto maidi wonda wawe ni makafaa ya kudagamizwa kwa moto kwa Yahweh, na makafaa yao ya nafaka yekugosolwayo kwa moto na kuavya halufu ntana ya kuagiza kwa Yahweh. 19 Lazima muavye mbuzi gosi dimwe kwa ajii ya matoleo ya zambi, na wana ngoto magosi maidi wa mwaka umwe kwa ajii ya zabihu wawe matoleo ya ushiika. 20 Lazima kuhani azikuche hamwe na mkate wa malimbuko wa bosi mbele ya Yahweh waziete kwakwe yawe makafaa hamwe na ngoto magosi maidi yonda yawe makafaa matakatifu ya Yahweh kwa ajii ya kuhani. 21 Mondo mbiikie misi iyo. Kunda kuwe na mkuntano mtakatifu, nkamna mgosoe ndima za kawaida. Idi dinda diwe ni agiizo da kudumu mwe vivyazi vya wantu wenu hantu hohose mwendaho mwekae. 22 Mwendaho mbonde mazao ya sii yenu, Mwese kubonda kabisa nkandankanda ya minda yenu, waa mwese kubonda mazao ya minda yenu. Yabidi myabade kwa ajii ya wakiwa na wageni. Mie nee Yahweh Mungu ywenu." 23 Yahweh akatamuia na Musa, akamba, 24 "Tamuie na wantu wa Israeli na uwambe, "Msi wa bosi wa mwezi wa bosi unda uwe ni mapumziko makini kwa ajii yenu kumbukumbu hamwe na kutoigwa kwa gunda na mkuntano mtakatifu, 25 Nkamna mgosoe ndima ya kawaida lazima muavye zabihu igosolwayo kwa moto wa Yahweh." 26 Ekuawaaho Yahweh akamwamba Musa, akamba, 27 "Msi wa kumi wa mwezi unu wa mfungate, ni msi wa kwevana konda kuwe na mkuntano mtakatifu lazima mwezizitie na kueta makafaa kwa moto. 28 Nkamna mgosoe ndima msi uo kwa ajii ni msi wa kwevana kwa ajii yenu mbele ya Yahweh Mungu ywetu. 29 Yeyose mwese kwezizitia msi uo lazima asengwengwe ni wantu wakwe. 30 Yeyose mwenda agosoe ndima msi uo mimi, Yahweh, nonda nimdagamize aawe mwe wantu wakwe. 31 Mwese kugosoa ndima ndima yoyose mwe msi uo. Idi donda diwe ni agiizo da kudumu mwe vivyazi vya wantu wenu hantu hohose ndiho mwekae. 32 Musi unu unda uwe ni mapumziko ya Sabato yenye utuvu lazima msi wa kenda wa mwezi mwezizitie wakati wa guoni. Tangu guoni hadi guoni monda muitoze Sabato yenu." 33 Yahweh akatamuia na Musa, akamba, 34 "Tamuia na wantu wa Israeli, uwambe mwe msi wa kumi na shano ya mwezi wa mfungate konda kuwe na sikunkuu ya mankambi kwa Yahweh. Yonda idimu kwa misi mfungate. 35 Mwe msi wa bosi konda kuwe na mkuntano mtakatifu. Nkamna mgosoe ndima za kawaida. 36 Kwa mda wa misi mfungate monda muavye zabihu ye kugosolwayo kwa moto wa Yahweh. Mwe msi wa mnane konda kuwe na mkuntano mtakatifu na nywie monda muavye zabihu yekugosolwayo kwa moto kwa Yahweh. Unu ni mkuntano wa utuvu nanywi mwese kugosoa ndima yoyose ya kawaida. 37 Izi nee zikunkuu zekuamuliwazo kwa ajii ya Yahweh ambazo yabidi kuzitozeeza kuwa ni mikuntano mitakatifu ya kuavya zabihu kwa moto kwa Yahweh, makafaa ya kudagamizwa, makafaa ya nafaka, zabihu na makafaa ya vinywaji, kia dimwe mwe msi wakwe. 38 Sikunkuu izi zindaziwe ni mgeeko kwe Sabato za Yahweh na migeeko yenu ninda zenu zose na makafaa yenu yose ya hiali mzitozazo kwa Yahweh. 39 Kuhusu sikunkuu za mankambi mwe msi wa kumi na shano ya mwezi wa mfungate ndiho muwe muyakuba nyumbai matunda yasi, lazima muitunduiye sikunkuu ya Yahweh mwe misi mfungate. Msi wa bosi unda uwe ni mapumziko yenye utuvu hata msi wa mnane unda uwe ni msi wa utuvu. 40 Msi wa bosi monda mtunde tunda tana kuawa kwe miti, monda msenge makuti ya mitende na matambi ya miti mikavu yenye mani mangi, na mani ya mielebi kuawa mwe chemchem za mazi nanywi monda mtamwe mbele ya Yahweh Mungu ywenu kwa misi mfungate. 41 Kwa muda wa misi mfungate kia mwaka monda mshehelekee sikunkuu inu kwa Yahweh. Idi donda diwe ni agiizo da kudumu mwe vivyazi vya wantu wenu wose hohose ndiho mwekae monda mshehelekee sikunkuu inu mwe mwezi wa mdungate. 42 Monda mwekae mwe vikumbi vidoododo kwa misi mfungate. Waisraeli wenyezi wekuvyaigwao wose lazima wekae hamwe mwe vikumbi vidoododo kwa misi mfungate, 43 ili vivyazi vyenu, kivyazi baada ya kivyazi wadahe kwefundisha nekuwagosoavyo wana wa Israeli kwe kaa mwe makumbi enga ivi ne kuwaongozaho kuawa mwe sii ya Misri. Mie nee Yahweh Mungu ywenu." 44 Kwa sia inu Musa akazibiikia kwa wantu wa Israeli sikunkuu ze kuamuliwazo kwa ajii ya Yahweh.