1 Yahweh akatamwia na Musa, akagombeka, 2 "Tamwia na Aroni na wanawe, uwambe, wahepe vintu vitakatifu vya wantu wa Israeli via vyekutengwavyo kwangu. Wesekunajisi zina dangu. Mie ne Yahweh. 3 Uwambe, 'Iwapo yumwe mwe uvyazi wenu kwe kivyazi chenu chose akakaibia vintu vitakatifu via ambavyo wantu wa Israeli wavitenga kwa Yahweh wakati ni najisi sharti mntu uyo aikwe hae na alavigwe mbele yangu. Mie ni Yahweh. 4 Nkana awe aho yeyose mwe uvyazi wa Aroni ambae ana utamu wa mababu wa kuambukiza, au maambukizi yeseeayo kulawa mwii wakwe, onda yeade sehemu oyyose ya zabibu ilavigwayo kwa Yahweh mpaka ondahoatakaswe. Yoyose agusaye kintu chochose chenye unajisi kwa sia ya kugusa mzimu au kwa kumgusa mntu yeyose mlawa shahawa, 5 au yeyose mwekugusa mnyama mwekumgea unajisi au mntu yeyose mwekumtenda awe najisi, kwa iyo unajisi wowose wadaha kuwa-- 6 kuhani yeyose agusaye kintu chochose chesekuwa safi ondaawe najisi mpaka guoni. Nkana ade chochose cha vintu vitakatifu isipokuwa kwehaka mwii wakwe kwa mazi. 7 Zua dikaswa ne ondahoawe safi. Baada ya kucha adaha kuda kulawa mwe vintu vitakatifu kwa sababu iyo nkande yakwe. 8 Esekuda mzoga wowose wekudodolwao au mnyama ekukomwae na wanyama wa pori ambaye kwakwe egea unajisi. Mie ni Yahweh. 9 Ni lazima makuhani watongee maagizo yangu ama sivyo wondawawe na hatia ya zambi na wadaha kutendwa mzimu kwa kwegea unajisi. Mie ni Yahweh niwagosoao wao kuwa watakatifu. 10 Nkakuna mntu kulawa chongoi ya familia ya ukuhani, akiwemo mgeni wa kuhani au mndima wakwe wa kuajiliwa, mdaha kuda kulawa kintu chochose kitakatifu. 11 Mia kama uyo kuhani kagua mndima kwa hea yakwe mwenye, mndima uyo adaha kuda kulawa kwe vintu vyekutengwavyo kwa Yahweh. Na wantu wa familia ya kuhani na wandima wekuvyaigwao nyumbani mwakwe, pia waalaha kuda hamwe naye kulawa mwe vintu ivyo. 12 Ikiwa mwanakivyee wa kuhani katengulwa na mntu mwesekua kuhani nkana ade chochose cha msango wa matoleo matakatifu. 13 Mia uyo mwanakivyee wa kuhani ni mjane, au katalikiwa na ikiwa nkana mwana, na kauya kwekaa nyumbani kwa tati yakwe, kama ekuavyo wakati wa undee wakwe adaha kuda kulawa mwe nkande ya tati yakwe. Mia nkakuna yeyose mwe familia ya kikuhani mwonda aluhusiwe kuda kulawa mwe nkande ya kuhani. 14 Kama mntu onda ade nkande takatifu bila kumanya, nae ondaamuihe kuhani kwa ajii ya icho, yampasa kuongeza moja ya shano uwanga yakwe na kukivuza kwa kuhani. 15 Nkaipaswa wantu wa Israeli kutokuheshimu vitu vitakatifu ambavyo vyenulwa uwanga na kuetwa kwa Yahweh, 16 kisha wakasababisha wenye kudoa zambi ambayo iwagosoa kuwa na hatia ya kuda nkande takatifu, kwa kuwa mimi ni Yahweh awagosoae wao watakatifu." 17 Yahweh akatamwia na Musa, akagombeka, 18 "Gombeka na Aroni na wanawe, na kwa wantu wa Israeli wose. Uwambe, Mwisraeli yeyose au Mgeni mwekaa Israeli waetaho zabihu--- iwe ni kutimiza uwapo au iwe ni kafaa ya hiali, au waetaho kwa Yahweh kafaa ya kuokwa kwa moto, 19 ikiwa wondawakunde ibadiike, ni lazima walavye mnyama wa kigosi mwese dosali, kulawa kwe kundi da ng'ombe, ng'oto au mbuzi 20 Mia nkamnamlavye chochose kisicho na dosai. Nkinanikihokee kwa niyaba yenu. 21 Yeyose mlavya zabihu ya kafaa ya ushiika kulawa mwe kundi da ng'ombe au da ng'oto kwa Yahweh ili kutimiza uwapo, au kama kfaa ya hiali, ili akubalike, ni lazima asekuwa kavia. Ni lazima asekuwa na kasolo mwe mnyama. 22 Msekulavya kabisa wanyama wenye tuntu, wekuumizwao, waa wekuviao, wenye uhee, vionda vilawavyo ufia waa wenye vigaga. Msekuwalavya awa wawe zabihu ya kuokwa kwa moto, yekulavigwayo kwa Yahweh, uwanga ya hemviko. 23 Wadaha kumueta makisai au mwanang'oto mwekuvia au mwekudumaa kuwa kafaa ya hiali, mia kafaa kama iyo kwa ajii ya kutimiza uapo nkaina ihokewa. 24 Usekulavya kwa Yahweh mnyama yeyose mwekugewa jelaha, kuhodwa au kusengwa mahumbu yakwe. 25 Usekugosoa aya mwe sii yako. Usekueta mkate wa Mungu wako kulawa mwe mikono ya mgeni. Ao wanyama wekuviao na wenye dosai ndani yao nkawana wahokelwe kabisa kwa ajii yako. 26 Yahweh akamwamba Musa, akagombeka, 27 "Ukati ndama, mwanang'oto au mwanambuzi avyaigwaho shaliti abaki na mami yakwe, kwa siku mpungati. Ndiho kuvokea aho siku nane na kuendelea adaha kuhokelwa kuwa zabihu yekugosolwayo kwa moto kwa Yahweh. 28 Usekumchinja ng'ombe mvyee hamwe na ndama yakwe au mbuzi mvyee hamwe na kizana chakwe kwa msi umwe. 29 Uavyaho kafaa ya ntogoo kwa Yahweh onda ulavye kwa sia yekukubalikayo. 30 Ni lazima iwe msi uo uo yekulavigwayo, nkakuna kubakiza chochose hata keo. Mimi ni Yahweh. 31 Kwa iyo yapaswa kuzitoza amli zangu na kuzitongea. Mimi ni Yahweh. 32 Msekugea zina dangu soni zina takatifu. Ni lazima wanimanye kuwa ni mtakatifu na wantu wa Israeli. Mimi ni Yahweh niwagosoao ninyi kuwa watakatifu, 33 ambaye kawaeta kulawa mwe sii ya Misri ili awe Mungu wenu: Mimi ni Yahweh."