Sula 4

1 Baada ya Ehudi kuumbwa mzimu, Wantu wa Islaeli wagosoa vituhu ubanasi hemeso ya Zumbe. 2 Zumbe kawagea mwe mikono Yabini. Mfaume wa Kanani, mwekuwada uko Hasori. Mkuu wa jeshi dakwe mwetangwa Sisera, naye kekaa Horosheti ya Mataifa. 3 Wana Islaeli waka mwombeza Zumbe awafiembazi, kwa ajii Sisera kawa na magai ya chuma miya kenda akawashinda wana wa Islaeli kwa nguvu kwa miaka ishiini. 4 Iya debola nabii wa kivyee (mkazi we da Lipidosi), Kawa mwaaha mwongoza mwe Islaeli ukati uo. 5 Nee ekaa asi ya mtende wa Debola gati ya Lama na Beseli mwe sii ya mwiima wa Eflaimu, na wantu wa Islaeli waita ili kuaha masa yao. 6 Akamtuma Balaka mwana wa Abinoamu kuawa kedeshi uko Naftali. Akagombeka, Zumbe, Muungu wa Islaeli, akwamba, hita mwe mwiima wa Toboli, uite hamwe nawe wantu elfu kumi kuawa Naftali na Zabuloni. 7 Nonda nimguuse sisela, Mkuu ya nkondo wa Yabini, abwiyane nawe hehi, na ukongokishoni, hamwe na magai yakwe na jeshi dakwe, na nonda nikwenke ushindi uwanga yakwe.' 8 Balaka akagombeka, Inga wonda uite na nami, nondaniite akini inga nkuita hamwe nami, nkinaniite: 9 Kangombeka, Nandaniite nawe. Inga ivyo, sia uitayo nkaikwenka hishima wewe, kwaajii Zumbe andantage Sisela mwemikono ya mvyee. Nee Debola wkwenu kaho akaita hamwe na Balaka Kedeshi. 10 Balaki akawetanga wana wa Zebuloni na ekongani Kadeshi. Wantu elfu kumi wambasa, na Debola akaita hamwe naye. 11 Heberi (Mkeni) Keusa mwe Wakeni wekuwao uvyazi wa Hobabu (Mkwe wa Msa) na akaika hema dakwe mwaloni weuko saanaimu hehi na kedeshi. 12 WEku mwambia Sisela inga Balaka mwana wa Abinoamu, nee Kaita mwiima wa Tabori, 13 Sisela Ketanga magaii yakwe yose, magii ya faasi mia kenda, na asikai wose wekuwao hamwe naye, kuawa Haloshesi ya Mataifa mpaka ukoongo Kishoni. 14 Debola kamwamba Balaka, Hita! kwajii inu nee siku ambayo Zumbe kamwenka ushindi uwanga ya Sisela. Je! si Bwana mkuongoza? Basi Balaka akaseya kuawa kwe mwiima wa Taboli na wantu kumi elfu wakambasa. 15 Zumbe akagosoa jeshi da Sisela dikachanganyikiwa, magii yakwe yose, na jeshi dakwe dose. Wantu wa Balaka wawashinda na Sisela. 16 Akini Balaka kayatongea magii na jeshi mpaka Haroshesi ya Mataifa na jeshi dose da Sisela dikakomwa kwa upanga wala nkakuna mntu mwe kuisigaa. 17 Akini Sisela akaguuka kwa miundi mpaka hema da Yaeli, mkewe Hebeli Mkeni, kwaajii kuwa na amani gati ya Yabini Mfaume wa Hazani, na nyumba ya Hebeli Mkeni. 18 Jaeli akawa kumhokea Sisela, akagombeka, kaiibu, bwana wangu: Kaiibu kwangu, waa usekuogoha . Inga akekaa kwakwe, akengia hemani kwakwe, naye akamhamba bushuti. 19 akagombeka, Tafazai nenka mazii kidogo ninywe, kwa ajii nina nkiu. Akavugua mfuko wa babu da mee akamwenka anywe, kisha akagubika vituhu. 20 Kamwamba, "Gooka he mwango wa hema. Ikawa mntu ondaeze na kukuuza; Je, kuna mntu hanu? sema nkahana." 21 Iya Jaeli (mkaza Heberi) akadoa kigingi cha hema na nyundo mwe mkono wakwe akaita kwa sii kwa ajii nekanili wa usisiza foo, nee akigea kigingi cha hema upande wa mtwi wakwe akamtunga na kikaumbwa mzimu. 22 Balaka ekuwaho akambasa Sisela Jaeli akaawa kubwiyana naye akagombeka, "Soo, nonda nikuoneshe mntu umwondezaye."Basi akengiya hamwe naye nkandai ya mtwii wakwe. 23 Basi siku iyo Zumbe akamshinda Jabin, Mfaume wa kanaani,mbee ya wantu wa Isleli. 24 Umanyi wa wantu wa Islaeli uwa na nguvu zaidi zidi ya Jabin Mfaume wa Kanaani, hata weku mkomaho.