Sura ya 39

1 Yusufu akaetwa Misri. Potifa, mwekuwa Afisa wa Farao mkuu ywao walinzi na Mmisri, akamgua kuawa kwa Waishmaeli, wekuwao wamwegaa hada. 2 Yahwe nee yu hamwe na Yusufu na akawa muntu mwe kufanikiwa. Akekaa mwe nyumba ya Mmisri zumbe yakwe. 3 Zumbe ywakwe akaona kuwa Yahwe nee yu hamwe nae na kwamba Yahwe kafanikisha kia kintu ekugosoacho. 4 Yusufu akapata kibali mbele zakwe. Akamhizikia Potifa. Potifa akamtenda mgookezi juu ya nyumba yakwe na kia ambacho kakimiiki, akakiika si ya ukawizi wakwe. 5 Ikawa ekumtendaho mgookezi juu ya nyumba yakwe na juu ya kia kintu ambacho kakimiliki, Yahwe akaibaliki nyumba ya Mmisri kwa ajii ya Yusufu. Balaka za Yahwe zikawa juu ya kia kintu ekuwachonacho Potifa nyumbai na tanga. 6 Potifa akaika kia enacho si ya ukauwizi wa Yusufu. Nkee kuwa na haja ya kuafya juu ya dodose iya nkande adayo tu. Basi Yusufu nee m'bwanga mtana sana. 7 Ikawa baada ya ayo mkaza bwana ywakwe akamkunda Yusufu. Akamwamba, "Gona na mimi." 8 Akini yeye akaemea na kumwamba mkaza bwana yakwe, "Kauwa bwana ywangu nkakauwa chochose nigosoacho nyumbai, na kaika kia kintu ambacho akimiika si ya ukauwizi wangu. 9 Nkakuna muntu ambae ni mkuu mwe nyumba inu kwemboka mimi. Nkazati kuniziwia chochose iya wewe, kwakuwa wewe umkaziwe. Ni kwamna yani basi nadaha kugosoa uovu mkuu namna inu na kumgosoa zambi Mungu? 10 Akamwambai Yusufu msi baada ya msi, akini yeye akaemea kugona nae wala kuwa naye. 11 Ikawa msi umwe yoyose ywa nyumbani mwekuaho hada ndani. 12 Akadoza nguo zakwe na kwamba, " Gona na mimi." Akabada nguo zakwe mwe mikono yakwe akaguuka na kuawa chongoi. 13 Ikawa, ekuonaho kwamba kazibada nguo zakwe mwe mikono yakwe akaguuka chongoi, 14 akawetanga wantu wa nyumbai mwakwe na kuwamba, "Kauwa, Potifa kaeta Mwebrania uyu kutisizigia. Kengia kugona na mimi, na nee nakema. 15 Ikawa ekusikiaho nakema nkonda, akazibanda nguo zakwe akaguuka, na kuawa chongoi." 16 Akaika nguo zakwe hehi nae hata muume ekwezaho nyumbai. 17 Akamwambia maelezo haya, "Yuda mndima Mwebrania wekumwetae kwetu, kengia kunisizigia. 18 Ikawa nekukemaho nkondo, akabanda nguo zakwe kwangu akaguuka chongoi." 19 Ikawa, bwana ywakwe ekusikiaho maelezo ekwembiwayo ni mkaziwe, "Ivi nee mndima ywako ekunigosoavyo," akakimwa sana, 20 Zumbe wa Yusufu akamdoa na kumwiika geezani, hantu wekuikwaho wafungwa wa mfaume. Akawahada kifungoni. 21 Akini Yahwe nee yu hamwe na Yusufu na kumoonyesa uanifu wa kiaga. Akamwenka kibali mbele ya mlinzi ywa geeza. 22 Mlinzi ywa geeza akawaika mwe mikono ya Yusufu wafungwa wose wekuwao geezani. Chochose wekugosoacho, nee kisi ya ukauwizi wa Yusufu. 23 Mlinzi wa geeza nkeekuwa na wasiwasi juu ya chochose chekuwacho mwe mikono yakwe kwa ajii Yusufu nee yu hamwe nae, Yahwe akafanikisha kia ekugosoacho.