1 Yakobo akenua meso yakwe na, kaua, Esau neakeza, nanekawa na wantu mianne hamwe na yeye. Yakobo akawagawanya wana kati ya Lea, Raheli, na wada wandima waidi. 2 Akabinda akawaika wandima na wanao mbele, wakatongewa na Lea na wanawe, Raheli na Yusufu wakatongea mwisho wa wose. 3 Yeye mwenye akaongoa mbele yao. Akasujudu mara saba kuelekea ardhi, hata ekuahohehi na umbudakwe. 4 Esau akaguuka kumlaki, neamkubatia, akakumbatia singo yakwe na kumbusu. Akabinda neewaiya. 5 Esau ekwenuaho mesho, kaona wavyee na wana. Akauza, "Awa wantu hamwe nawe nikina ndai?" Yakobo akagombeka, Ni wana ambao Mungu kamwenka mtumishi wakwe kwa neema." 6 Ikabinda wandima wakekaa hamwe na wana wao, nao newasujudu. 7 Akatongea Lea na wanawe wakeza na kusujudia. Kiheo Yusufu na Raheli wakeza na kusujudia. 8 Esau akagombeka, Wamaanisha mbwai kwa makundi aya yose nekuduganayo nayo?" Yakobo akamba, "Kuondeza kibali mbele zumbe yangu. 9 Esau akamba, "Ninayo ya kugenyea, umbuu dangu. Tunza wenayo kwa ajii yako mwenye." 10 Yakobo neeamba, "Aaachuu, tafazai, ikiwa nkiona kibali mbele zako, basi uhokee zawadi yangu kuawa mwe mikono yangu, na nikama kukaua cheni cha Mungu, na kunihokea. 11 Tafazai hokea zawadi yangu wekuetewayo, kwa via Mungu kanigoswea kwa neema, na kwavia ni navyo vya kutosha." Ivyo Yakobo akamsihi, na Esau neeamkubali. 12 Akabinda Esau akamba, "Haya tihauke. Ndanikuongwee." 13 Yakobo akamwamba, "Zumbe yangu eza kwamba wana ni wateke, na kwambo ngoto na ng'ombe wankesa ndama wao. Ikiwa wendawegalwe kwa kinyanyi siku mwenga, wanyama wose wandawafe. 14 Tafazai zumbe yangu na amwongoee mndima yakwe. Nndanitambe mpahoe mpahoe, kwa kadii ya mifugo yembele yangu, na kadii ya wana, hata nendahonibue kwa zumbe yangu uko Seiri." 15 Esau neeamba, haya nikubadie baadhi ya wantu wangu ambao wahamwe na mimi." Yakobo akamba, "Kwa mbwai kugosoa ivyo? Zumbe yangu keza mkalimu yangu kiasi cha kutosha." 16 Ivyo Esau akavoka kuuya Seiri. 17 Yakobo akatamba kuelekea Sukothi, akezengea nyumba, na akagosoa kwa ajii ya mifugo yakwe. Ivyo zina da eneo detangwa Sukothi. 18 Yakobo ekwezaho kuawa Padani Aramu, akabua saama katika mzii wa Shekemu, wekuao mwe sii ya Kanaani. Akatoa nkambi hehi na mzii. 19 Kisha akagua kipande cha ardhi ekuaho kaika hema dakwe kuawa kwa wana wa Hamori, tatiakwe da Shekemu, kwa vipande mia vya feza. 20 Akazenga mazabahu hada na kuyetanga El Elohe Israeli.