1 Yakobo pia akaendelea na ntambo yakwe, na malaika wa Mungu wakakintana naye. 2 Yakobo ekuwaonaho akaamba, "Inu ni nkambi ya Mungu," kwaiyo akahetanga hantu hada Mahanaimu. 3 Yakobo akatuma wajumbe mbee yakwe waite kwa Esau nduguye kwe sii ya Seiri, kwe eneo da Edomu. 4 Akawaagiza akamba, "Ivi nee mwendavyomseme kwa mkuu wangu Esau: Ivi nee mtumwa wako Yakobo aambavyo: 'Nee nkiwa nikekaa na Labani, naye kacheewa kuuya kwangu hadi ivi sasa. 5 Nina ng'ombe, mphunda, na ngoto, wajori na wajakazi. Nkituma ujumbe unu kwa mkuu wangu ili kwamba nipate uhusa mbee yako." 6 Wajumbe wakauya kwa Yakobo na kumwambia, "Tiita kwa Esau nduguyo. Eza kukuhokea hamwe na wantu mia nne." 7 Nee Yakobo aogoha na kutaabika sana. Akawapanga wantu ekuwao nao kwe nkambi mbii na ngoto pia, mbuzi na ngamia. 8 Akaamba, "Ati Esau onda aishambulie nkambi mwenga, ndiho nkambi ya kaidi yendaho isalimike." 9 Yakobo akaamba, "Mungu wa tati yangu Ibrahimu, na Mungu wa tati yangu Isaka, Yahwe, wekuniambiae, "Uya kwe sii yako na kwa jamaa yako, nami nonda nikustawishe,' 10 Miye nkina stahili ya matendo yako yose ya agano da uaminifu na ustahilifu wose wekumgosweeao mtumwa wako. Mana nkiwa na ngoda tu, nekuvukaho unu mto wa Yordani, na ivi sasa nkiwa na matuo maidi. 11 Tafazai niokoa kuawa kwe mikono ya ndugu yangu, mikono ya Esau, kwa mana namuogoha, kuwa onda eze kunishambulia mimi na wavyee na wana. 12 Miya kwamba, 'Hakika nonda nikutende ufanikiwe. Nonda niugosoe ukoo wako kuwa kama msanga wa bahai, ambao nkaudaha kuhesabika." 13 Yakobo akekaa hada kiyo kigima. Akadoa baadhi ya vintu ekuwavyo navyo kama zawadi kwa Esau, nduguye: 14 mbuzi wakivyee mia mbii na mabeberu ishiini, ngoto wa kivyee mia mbii na magosi ya ngoto ishiini, 15 ngamia wakamwao mee selasini na wana wao, ng'ombe wakigosi alubaini, na matuhu kumi, mphunda wa kivyee ishiini, na wa kigosi ishiini. 16 Akawaika mwe mikono ya watumwa wakwe kiya kundi ikedu. Akawamba, "Ongoani mbee yangu na muike nafasi kati ya kundi na kundi. 17 Akamwagiza mtumishi wa bosi, akawamba, "Ndugu yangu Esau endaho akintana nawe na kukuuza, "Nyie ni wa ndai? Mwaitahi? Na wanyama awa mbee yenu ni wa ndai? 18 Umwambe, ni mtumwa wako Yakobo. Ni zawadi amwegaiyazo mkuuwe Esau. Naho eza yu nyuma yetu.'' 19 Yakobo akaavya maelekezo kwa kundi da kaidi na da ntatu na wantu wose wekuongozanao na makundi ya wanyama. Akamba, mseme via via kwa Esau mundaho mdugane naye. 20 Yawabidi mgombeke kwamba, 'mtumwa wako Yakobo pia eza nyuma yetu." Kwani kafikii onda amtuize Esau kwa zawadi nekutumazo mbee yangu. Halafu baadaye nendaho nimuone, bia shaka onda anihokee." 21 Bosi zawadi zikaongoa. Yee mwenye akekaa nkambini kio icho 22 Yakobo akenuka na kio, na akawadoa wezwaake, watumwa wake wa kivyee na wanawe kumi na mbii. Akawembosa koongo da Yaboki. 23 Kwa siya inu akawegaa kwembokea chemchemu hamwe na mai yakwe yose. 24 Yakobo akabadwa ikedu na mntu akashindana naye hadi makeo keo. 25 Mntu yuda ekuanaho nkadaha kumshinda, akatoa nyanga yakwe. Nyanga ya Yakobo ikate yuka ekuaho akashindana naye. 26 Yuda mntu akamba, "Eka niite kwani kwacha." Yakobo akamba, nkina nikuekee uite mpaka unibaiki." 27 Yuda mntu akamuuze, "Zina dako ni ndai?" Yakobo akamba, "Yakobo." Yuda mntu akamba, 28 "Zina dako nkadina diwe Yakobo vituhu, bali Israeli. Kwa mana kushindana na Mungu na wanadamu naho kushinda." 29 Yakobo akamwamba, "Tafazai niambia zina dako." Akamwamba, "Kwa mbwai waniuza zina dangu?" Kisha akambaiki hada. 30 Yakobo akapata hantu hada Penieli mana kaamba, "Nkimuona Mungu cheni kwa cheni, na maisha yangu yasalimika." 31 Zua dikalawa Yakobo ekuiyombokaho Penieli. Nee akadema kwa sababu ya nyonga yakwe. 32 Ndiyo mana wana wa Israeli nkawada nyama ya nyonga mana yuda mntu kaumiza izo nyama ekutenguaho nyonga ya Yakobo.