1 Abraham akatumba kuawa hada kiamuo si ya Negebu, na akekaa kati ya Kadeshi na Shuri. Akatenda mgeni akekaa Gerari. 2 Abraham akagombeka kuhusu mkaziwe Sara, "ni umbu dangu." Kwa iyo Abimeleki mfaume wa Gerari akaagia wantu wakwe kumdoa Sara. 3 Akini Mungu akamwaawia Abimeleki nakio mwe sozi akamwamba, "Kauwa wee umtakufa kuawana na mvyee wekudoao kwakuwa ni mkaza muntu." 4 Basi Abimeleki nee nkazati kumwengiia ivyo akamba, "Zumbe, Je wenda ukome hata taifa denado haki? 5 Je nkie yeye mwenye mwekunambia, 'Sara ni umbude? Hata Sara mwenye pia kagombeka, 'ni kakie yangu.' Nkigosoa idi mwe uadilifu wa moyo wangu na mwe mikono yesayo kuwa na hatia." 6 Ikabinda Mungu akatamwia naye mwe sozi, "Kwei, namanya pia kwamba kugosoa idi mwe uadilifu wa moyo wako na pia nkikukindia wesekugosoa zambi zidi yangu mimi. Ndio mana ncheekuluhusu umtoze. 7 Kwa iyo mvuze uyo mkaza muntu kwakuwa ni nabii. Enda akuombee, na wenda wekae. Akini ukese kumvuza umanye kwamba wee hamwe na wose we kwako mwenda mfe kwei. 8 Abimeleki akenuka keo keo akawetanga wandima wakwe wose waze kwakwe. Akawatamwiiza mbui izi zose na wantu wada wakaogoha sana. 9 Ikabinda Abimeleki akamwetanga Abraham na kumwamba, "Kutigosweea mbui yani? Nikwa viivihi nkikugosoa zambi kwamba kunietea mimi na mfaume ywangu zambi inu nkuu? Kunigoswea mimi mbui ambayo nkaitama kugosolwa." 10 Abimeleki akamwamba Abraham, "Ni mbwai chekusawisho wee kugosoa mbui inu?" 11 Abraham akamba, "Ni kwasibabu nkiafya kwei nkaku na wengee wa Mungu hantu aha, na kwamba wenda wani kome kwa ajii ya mkazangu.' 12 Licha ya kuwa kwei ni umbu dangu, binti ywa tate, hatiho nkio mwana kivyee ywa mmaa na nee mwekutenda mkazangu. 13 Ukati Mungu ekuniusaho mwe nyumba ya tate na kutamba kuawa hantu kuita hantu hatuhu, nkimwambia mkazangu kwa kia sehemu ndio tiite unionyese uaminifu wako kana mkazangu: kia hantu ndiho tiite, ugombeke juu yangu kwa, "Ni kaka yangu." 14 Nee Abimeleki adoa ngoto, makisai, watumwa wa kigosi na wakivyee akamwenka Abraham. Basi Abimeleki akamvuza Sara, mkaza ywa Abraham. 15 Abimeleki akamba, Kauwa si yangu imbee yako, ekaa ha hendahohakutamie." 16 Na kwa Sara akamba, Kauwa nkimwenka umbudo vipande elfu vya feza. Navyo ni kwa ajii ya kugubika ubanasi wowose zidi yako mwe meso ya wose hamwe na wee na mbele ya kia muntu ambae kumgosoa kuwa haki." 17 Ikabinda Abraham akaombeza kwa Mungu, Na Mungu akamhonya Abimeleki, mkaziwe na watumwa wakwa wa kivyee kiasi kwamba wakadaha kupata wana. 18 Kwa kuwa nee kawatenda wavyee wose wa nyumba ya Abimeleki kuwa mgumba kabisa kwa ajii ya Sara, mkaza Abraham.