Sura ya 2

1 Akabinda mbingu na sii zibindizika, na viumbe hai vyose vyekumemezavyo mbingu na sii. 2 Msi wa mpungati Mungu kabua mwisho wa ndima yakwe ambayo kaigosoa, na kwa hiyo nee ahumwiza msi wa mpungati kulawa kwe ndima yakwe yose. 3 Mungu akaibalikia msi wa mpungati na kautakasa, kwa kuwa katika msi uwo kahumwiza kulawa kwe ndima yakwe yose ambayo kaigosoa katika uumbaji. 4 Haya neyawa ni matukio yahusuyo mbingu na sii, wakati vyekuu mbwavyo, kwe msi ambao Yahwe Mungu kaumba sii na mbingu. 5 Nkahekuwa na mzitu wa mnda wekuwao kwe sii, na mmea wa mnda wekuwao uhota, kwa kuwa Yahwe Mungu nee nkekusababisha fua kunya uanga ya sii na nkahekuwa na mntu wa kuima arizi. 6 Akini ukungu newenuka uanga kulawa kwe sii na kuugea mazi cheni chose cha alizi. 7 Yahwe Mungu kaumba mntu kulawa uongo wa alizi, na akamvuzia kwe mphua pumzi ya uhai, na mntu akawa kiumbe hai. 8 Yahwe Mungu alitowesha bustani upande wa mashaliki, kwe Edeni, na hada akamwiika mntu ambaye kamuumba. 9 Kulawa alizini Yahwe Mungu kagosoa kia mti uhote ambao wagizwa na ni mtana kwa nkande. Inu ni hamwe na mti wa ugima ambao ne uwa gatigati ya bustani, na mti wa ujuzi wa matana na mabaya. 10 Mto ukalawa chongoi ya Edeni kuigea mazi buastani. Na kulawa hada ukadumuka na kuwa mito minne. 11 Zina da uda wa bosi ni Pishoni. Unu ni uda ambao watitirika kwembokea sii yose ya Havila, ambaho hana zahabu. 12 Zahabu ya sii ida ni ndana, pia kuna bedoka na iwe shohamu. 13 Zina da mto wa kaidi ni Gihoni. Unu watiririka kwembokea sii yose ya Kushi. 14 Zina da mto wa ntata ni Hidekeli, ambao watitilika mashaiki mwa Ashuru. Mto wa nne ni Frati. 15 Yahwe Mungu akamdoa mntu na kumuika ndani ya bustani ya Edeni kuiima na kuitunza. 16 Yahwe Mungu kamuagiza mntu akagombeka, "Kulawa kwe kia mti wa bustani wadaha kwe kia mti wa bustani wadaha kuda kwa uhulu. 17 Akini kulawa kwe mti wa ujuzi wa matana na mabaya usekuda. Kwa kuwa msi undayo ude kulawa kwe mti unu unda ufe kwei." 18 Ukawa Yahwe Mungu akagombeka, "Nkiombui ntana kuwa mntu uyu lazima awe ikedu. Ninda nimgosoee msaidizi amkundae." 19 Kulawa alizini Yahwe Mungu akagosoa kia mnyama wa kwemnda na kia mdege wa angani kisha akawaeta kwa mntu uyu akaue nekawapatia mazina yani, zina ambado mntu uyu kawetanga kia kiumbe hai, idi ndido dekuwavyo zina dakwe. 20 Mntu uyu akawenka mazina wanyama wose, wadege wose wa angani, na kia mnyama na mzitu. Akini kwa mntu mwenye nkahokuwa na msaidizi wa kumfaa yeye. 21 Yahwe Mungu akaeta msaidizi mzito kwa mntu uyu kwa hiyo mntu uyu akagona. Yahwe Mungu akadoa mwenga ya mbavu za mntu uyu na akahagubika hada ekudoaho ubavu. 22 Kwa ubavu ambao Yahwe Mungu nekadoa kulawa kwe mntu uyu, akagosoa mvyee na kumuetea kwa mntu uyu. 23 Mgosi akagombeka, "Kwa wisasa, uyu ni vuha kwe mavuha yangu, na nyama kwe nyama yangu. Andaetangwe 'Mvyee,' kwa kuwa kadoigwa kwe mgosi. 24 Kwa hiyo mgosi andaambade tatiakwe na mamiakwe andaaunganike na mkaziwe, na wandawawe mwii umwe. 25 Wose waidi newawa mwazi, mgosi na mkaziwe, akini nkawekuona soni.