1 Nee mwe misi ya Amrafeli, mfaume wa shinari, Arioko, mfaume wa Elasari, Kedorlaoma, mfaume wa Elam na Tidali, mfaume wa Goimu, 2 Wataona nkhondo dhidi ya Bera mfaume wa Sodoma, Birsha, mfaume wa Gomora, Shinabu, mfaume wa Adma, Shemeberi, mfaume wa Seboim, na mfaume wa Bela(yekuwayo iketangwa Soari). 3 Wafaume awa washano wa mwisho waungana hamwe kwe koongo da Sidim (ndekutangwado bahai ya munyu). 4 Kwa miaka kumi na mbii ne wakamtumikia Kedorlaoma, mia mwe mwaka wa kumi na ntatu nee waasi. 5 Kisha mwe mwaka wa kumi na nne Kedorlaoma na wafaume wekuwao hamwe waungana na kunanganiwa Warefai mwe Ashteroth Karnaimu, na Wazuzi mwe Hamu, Waemi mwe Shawe Kiriathaimu, 6 na Wahori mwe muima wao wa Seiri, mpaka El Parani ye hehi na jangwa. 7 Kisha wakauya wakeza En Misifati (Pia yetangwa Kadeshi), na kuivota sii yose ya Waamaleki, na pia Waamori ambao wakwekaao Hasasoni Tamari. 8 Nee mfaume wa Sodoma, mfaume wa Gomora, mfaume wa Adma, mfaume wa Seboim, na mfaume wa Bela (pia yekwetangwayo Soari) nee wenda kutenda nkondo 9 dhidi ya Kadorlaoma, mfaume wa Elam, Tidali mfaume wa Goim, Amrafeli, mfaume wa Shinari, Arioki, mfaume wa Elasari; wafaume wanne dhidi ya wada washano. 10 Ivi aha koongo da Sidimu nee dimema matubwi ya lami, na wafaume wa Sodoma na Gomora wekweguukiako wakaguia aho wada wekubakiao wakaguukia kwe miima. 11 Mnkuu ywao akazidoa mai zose za Sodoma na Gomora na nkhande zao zose, na wakahauka, 12 Wekuhaukaho wamdoa Lutu, mwanda ywa nduguywe Abram mwekuwa akekaa Sodoma, hamwe na mai zose. 13 Yumwe ekunyiikae nee eza na akamgombeka Abram mwebrania. Mwekuwa ekaiye mialoni ya Mamre, mwamori ekuwaye ndugu ywa Eshkoli na Aneri wekuwao washirika wa Abram. 14 Abram akwendaho kusikia kuwa wankuu wamteka nduguye akawaongoza wagosi wekufundishwao na kuvyaigwao nyumbai mwake 318 na akawaongoza mpaka Dani. 15 Akawapanga wantu wakwe dhidi yao kio na kuwavamia, na kuwaguusa mpaka Hoba,ya kaskazini mwa Dameski. 16 Nee azivuza mai zose, pia akamvuza nduguye Lutu na mai zakwe, hamwe na wavyee wa wantu watuu. 17 Baada ya Abram kuuya kulawa kwe nkhondo na kumtoa Kadorlaoma na wafaume wekuwao hamwe nae, mfaume waSodoma akalawa kwenda kudugana nae kwe koongo da Shawe (koongo da ufaume). 18 Melkizedeki, mfaume wa Salem, akaeta mkate na divai. Nee ni kuhani mkuu sana wa Mungu. 19 Akambariki akagombeka, "Abarikiwe Abram na Mungu muumba wa mbingu na sii. 20 Abarikiwe Mungu ywa kenya mwekukwenkha wankuu wako mwe mikono yako." Kisha Abram akamwenkha sehemu ya kumi ya kia kintu. 21 Mfaume ywa Sodoma akamgombeka Abram, "Nenkha wantu, wee edowee mai." 22 Abram akamgombeka mfaume wa Sodoma, "Nchenua mkono wangu uwanga kwa Yahwe, Mungu mwe uwanga, muumbaji mbingu na sii, 23 kwamba nkhina nidoe uzi wala gidamu ya kiatu au kintu chechose chako, ili wesekwamba nkhimtenda Abram kuwa taajii.' 24 Nkhinanidoe chechose isipokua kia chekuigwacho na wantu kumwe mekuitao nao. Aneri, Eskoli, na Mamre na wadoe hesa zao."