Sura ya 1

1 Ikawa mwe mwaka wa sasini, mwezi wa nane na msi ya shano ya mwezi ikawa kuhusu kwamba nkiwa nikeka miongeni mwa wafungwa hehi na kebali nikeka miongeni mwe wafungwa hehi na kebali kanali mbingu zikavuguka nikaona maono ya mungu. 2 Mwe msi wa shano mwe mwezi uwe iwa mwaka wa shano wa utumwani wa mfaume yehoyakini_ 3 Nene da yahwe dikamwezea ezekieli mwana buzi kuhani mwesi ya wakaldayo hehi na kebai kanali na mkono wa yahwe uwa uho uanga yakwe. 4 Ikabinda nikaona kuwa na npeho wa zoluba yaeza kulawa kaskazini zunde ku hamwe na moto wa ungazi ndani yakwe kunga ukazunguka ndani yakwe na moto uwa na langi ya kahalabu ndani ya dozunde. 5 Gatigati kuwa na viumbe vine vinanavyo mwonekano wao uwa ivi wawa na mfano wa mntu. 6 Iya wawa na sula ne kia moneka na kia yumwe kawa na mawawa mane. 7 Miundu yao iwa inyooka, iya nyayo za miundi yao za miundi yao ziwa enga kwato za ndama zekuwazo zikanga kama shaba ikusukulwayo. 8 Bado wawa na mikono ya binadamu si ya mawawa yao siya nhande zose ne kwa wose wane vyeni vyao na mawa viwa ivi. 9 Mawawa yAo yawa yaungana na viumbe vituhu na nkawekuya wekuwaha wakaite baadi yakwe kia meneka aita mbele. 10 Kupanana kwa vyeni vyao uwa enga cheni cha mwanadamu awe wane wawa na cheni cha simba kwa upande wa kume awo wane nao wawana cheni cha tai. 11 Vyeni vyao viwa ivyo na mawawa yao yawa yatawanyika uanga basi ivyo viumbe kia chekuwacho na jozi ya mabawa yakuwayo yatozana na wawa da kiumbe kituhu naho pia jozi za mawawa yawa yagubika mi yao. 12 Kia yumbe aita mbele basi ivyo hohose loho ekuwaelekazaho kuita, waita bila kuuya. 13 Kama kwa kufanana kwa awa viumbe hai mwonekano wao uwa kama ka moto wakao enga muonekano wa nulu ungazi wa moto pia ukasama hehi na miongoni mwe viumbe na wawa na mwonekano wa umbauwa. 14 Awo viumbe hai viwa vikasama mbio mbele na nyuma na wawa na mwonekano wa umbauwa. 15 Ikabinda nikawakauwa wada viumbe hai kuwana ngudumu mwenga uanga ya alizi nkandani ya via viumbe hai. 16 Unu ne ukuwao mwenekano na umbo wa izo ngudumu kia ngudumu iwa enga zabalajadi na mane ayo yawa na mfano umwe mwonekano wao na umbo viwa enga ngudumu yekunganikayo na tuhu. 17 Ukati yada magudumu yekuwaho yakenda, yaita bila kuya mwe mwelekeo wowose viumbe vyekuwaho vikaelekea. 18 Kama kwa uoande vivimbe wawa na meso yazunguka kose. 19 Hehose via viumbe hai vyekuwako vikaelekea yada magudumu yaelekea hehi nao nao ukati viumbe hai vyekwenukaho kulawasi na yada magudumu nayo yenuka. 20 Hehose roho ekuitako waita na yada magudumu yenuka hehi nao, loho wa kiumbe hai iwa magudumu. 21 Hehose via viumbe vyekuelekeako magudumu nayo yakaelekea uko na ukati wada viumbe wekugokano hata ivyo magudumu yakagoka hehi nao kwa sibabu yuda loho wa wada viumbe kawa mwe yada magudumu. 22 Uanga ya mitwi ya wada viumbe hai kuwa na mfanano wa anga iwa yanga enga mfano wa balafu wanga ya mitwi yao. 23 Si ya anga kia mawawa ya kiumbe kimwo yanyoshwa mbele na kudontana kia mawawa na kiumbe kimwe kimwe kuwa na jezi mwenga kwa aji ya kwegubika. 24 Ikabindo nikasikia sauti ya mawa yao enga mkemo wa mazi mangi enga sauti ya mwenye enzi hohose wekuelekeako kama sauti ya jeshi hohose hada wekugokaho na kuseza mawawa yao. 25 Sauti ikaja kutoka juu ya anga juu ya vichwa vyao popote waliposimama na kushusha mabawa yao. 26 Uanga ya anga ya mitwi yao kuwa na mfano wa kiti cha enzi ambacho kiwa na mwenekano wa iwe da samawati, na uanga mfano wa kiti cha enzi kipananacho kama mwenekano wa mwanadamu. 27 Nikaona umbo denye mwonekano wa chuma chenye kunga hamwe na moto ndani yakwe kulawa kwe mwonekano wa uanga wa nyonga zakwe nikaona kuteka kwe mwonekani wa vigudi vywake upanda wasi mwonekano wa moto na mngao uzunguka kose. 28 Inga uonekanavyo upinde wa fua kwe mazundemwe msi wafua uwa ni mwonekano ufanano na utukufu wa yahwe ukati nekuonaho nikahisi kwe cheni changu na nikategeza sauti ikatamwia.