2 Petro

1 Simoni Petero, mtumwa na nduuma wa Yesu, kwa badi kuipokwela imanii yole yole ya kukundani kamaa kipokwela shie, imanii ilege mundaa ya hakii ya Filenyambe na Bwana witu Yesu. 2 Neemaa diwe kwinu; amani igenzuka kulega madifaa ya filenyambe na uwakadi witu Yesu Kristu. 3 Kulegela maadifa ya filenyambe twapata mianda yage yonso kwa ajidi ya buchaji bwamagiiha, tukaa kwa Filenyambe atugiyita kwa ajidi ya ulegele wa utufuu wage. 4 Kwa njeela hidi aditumanidishila ahadi kuulu za thamani. udiyuli hidi kutuwegela wadishi wa asidia ya Filenyambe, ku udima tudi kugendelea kuigula mukwa uovu wa ketolo higi. 5 Kwa sabidi higo, fanya biidi kuyungeza ulege kwa njeela ya imani yinu kwa sababu ya uilegele, maarifaa. 6 Ilegele maarifaa, kidiani na ilegelela kidiasi sabudi, na ilegelela saudi, atuuva. 7 Ilegele atuuva upendu wa ndugu na ilegelela mpendu wa nduguu, upendo. 8 Kamaa mianda haya idmo mundaa yenu, na kuigendela kukwaa mundaa yinu bashi nyinyi hamtakwela taasa au bantu mushikuboota bitunda ilegelela maadifaa ya Bwana yitu Yesu Kristu. 9 Obebya yiyuta asiledi na mianda heya, huyamuna minada ya kadibutu; yeyee ni kimpufu. amezanga uta kazo wa zambii zageza kalu. 10 Kwa hidio, ndugu wo, mufanye juhudi idi kudihaki kishila utuule na witu kwajidi yiinu. kamaa mwabitenya hayaa, yumukudikwala. 11 Hibyo mkalegele bwingi wa mulondulu kuingidila ilegelela umulowe wa ilelee wa Bwana witu na Mukwezi Kristu. 12 Kwa hidio mimii nikwayu tayadi kuwa kumuna mianda hedia kila mara,hata kamaa mnadifahamu, na sasa mwakwile mwayuma imara ilegelela kweli. 13 Ninafikidia kuwaa nidi sahihi kuwaabusha na kubakumbusha yewa ya mianda hadia, ingedihimo ilegelela pemaa hidii. 14 Kwambaa na cheeba kuwa si mudaa mwilu nitaikatule yema yonde, kamaa bwanaa Yesu Kristu alivyoniongishela. 15 Nidikudi tahidi kwa bidiya wa ajili yinu idi mkambuke mianda hadiya baada ya mimii kuyanduka. 16 kwa kua sisi hatukufwata hatii ziinguilwa kwa ustadi palu udipo baguaza yewa ya ngufu na kujidihirishwa kwa bwaana witu Yesu Kristu, badi sisi tliekula mashaudi wa utukuvwa wage. 17 Yeyee wapoto kia utukuvwa na adabu tokaa kwa Filenyambe baba padii saguti iyukelela toka katika utukuvwa mukulu ugoza,''Hobe ndidi mwaanagonde, mpenda wanguu ambadile nimemelendezwa nage.'' 18 Tuiyukela sayuti higi iyukela mbimgunii padi tuikela nage kwedia udi mudima(kiulu) kitKtifu. 19 Tudilo hidia mianda la umudumaa dia didibitika, ambadio kwabo mwafanyela byemakute tetileza, ni kamaa taala ingengelayo kisaani mpaka kuchupo na kikwekwe(nyoota) za mawinguu zidimuku monena zo ilegelela mitema yinu. 20 Twabueni hadia ya kwambaa, kuushi undumaa udinu kwandikwa kwa sababu ya kuizukifidisha kwa nduuma mwenyegwe. 21 Kwa kwaa kuushi unduma uvaja kwa kumapendu ya waanadamu, idilipo waanadamu waligwezeshwa na kitema kitakatifu umukugoza kutoka kwa Filenyambe.