Sura 7

1 Mafarisayo nabaadhi ya andishi ambao makeri makidumera Yerusalemu makakusanyika kumzunguluka warewe. 2 Na makaona kuwa baadhi ya anafunzi ake makoya mkate kwa moko najisi ambayo tamakanawa. 3 Kwa Mafarisayo na Ayahudi onde tamakoya mapata maosha moko uzuri na makwatelela utamaduni wa azee.Wakati, 4 Mafarisayo makashoka kuduma vatu va chetani tamakayo mpaka madambe kwanza. Na kuna sheria nyengi ambasho namashituwa kabisa, ikikala vamwe na kudambinja ikombe, masufuria, njombo sha shaba na hata itumbe shitomeka waka wang'ande. 5 Mafarisayo na aandishi makamonja Yesu, " kwanjindo anafunzi echu tamaishi kulingana na tamaduni sha azee kwani na makayo mkate bilakunawa moko?" 6 Lakini warewe akaaera, "Isaya alitabiri uzuri kuhusu imwi anafiki akaandika, 'Atu aya namaniheshimu kwa miromo yoo, lakini ngoro shoo shi mbali inye. 7 Namaniketeja ibada shitari na maana makifundisha sheria sha anadamu kama mavokero oo.' 8 Mnyitia sheria ya Mrungu na kukwatelela kwawepesi tamaduni shaa aanadamu." 9 Na akaamba koo, "Mnyileya amri yaMrungu kwaurahisi ili kwamba mtuze tamaduni shenyu! 10 Kwa kuwa Musa akwamba, Mheshimu papa na mayo wechu na ora akwamba 'Mapei oru ya papa wake au nyinya yake haki asangwa.' 11 Lakini na kwamba 'Kama motu akiamba kwa papa yake au mayo, "Msaada wowote ambao mkeri vokera kuduma kwakwa ni hazina ya Hekalu,"' ( eso ni kwamba idinywa kwa Mrungu.') 12 Ogo tatiniruhusu kuketa jambo lolote kwa ajili ya papa au nyinya yake. 13 Namnyiketa amri yaMrungu kuwa bure kwa kureta tamaduni shenyu. Na mambo mengi ya jinsi eso mnyiketa." 14 Akaaeta makutano kenja na kuwaera "Mnietekenji inye imwi onde na mmbelewe. 15 Takori chochote nachiweza kumchafua motu chikidongora kwake. Bali nikera chimduma motu ndecho chimchafua. 16 (Zingatera mstari oyu "k]Kama motu yoyote ana mato yaguwa ya kwetekenja Taurevo kwene nakala sha kara). 17 Yesu akaatia makutano na akadongora nyombani,anafunzi ake makamonja kuhusu mfano ora. 18 Yesu akaamba, "Na imwi pia bado tamavika kwelewa? Tamkona kwamba chochote chimdongora motu tachiweza kumchafua. 19 Kwa sababu tachiweza konji kwene ngoro yake lakini nachidongora katika ndani yake na kenja na chipala konji chooni." Kwa maelezo aya Yesu ashiketa ng'ande shonde shikale safi. 20 Akaamba, "Ni kera ambacho na chimduma motu ndecho chimchafua. 21 Kwa kuwa chidumandeni ya motu esa yangoro nakuduma mawazo mapeiuzinifuwei uoraji. 22 Usherati, tamaa, mbei, uovu, udanganyifu, kuselana, weru, kashfa, majivuno, ujinga. 23 Mapei aya onde maduma ndeni, ndeo ara mamchafua motu." 24 Akaokela kuduma vara na koka konji katika mkoa wa Tiro na Sidoni. Akadongora ndeni na takalacha motu yoyote amenyekuwa akeri avoya, lakini taikawezekana kumvida. 25 Lakini ghafla motu moka ambae mwana wake mdodo akerina ngoro mchafu, akauwa habari shake akasana na akawa maoroni vake 26 Motu moka ora akeri ni Myunani wa kabila ra Kifoenike, akamsihi warewe amgodochi vevo adume kwa binei yake. 27 Yesu akamwera motu moka, " Atie ana maeye kwanza, kwa kuwa seo sawa kuwava mkate ana na kuwaechera nguro. 28 Lakini motu moka akajibu na kumwera, "Ndiyo Bwana, hata nguro nakoya ng'ande endi ya meza mabaki ya ng'ande sha ana." 29 Akamwera, "Kwa kuwa ukwamba ao uhuru enda vevo amduma binti yechu" 30 Motu moka akashoka nyombani kwakena akamvikila binti yaka amama kitandani navevo aduma. 31 Yesu akaduma kenja esa ya mkoawaTiro na Sidoni na kupalela Sidoni kuelekea bahari ya Galilaya mpaka kanda ya Dikapolisi. 32 Na akamretera motu akeni nikiziwina taweza kwamba uzuri, makamsihi Yesu aeki oru moko yake. 33 Akamdinya esa ya kusanyiko kwasiri na akaeka njara shake kwene matoyake na baadae ya kuchela mata, akamkwata uleni wake. 34 Akalola oru mbinguni akahema na kumwera, "Efata," maana yake vongoka au tiera. 35 Na muda ora ora mato makavongoka na chazuiya ulemi chikabangwa na akaweza kwamba uzuri. 36 Na akawamuru matie mwera motu yoyote. Lakini kadri ora aamuru nao makatangaza habari isho kwa engi. 37 Hakika makashangazwana kwamba, "Aketakilangito kizuri, hata akwaketa izwi na maguwa na mabubu na makwamba."