Sura 10

1 Yesu akaoka eneo reso na nakonji katika mkoa wa uyahudi na eneo ra monja ya rosi yordani, na makutano makamtua kenja . akaafundisha kenja, kama irego kawaida yake kuketa. 2 Na mafarisayo makosa kumjibu na makamonja, " ni halali kwa mrome kutiana na moka wake?" 3 Yesu akajibu, " Musa aamuru njindo?" 4 Makaamba," Musa Musa aliluhusu kuandika hati ya kutiana na kenja kumgodocha moka." 5 Ni ai kwa sababu ya ngoro shenyu nyomu ndeo maana akwandekerani sheria eneo," Yesu akaaera." 6 Lakini kuduma mwanzo wa uombaji, ' wa Mrungu aomba mrome na motumoka.' 7 Kwa sababu eno motu mrome asamtia papa wake na mayo wake asaungana na mkewe, 8 Na aso ari masakala womwe, kwa seo eri kenja bali mweri womwe. 9 Kwa ogo achiunganisha Mrungu , mwanadamu asikitenganishe." 10 Makeri mandeni yanyomba, anafunzi ake makamonja kenja kuhusu reri. 11 Akamwera, "Yeyote amtia mkewe na kumrasha mka wongi naketa uzinifu zaidi yake. 12 Motu moka nake akimtia mromewenake naakirarashwa ni motu mrome wongi, naketa uzinifu." 13 Nao makamretera ana oo adodo ili aakwate lakini anafunzi makaavekera. 14 Lakini Yesu vayo akamenya reso takafwaerwa na reso kabisa akaaera, "Aruhusuni ana adodo maese kwakwa na mtiekwazuiya kwa sababu ana kama aya ufalme wa Mrungu ni woo. 15 Ukweli ni kuwaera yoyote atiauvokera ufalme wa Mrungu kama ana adodo hakika taweza kudongora katika ufalme wa Mrungu. 16 Kenja akaguwa ana mokoni vake na akaabariki akaaekera moko yake oru yoo. 17 Makanzika charo chake motu womwe akamgodokera na akamuta maru monja yake akaamba, "Mwalimu, mema niketecha ili niweze uulithi uyima wa milele?" 18 Na Yesu akaamba, " Kwake numbeta mwema? Tkorimwema , isipokuwa Mrungu wengwatu. 19 Nushimenya amri, 'Utiekora, utiezini, utiekweya, utie shuhudia uvongu, utie kenga, utie nyang'anya, mheshimu papa mayo wechu'." 20 Motu ora akaamba, "Mwalimu, onde ninguatii tangu nikeri mvesi." 21 Yesu akamlola na kumwenda akamwera, "Upunguke rwa ni gito kemwe. Nulachwa uoti shondeunasho na kuwava maskini na usakala na hazina mbinguni. Ndevo ese unitue. 22 Lakini akatema tamaa kwa sababu ya maelezo aya, akaoka akala mwene huzuni kwa kuwa akeri anamali nyengi. 23 Yesu akalola mbande shonde na kuwaera anafunzi ake, "Ni jinsi gani irego nyomu kwa tajiri kudongora katika ufalme wa Mrungu! 24 Anafunzi makashangazwa kwa maneno aya. Lakini Yesu akaaera, kenja, " Ana ni jinsi gani irego nyomu kudongora katika ufalme wa Mrungu! 25 Ni rahisi kwangamia kupata vene tundu ra sindano kuliko motu tajiri kudongora katika ufalme wa Mrungu." 26 Makashangazwa sana na makaambinja, "Ndevo ni wavo oso asaokoka" 27 Yesu akalola na akaamba, "Kwa kibinadamu tai wezekana,lakini seo kwa Mrungu kwa kuwa katika Mrungu onde na mawezekana." 28 "Petro akaanza kuzungumza nake, "Lola tikia shonde na tikutua uwe." 29 Yesu akaamba, "Ukweli ninguaerani imwi, takori atianyomba au tata wakeka au tata wa kirome au mayo, au papa au ana ani aridhi, kwa ajili yakwa na kwa ajili ya injili. 30 Ambae tavokera mara mia zaidi ya ndevo ava duniani, nyomba, tata. mayo ana na aridhi kwa mateso na ulimwengu ukosa uyima wa milele. 31 Lakini engi makeri wa kwanza masakala wa mwisho na makeri amwisho masakala a kwanza." 32 Makikala serani konji Yerusalemu,Yesu akeri atongonja monja yoo. Anafunzi makashangaa ara makeri na matua tina makasesa ndevo Yesu akaadinya nganda kenja ara ikomi na injeri na akaazika kuwaera ambacho chisa mdumera ava vaguve. 33 Lola natikonji mpaka Yerusalemu na mwana wa Adamu asavikenjwa kwa makuhani akoru na aandishi, masamhukumu aegwe na masamdinya

kwa atu a mataifa.

34 Masamdhika mamtemera mata, masamwala fimbo na kumora, lakini baada ya matuku atatu asafufuka." 35 Yakobo na Yohana ana a Zebedayo, makasakwake na kumwera, "Mwalimu natikulacha utiketerichochote natikuvoya." 36 Akaaera, "Nilacha niaketeni njindo?" 37 Makaamba, "Tiruhusu tikakale na uwe katika utukufu wechu womwekatika koko kwechu kwa kiromena wongi koko kwechu kwa kumondo." 38 Lakini Yesu akajibu, "Tammenya kera mchivoya, namuweza kukinywera kikombe ambacho nisakinywera au kuvumirira ubatizo ambao nisabatizwa?" 39 Mkamwera, natiweza Yesu akaaera, "Kikombe ambacho ni sachinywera msachinwera.Na ubatizo ambaokwoo ningubatizwa msauvumirira. 40 Lakini ora akikala koko kwakwakwa kirome au koko kwakwa kwa kumodo seoinye wa kudinya, lakini ni kwa ara ambao kwoo kukenja kwandaliwa." 41 Ara anafunziangi ikoni makauwa aya makaanzikakuarenjera Yakobo na Yohana. 42 Yesu akaeta kwake na akaamba, "Nammenya kuwa ara madhaniwa kuwa atawala a atu wa mataifana makwatawala atu woo mashuri na makwaonyesha mamlaka oru yoo." 43 Lakini taipatwa kuwa kati yenyu yoyote alacha kukalambau kati yenyu lazima atomekeri. 44 Na yoyote alacha kukala wa kwanza kati yenyu ni lazima awe mtumwa wa onde. 45 Kwakuwa mwana wa Adamu taasa kutomekerwa bali kutomeka na kuwadinya maisha ake kuwa fidia kwa engi." 46 Makosa Yeriko. akeri akioka yeriko na anafunzi ake na kundi bau, mwana wa Timayo, Batimayo, kipofu mvoyaji, akala nganda ya barabara. 47 Akauwa kuwa ni Yesu mnazaretia kaanzika akaicha ngemi akiamba, "Yesu, Mwana wa Daudi , Nihurumie!" 48 Engi makamleinja ora kipofu makimweraagire, lakini akarakwa sauti zaidi mwana wa Daudi nihurumie!" 49 Yesu akarama na kumwamuru aretwe makamweta. Ora kipofu na makiamba, "Kuwa shujaa! Okela! Yesu nakweta. 50 Akaricha nganda koti rake akadongoka zaidi na akasakwa Yesu. 51 Yesu akamjibu na akaamba, "Ulacha nikuketeri njindo?" Ora motu mrome kipofu akajibu, "Mwalimu, nilacha nione." 52 Yesu akamwera "Enda imani yechu ikuvonyonja." Vayo vayo medo yake makaona, naakamtuaYesu barabarani.