Sura 1

1 Oyu ni mwanzo na injili yaYesu Kristo, mwana wa Mrungu. 2 Kama ora yaandikwana nabii Isaya, "Lola, ningumtoma ujembe wakwa monja yechu, ni womwe asaatarisha yechu. 3 Sauti motu akora nyikani, "Nyikamilisheni sera yake". 4 Yohana akasa, akibatiza nyikani nakuhubiri ubatizo wa toba msamaha wa dhambi. 5 Endi yonde Yudea na atu a a Yerusalemu makanji kwake, makeri makibatizwa nakekatika rosi Yordani makiunga dhambi shoo. 6 Yohana akeri agwivoya vazi ra ndobwi sha ngunia na mkanda wa duara kubiruni mwake, na akeri nakuya nzige na asali ya ndakani. 7 Akahubiri na akiamba, "Awavayo womwe nakosa baada yakwa mwene mvinya azwadi kuliko inye na seri hadhi hata ya kuzama endi na kufungora ndwi shake irato shake. 8 Inye ninguabatiza kwa masi, lakini warewe asaabatiza imwi Ngoro Mtakatifu. 9 Ikadumera katika matuku asokwamba Yesu akasakuduma Nazaretiya Galilaya, naakabatizwa ni Yohana katika rosiYordani. 10 Wakati Yesu akiokelakuduma maseni akaona mbingu shivongokamwazi na Ngoro akiolomoka endi oruyake kama njiwa. 11 Na sauti ikaduma mbinguni, "Uwe umwanokwani mwenda. Ningwayerwa sana nawarume." 12 Kenja maremwe ngoro akamzimisha konji nyikani. 13 Akeri akayo nyikani matuku arobaini akajezwa ni shetani. Akeri vamwe na anyama a nyikani na malaika akamhudumera. 14 Ndevo baada Yohana akakwatwa, Yesu akasa Galilaya akitangaza injili ya Mrungu, 15 Akaamba "Muda utimia na ufalme wa Mrungu uvaguze. Tubuni na kuamini katika injili". 16 Na akipalanganda ya bahari ya Galilaya, akaona Simoni na Andreandugu wa Simoni makaicha nyavu shoo katika bahari kwa kuwa makeri ni avuvi. 17 Yesu akaeera, "Sooni nituani na nisaaketa avuvi a atu." 18 Na warewe makatia nguvu na na makamtua. 19 Wakati Yesu akweha mbali kidogo, akamona Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana ndungu yake, makeri kwene matumbwi makishiiketa nyavu. 20 Mara akaeta na aso makamtia papa yoo Zebedayo ndeni ya mtumbwi na atumishi makodiwa, makamtua. 21 Na makavika Kaperinaumu, mondu wa sabato,Yesu akadongora kwene sinagogi na kufundisha. 22 Makari shangaa fundisho rake, kwaora akeri akiafundisha kama motu ambae ana mamlaka na seo kama aandishi. 23 Wakati oso osokukawa na motu katika sinagogi roo akeri naa ngoro chafu na akaala ngeni. 24 Akiamba, "Tina gito cha kuketa nauwe, Yesu wa Nazareti? Ukosa utiangamize? Ningukumenya u omwe uweni Mtakatifu wengwa wa Mrungu!" 25 Yesu akamkemera pepo na kumwera, "Gra na udume ndeni yake!" 26 Na ngoro mchafu akambwaga endi na akaduma kwake wakati akera kwa sauti ya oru. 27 Na atu onde makaashangaa, ndevo makaonja na kila womwe, "Eno ni jindo? Fundisho evyarene mamlaka? Hata kuamuru pepo achafu nao na mamtii!" 28 Na habari kuhusu warewe maremwe shikasambaa a kila vatu ndeni ya mkoa wonde wa Galilaya. 29 Na warewe baada ya kuduma esa ya sinagogi makadongora nyombani mwa Simoni na Andre amakeri na Yakobo na Yohana. 30 Ndevo nyinya wa mdoniwake Simoni akeri amamani mruari wahoma, na marewemakamwera Yesu habari shake. 31 Ndevo akasa, akamkwata kwa moko, na kumokela oru homa akamtia kwake na akanzika kuwahudumia. 32 Kioro keye wakati mwedo ukenja kuzama, makamretera kwake onde aruari au mapagawa ni pepo. 33 Moshi wonde ukamkusanyikera vamwe katika mvingo. 34 Akaavonocha engi nduari na nduari mbalimbali na kudinywa pepo engi, bali takaruhusu pepo kwamba kwa sababu na mammenya. 35 Akaokela keri keri na mapema na wakati ikeri badoni kivundu,akaoka na konji hatu faraghani na kuvoya koyo. 36 Simoni na onde makeri mavamwenake makamlacha. 37 Makapata na makamwera, "Kila womwe na nakulacha" 38 Akaaera, "Hindeni vatu vangi esa katika meshi itizunguluka ili niweze kuhubiri koyo pia. Ndeyo sababu ningosa ava." 39 Anjikupalela Galilaya yonde , akihubiri katika masinagogi yoo kukemera mapepo. 40 Mwene ukoma womwe akasa kwake. Akeri akimsihi ,akamuta maru na akamwera, "Kama nulacha nuweza kuniketa nikale safi." 41 Akisukumwani huruma,Yesu akanyooosha koko kwake nakumkwata akamwera, "Ningulacha.Ukale safi. 42 Marewe ukoma ukamduma na akaketwa akala awe safi. 43 Yesu akamkanya kwa ukali na akamwera aende maremwe. 44 Akamwera, "Hakikisha tukwamba neno kwa yoyote, lakini enda ukamonye kuhani naukadinye dhabihu kwa ajili ya utakaso ambao Musa akalagiza kama ushuhuda koo." 45 Lakini akanji na kwanzikakumwera kilawomwenakueneza neno zaidi hata Yesu takawezakenja kudongora msheni kwa uhuru. Ndevo akalavatu va faragha na atu makasa kwake kuduma kila vatu.