Sura 17

1 Siku sita baadaye Yesu aguwa vamwe nake Petro na Yohana Yakobo nduguye akawachukua vamwe mpaka oru ya rukoka ya ene. 2 Abadilishwa mbele yao ngindagocha kekika ngara kama mwandongosha kishiko ne kama kindera kama nuru. 3 Lola vada durola Musa na Eliya wakiamba nake. 4 Petro akajibu, na kumwera, Yesu, "Bwana, ni vema kumama mahali apa ukitamani nsaakava ibanda vidatu kimoche chu, kimo kwa ajili ya Musa kwemwe kwa ajili ya Eliya." 5 Wakati anasemrera na lola wingu jeupe landongonja kivuli na lola likadongora sauti nduma mawinguni kwamba "Oyu ni monoka nipendezwa naye mwetekenjeni awewe." 6 Anafunzi mauasa marama waanguka kifudifudi na watiesesa sana. 7 Kesha Yesu aolomoka akawagusa na kuamba, "Okeleni wala mtiesesa." 8 Nao maongola uso zao juu lakini damongola motu isipokuwa Yesu engwa. 9 Nao makarumaki ovo kaukokani Yesu akaa makaamba, " mndinya habari ya maono haya mpaka Mwana wa Adamu akifufuka kuduma ndeni a afu." Anafunzi ake makamonja akiamba, " 10 Ni kwanini aandishi waamba kuwa Eliya atakuja kwanza? 11 Yesu akajibu, na kumwera, "Eliya asasa kweli naasashukisha mambo ote. 12 Lakini nakera inyi Eliya akosa lakini tamammenya baada yake mamketera mambo watakayo wao. Na ogo ndengo Mwana wa Adamu atakavyoteswa katika moko yoo." 13 Ndevo anafunzi nakamwenya kwamba ovemkesa Yohana mbatizaji. 14 Mavika katika umati wa atu motu omwe amnjeakaa kampiga, magoti mbele zake na kuamba, 15 "Bwana, mruhusu mie mwanangu wakala kifafa nakuteso kasama mana mara nyingi umakowa mongini au kwenye masi . 16 Ningumleta kwa anafunzi echo lakini tamaweza nyokumvocha. 17 Yesu akajibu, "Enyi ishari mtekwamini chabanangenga sakala na inyi? Mpaka ini nsavumiria na inyi? mpaka vusimrete va kwakwa." 18 Yesu amkemerera na mvevo amtokakija na avonywa tangu saa inja. 19 Kesha anafunzi wakamwera Yesu kwa siri na kumera "Kwanji tatakumweza kumnjonja?" 20 Yesu Maamba, Kwa sababu ya imani yenu ndogo. Kweli ngaera kama msakala na imani ndogo kama mbeyu kama haradali msaera kuuambia mlima huunndama kunduma apa kueekea kwengine na usandama natako rikitu chochote cha kushindikana kwenu. 21 (Zingatia: Maneno ya msitari wa 21 "Lakini aina eno ya mvevo haiwezekani kuduma ila kwa maombi na kufunga" nakuova takonekana ndenyi ya nakala bora zakari). 22 Wakati makikala bado Galilaya Yesu akiamba, anafunzi ake, "Mwana wa Adamu atatiwa mokoni ni kwa atu. 23 Na watamua na siku ya idatu atafufuka." Anafunzi mahuzunika sana. 24 Nao makavika, Kapenaumu, atu akisanya kodi ya nusu shekeli makamnyara, Petro na kwamba, "Je mwalimu wenu areva kodi ya nusu ahekeli?" 25 Akaamba, "Ndingo" lakini Petro akidongora ndenyi ya nyomba Yesu kaamba na Petro kwanza na kwamba nafikiriaani Simoni? Wafalme wa dunia, huvokera ushuru kuduma kodi ya omwe kwa ara wa kwandima kunduma kwa angi? 26 Na wakati Petro akiluma "Makutoka kwa wageni" Yesu akamwera, ogo watawaliwa wameongolewa katika ulipaji. 27 Lakini niteta atenda ushuru makatenda dhambi enda baharini ukatwa endu ano naumgure samaki ache kwanza baada ya kunjora midomo yake msavikerashe kilimonja. Ichukueni uwape watoza ushuru kwa ajili yakwa naiwe.