Sura 12

1 Wakati oso Yesu akanji mondu wa sabato kupalela mendani. Anafunzi ake makeri na sara na makanza kuyauna masuke na kuya. 2 Lakini Mafarisayo makaona asa, makamwera Yesu, "Alale anafunzi echu namaguna sheria namaketa mondu ambao tamaruhusiwa mondu wa sababto'' 3 Lakini Yesu akaaera, "Tamwasoma jinsi Daudi araaketa wakati akeri ana sara vamwe na atu akeri anao? 4 Namna adongora ndeni ya nyomba ya Mrungu na koyamikate ya uonyesho ambayo ikeri seo halali kwake kunyeyana ara akerianao ila ni halali kwa makuhani? 5 Bado tamsoma katika sheria kwamba katika mondu wa sabato makuhani mndeni ya hekalu tainajisi sabato, lakini tamari hatia? 6 Lakini ningwamba kwenyu kuwa ora mkoru kuliko hekalu ni wariye ava. 7 Kama mkeri menya reri niimaanisha njindo ni lacha sehemana seo dhabihu tamkeri ahakumu matari na hatia. 8 Kwa kuwa Mwana wa Adamu ndewe Bwana wa sabato." 9 Kenja Yesu akaduma vara akanji katika sinagogi roo. 10 Lola kukeri namotu aholola Mafarisayo makamonja Yesu makiamba. "Je, ni halali kuvonyonja mondu wa sabato? Ilikwamba mweza kumshitaki kwa kuketa dhambi. 11 Yesu akaaera, "N wavo kati yenyu ambae ikiwa ana ng'undu womwe na oyu akowa ndeni ya shimo mondu wa sabato, tamkwata na kumdinya kwa mvinya ndeni ya shimo? 12 Je, ni kee chene thamani zaidi kwani sio zaidi ya ng'undu! Kwa ogo ni halali kuketa mazuri mondu wa sabato.'' 13 Kenja Yesu akamwera ora motu," Nyoosha koko kwechu" Akaunyoosha na ukapata afya kama ora wongi. 14 Lakini Mafarisayo makaduma esa na mkapanga kinyume chake makeri makimlacha jinsi ya kumora. 15 Yesu akarielewa reri akaoka vayo atu engi makamtua na makavora onde. 16 Akaalagiza matie 17 kwamba ili ikeri atiemenyekana na angi, Kwamba itime era kweli ikeri ya ambwa ni nabii Isaya akiamba, 18 Lola, mtumishi wakwa na mdura, mpendwa wakwa katika warewe nafsi yakwa ikwayerwa. Nisaeka ngoro yakwa oru yake na asatangazahukumu kwa mataifa. 19 Tahangaika wala kora kwa mvinya wala takori akiuwa sauti yake mitaani. 20 Takaru na tete raguewa, takazima utambi wowote udinya yongi, mpaka vayoakireta hukumu ikashinda. 21 Na mataifa masakala na ujasiri katika njetwa rake. 22 Motu fulani kipofu na bubu. Akeri apagawa na pepo

akaretwa onja ya Yesu. Akamvonyanja vamwe na matokeo ya kwamba motu bub una kwamba na nakona.

23 Makutano onde makashangaa na nakaamba, "Naweza motu oyu kukala mwana wa Daudi?" 24 Lakini pindi Mafarisayo makauwa muujiza oyu akaamba, "Oyu motu tadunya pepo kwa mvinya shake mwene isipokuwa kwa mvinya sha Belzebuli mkoru wa mapepo. 25 "Lakini Yesu akamenya fikra shoo na kuwaera "Kila ufalme ora watawanyika wene kubanangeka ma kila moshi au nyomba naiwanyeka yene tairama. 26 Ikiwa shetani akamwocha shetani nasi na guipunga katika nafsi yake mwene. 27 Ni namna gani ufalme wake usarama? Na kama nadinya pepo kwamvinya sha Belzebuli afuasi enyu na madinya kwajetwa ra omwe?Kwaajili ya reri asakala hakimu wenyu. 28 Na kama nadinya pepo kwa mvinya sha Ngoro wa Mrungu, basi ufalme wa Mrungu ukosa kwenyu. 29 Na motu asadongora ta ndeni ya nyomba ya mwene mvinya na kweya nila kumwova mwene mvinya kwanza? Ndevo akieya mali yake kuduma ndeni ya nyomba. 30 Yoyote atari vamwe nainye ni kinyume shakwa nake atia kusanya vamwe nainye oso natawanya. 31 Kwa ogo ningwamba kwenyu kila dhambi nakufuru atu masasamehewa ila ukimkufuru Ngoro Mtakatifu hata samehewa. 32 Na yoyote akwamba maneno kinyume cha Mwana wa Adamu reso asa samehewa. Lakini yoyote akwamba kinyume na Ngoro Mtakatifu oso hatasamehewa katika ulimwengu oso na wala ora ukosa. 33 Ama uketi moti kuwa mzuri na tunda rake zuri au uumbange moti tunda rake kwa kuwa moti usatambulika kwa tunda rake. 34 Imwi kishari cha soka imwi ni apei mwawezata kwamba mambo mazuri? Kwa kuwa miromo naikwamba akiba ya koyo ngoroni. 35 Motu mwema katika akiba nzuri ya ngoro wake. kuduma mazuri na motu mpei katika akiba mbei ya ngoro wake naudinya kera kipei. 36 Ninguaera kuwa katika mondu wa hukumu atu masadinya hesabu ya kila neno ritari na maaana ambaro makwamba. 37 Kwa kuwa kwamaneno yechu usahesabiwa haki na kwa manenoyechu usahukumiwa." 38 Kenja baadhi yaaandishi na Mafarisayo makamjibu Yesu makiamba, " Mwalimu natilacha kona ishara lakini takori ishara kuduma kwechu. 39 Lakini Yesu akajibu, na kumwera,"Kishari kipei nacha zinaa nachilacha ishara lakini takori ishara ikidinywa kwoo isipokuwa era ishara ya Yona nabii. 40 Kama ora nabii Yona ora atenje ndeni ya ndani ya samaki mbau kwa matuku atatu mdenya na utuko aso aso Mwana wa Adamu ora akwenda awe ndeni ya ngoro ya endi kwa matuku atatu mdenya na utuko. 41 Atu a Ninawi makarama monja ya hukumu vamwe na kishari chaatuayanamasachuhukumu kwa kuwa matubu kwa mahubiri ya Yona na lola motu fulani mkoru kuliko Yona awava. 42 Malikia wa kusini asaokela kwene hukumu vamwe na atu kishari keki na kuchihukumu. Akosa kuduma miisho ya dunia kosa kwetekenja hekima ya Sulemani na lola motu fulani mkoru kuliko Sulemani awava ava. 43 Wakati pepo mchafu akimduma motu, na palavatu vatari na masi a kila chakupumzika lakini tavaona. 44 Kenja nakwamba, 'nishashoka kwene nyomba yakwa naduma akishoka na vikela era nyomba ivierwa na iyayari. 45 Kenja nakonji na kureta engi mene ngoromchafu sabaa aso ni apei zaidi kuliko warewe na kosa kuishi onde vara. Na hali yake ya mwisho nimbei kuliko ya kwanza, ogo ndego isakala kwa kishari keki kipei. 46 Wakati Yesu akeri akizungumza na umati lola nyinya yake na ndugu shake makarama esa makilacha kuzungumza nake. 47 Motu omwe akamwera, "Lola nyokwe wechu na ndugu shechu marama esa, namalacha kwamba na uwe". 48 Lakini Yesu akajibu na kumwera, ora amjulisha, "Mayo ni wavo? Na ndugu shakwa niakina andoo?" 49 Nake akanyoosha koko kwake kwa anafunzi na akaamba, "Lola aya ni ndugu shakwa na mayo! 50 Kwa kuwa yoyote akwaketa mapenzi ya Papa wakwa ora wa mbinguni motu oso ndewe ndugu yakwa tala yakwa na mayo wakwa".