1 Kati atho ukwa,umathi gano,bawakuna agaa.Yesu athe iji wanafunzi usuu athe onzi. 2 Hurumi atho umathi ukwa,wathe endeleatho gwahi wathukweanyii atho kabaa bawana aga. 3 Athe tawanyakuni radini mini kunuu bila aga kawathe zimiani leeni olo agaani.Baadhi usu wathe guthiwa honi. 4 Wanafunzi usuu wathe jibutho,patatsi mikate thoshani guo ukwa(eneo)sehemu uko nyika.? 5 Yesu ulizatho mikate vipande jikoni,"wathe onzina sabaa," 6 Athe amurutho umathi gwahi giritha.Athe kamiwa mikate sabaa.yesu shukurutho wakani,athe kamiwa wanafunzi usuu mbee usuu.wanafunzi kejikutsi mbee umathi. 7 Pia jarivo amina,baada shukurutho athe amurutho wanafunzi isuu gawiatho pia. 8 Wathe guo aga toshekakuni wathe kusanyakuni vipande bakiatho vikapu gano sabaa. 9 Wathe karibiatho guo elfu saala.Athe hakwani rathako. 10 Mara athe othi mashuathe wanafunzi isuu,wathe rathana kati Dalmanuta. 11 Kisha mafarisayo wathe guthiwa garima anzani bishanatho wathe kamiwa ishara guthiwa wakatha. 12 (Jikoni).Athe fikiriatho ruhuthe kunuu athe onziwa,kizazi ukwa hekani ishara?odothe nyakaa ire bakani ishara guthiwa kizazi ukwa. 13 Kisha lakwina,othi ndani mashuathe,ukethi elekeatho upande wathe. 14 Wakathi ukwa wanafunzi awathe sahauni kamiwani mikate Bakunawa mikate zaidi kipande wathukwe mashuatha. 15 Athe onyatho oditha bakwaa Herodeni. 16 Wanafunzi awathe odinyatha usuu olo usuu,sababu bakunawai mikate. 17 Yesu athe tambuani ukwa,oditha,"jomethe husuni mikate?Baka elethe bado? Bakaelethe?ruhu kunuu wepesi akei? 18 Maana ila bawa waana? gatsi bawa ethithiwa? Bakani kokotha? 19 Athe gawanyatho mikate mitanoni guo elfu tanoo kemiwa vikapu jikoni othi vipande mikateni? awathe jibutho,kumi olo lima. 20 Athe gawanyatho mikate sabaa guo elfu saala,kamiwa vikapu jikoni? 21 Awathe oditha,sabaa,Athe onzi,Bado baka elethe? 22 Wathe ratsi Bethsaida.Guo ukwa wathe kamiwa Yesu guo thugo wathe sihino Yesu gusani. 23 Yesu athe kamiwa thaba thugo,ongozani garima mui,Athe mate gaponi ile isuu thaba kuchini gapo isuu,athe onzi,waana akale? 24 Athe keki gapotha onzina,"Waana guo wathe waana kaka Kore rathana. 25 Ndio thaba nyoshani gapotha ila isuu,guo pashikutsiwa ile isuu,athe waana,Athe waana kila kito wino. 26 Yesu athe wache rathana mini athe onzi,"Bakani othi muini," 27 Yesu athe ukethi wanafunzi usuu rathana kijiji kaiseria filipi.Eleni athe ulizani wana funzi.Guo wathe onzinya anyii jiko. 28 Wathe jibutho wathe onzinya,Yohana mubatizaji.Wathe onzinya.Eliya wathe,wathukwe manabiini. 29 Athe oditha,nyakae onzinya anyii jiko?petro oditha,Atha kristotha, 30 Yesu athe onyatho bawaekani guo akale husuni uthu. 31 Athe anzani futano gwitso Adamuni lazima tesekakuni kaime, kataliwani viongozi gano makuhani olo waandishitha athe nzaa,baada atho kabaa kine. 32 Athe oditha ukwa wazi.Ndio petro athe kamiwa pembetha athe anzani kemeani. 33 Yesu athe birike athe kekiwa wanafunzi usuu athe kemeani petro onzi,Direwa thabara itsi wathimoni;Baka elethe mapo wakani,bakani mapo guoni. 34 Kisha ijikutsi umathi wanafunzi usuu wathukwe,onzinya,kaka guo athe kanani aro inyii,kamiwa msalaba usuu athe ratsi. 35 Akale thakani okoani maisha isuu athe potezakuni,akale athe potezakuni maisha isuu ajili itsi ajili injilitha athe okoatho. 36 Faiditha jiko guo patatsi ulimwengutha akale,Kisha patatsi hasara maisha isuu? 37 Guo guthiwa jiko badala maisha isuu? 38 Akale waana aibu jome itsii kati kizazi ukwa sarakana olo kizazi aro dhambini,gwitso Adamu athe waana aibu athe ratsi kati ufalme Baba isuu wathukwe malaikatha watakatifui.