Sura 1

1 Paulo na Timotheo, na vatumihi va krist vayeu kwa vala valetengwa katika kristu valeishi na filipi vandu veloya na vashemasi. 2 Neema na iwe kwenu na amani itokanayo naruva papa wedu bwana wedu yesu kristo. 3 Ngimshukuru Ruva wakwa kilya ngikumbas nyonyo muose. 4 Mara soose katikan klilya ombi laangwa kwa ajili yedu nyonyo mwose, ngeishwa ngikunda ngiterevyeni. 5 Ngire shukrani nyingi kwa sababu ya usirika wedu katika injilitangu mfiri wa kwansa mpaka luni. 6 Ngire uhakika kuwa nive aleoka kazi insha mmba yeedu neendelya ikamilisha mfiri wa bwana yesu kristu. 7 Ni sava kwakwa ngejisikia dooka yedu nyonyo mwuose kwa sababu ngilevsikiya moni waka maana nyonyo mleva vishirika vyezedu katika neema kifungo chakwa na katika utetesi na udhibitishajiwakwa wa injili. 8 Ruva ni shahidi wakwa, jinsi shangikeri na hovu dooka yenu muose katika umba wa ukundana la kristu yesu. 9 Na ngiterewa kwamba ukundano wedu uengereke saidi na saidi katika maharifa na ufahamu wose. 10 Ngitereva kwa ajili ya hili muve na uweso webima na ichangwa mambo yakerimesha bora sana pia ngisaiterevya ili musoe usha hataire hata yose katika maisha ya kristu. 11 Na pia ili muishurwe na tunda likolikanalo katika kristu, kwa utukufu na sifa ya Ruva. 12 Luva sanandiakwa ngikundi mmanye kuwa mambo elevumia kwakwailefanya injili iendelee sana. 13 Ni ado maana vifungo vyaakwa katika kristu vaaminika kwa valinzi wa ikulu yoose na kwa kila mndu pia. 14 Na vana ndie veengi katika bwana, kwa sababu ya vifungo vyakwa ingelewashawishi. 15 Baadhi ya ukweli hata ngilemtengeneza kristu kwa umbea na pia na vengi kwa fua isha. 16 Vala vamtangaza kristu kwa ukundana veishi kuwa ngavikwa hadi kwa ajili. 17 Bali vengi vamtangaza kristu kwa ubinafsi na nia ngesishwa,Hudhani kuwa vemsababisha matatiso kwakwa katika minyonyo yaakwa. 18 Kwa hiyo ngejaliku aidha shia kwa ila au kwa ukweli kristu atangazwa katika hili ngakunda ndiyo ngakunda. 19 Kwa kuwa ngiishi liende ifutuliwa kwakwa kwa jambo loli ltumi kwa sababu ya maombi yedu na kwa msaada wa roho wa yesu kristu. 20 Ilingana na matarajio ya kwa uhakika na oloi ni kwamba ngelolia aibu badala yake ku kwa ujasiri wose kama ambavyo mfiri siose na luva, ngitarajia kuwa kristu enuyliwa katika mbili wakwa ikeri katika uzima au katika ifa. 21 Kwamaana kwakwa nyani. ishi ni kristu na ifa ni faida. 22 Lakini kuishi katika mbiili huzaa tunda katika kazi yakwa , kwa hoyo ngiishilingali ngezambura. 23 Maana ngesukumwa sana na mawaso ya mmbili ngire hamu yecha mbili na ngive pamoja na kristu, nndo ambacho ni cha dhamani sana sana. 24 Igawa ibaki katika mbili hishu ni jambo muhimu sana kwa ajili yedu. 25 Cha kfa ngire uhakika doka halali ngiishi ngibaki na ngiendelye kuwa pamoja nanyo mwose kwa ajili ya maendeleo na ikunda na imani yenu. 26 Na yaii yeende furaha yedu, ukubwa katika kristu yesu kwa sabau yakwa ngiengera, kwa sababu ya upeo wakwa tena pamoja na nyonya. 27 Mtakwe kuishi maisha yenukatika mwenendoi msha ipasavyo injili ya kristu. Fanyeni ado iligasha ngishevalolya au ngitawewshengiishi kuwa mletotona imara katika Roho imu, ngitamani ngiishwe mre roho imu mshindania imani ya injili muose. 28 Mtaiyove na nndo kiosepiu kyokefanywa na maadui wenu ila kwavo ishara ya uharibifu. Bali kwedu ni ishara ya wokovu luvune kwa Ruva. 29 Kwa maana nyonyo mleiningwa kwa ajili ya kristu, si kumwamini tu bali ngiteswa nave katika vee. 30 Kwa maana mre mgogoro ulaula sha limlelolya kwakwa na mweishwa nginaya mpaka luva.