Sura 2

1 Alipouya Kaperinaumu baada ya mfiri nnangana, ilesikika ileishwa shali evei kaa. 2 Vandu veengi sana vevekeri halahala na hevere nafasi se, hata ile ya ala mwoongo, na yesu eleamba ichecha kwavo. 3 Kisha baadhi ya vandu velesha kwakwe na velemuende mndu evei elepoosa, vandu vaana vevekeri vamwira. 4 Wakati walipashindwa imshika ka sababu ya umati va vandu, velefuna paa la dooka ya kindu halahala evekeri. Na vevekeri valeisha itosha itundu, velesoosa kitara ambacho mndu aliyepoosa eve laye. 5 Aleilolia imani yavo, yesu elemmbia mndu elepoosa, ''Mwana akwa, sambi safo simesamehewa.'' 6 Lakini baadhi ya vaandishi na vale vevekeri hoo velejihoji moyoni mwavo, 7 ''Edima aja mndu shu kwamba adi? Ekufuru veivi edimaye isamehe sambi isipokuwa Ruva emeni? 8 Mwara yesu alemanya rohoni kwakwe ndochovene fikiri miongoni mwavo wemeni. Elevavia, ''niiki mfikiri ado mooni mwani? 9 Lingali ni rahisi saidi kuamba kwa mndu elepoosa, 'Sambi safo zimesamehewa' au iamba 'totona' ira kitara chafo, na uchambuke?' 10 Lakini ili vapate imanya ya kuwa mwana wa Adamu ere mamlaka ya isamehe sambi katika dunia, elemmbia yula elepoosa, 11 ''Ngikuvia veave, amka, ira mkeka wafo, na usiilie kwafo.'' 12 Elefofona na mara imu akaira mkeka wakwe, na eleenda shaa ya mmba mbele ya kila mndu,hivyo voose veleshangaa na welemninga Ruva utukufu na wakaamba ''kamwe, dukeveiloliyeku jambo sha lihali''. 13 Eleenda se kando ya ziwa, na umati woose va vandu walesha kwakwe, na akavafundisha. 14 Alipokuwa ehicha elemlolia lawi mwana wa Alfayo achaamiye kwenye sehemu ye kukusanyia kodi na alembiliya, ''ngifuate''. Elefofona na imfata. 15 Na wakati yesu alipokuwa evejipata kyao katika mmba ya Lawi, wakusanya kodi veengi na wandu wenye sambi vevkeri vela na yesu na vanafunsi wakwe,kwa kuwa vevekeri veengi navo velemfata. 16 Wakati vaandishi, ambao vevekeri mafarisayo, walipololia shali yesu evekeri ela na vandu wenye sambi na wakusanya kodi, velevavia vanafunsi vakwe, ''Niiki ela na wakusanya kodi na vandu wenye sambi?'' 17 Wakati yesu alipoishwa adi elevavia, vandu vere na afya katika mwili wemhitaji ku tabibu; ni vandu vewaiwa pekee ndio vemhitaji. Silesha ku iwadhaa vandu vere haki, lakini vandu vere haki, lakini vandu vere sambi.'' 18 Vanafunsi wa Yohana na Mafarisayo vevekeri vefunga. Na baadhi ya vandu velesha kwakwe na immbiya, ''Niiki vanafunsi wa Yohana na Mafarisayo vefunga, lakini vanafunsi vafo vefunga ku?. 19 Yesu akavavia, ''Je vevehudhuria harusini vedima ifunga wakati Bwana harusi bado ekeri hamu navo? Kwa vyoose bwana harusi ekeri bado efo hamu navo vedima ifunga ku.'' 20 Lakini mfiri seesha wakati bwana harusi atakapofunwa kwavo, na katika mfiriso vo veshefunga. 21 Kureku mndu ashonaye kipande kihiya cha nguo kwenye vasi kuukuu, vinginevyo kiraka chebanduka ifuma katika loholo, kihiya chebanduka ifuma katika kikuukuu, kushekeri na mpasuko mviishwa. 22 Kureku mndu avikaye divai nhiya katika viriba vikuukuu, vinginevyo divai yebara viriba na vyoose viwili divai na viriba vyecheka. Badala yakwe, vika divai nhiya katika voriba vihiya.'' 23 katika mfiri ya sabato yesu alehicha kwenye baadhi ya mashamba, na vanafunsi vakwe veleansa ihira baadhi ya masuke ya ngano. 24 Na Mafarisayo akavavia, ''Sakwa, niiki mfanya kindo ambacho ni kinyume cha sheria katika mfiri wa sabato?'' 25 Elevavia, ''Hamkusoma kila elerunda Daudi evekeri katika uhitaji na shaa - yeye hamu na vandu vevekeri nave? 26 Jinsi eleenda katika mmba ya Ruva wakati wa Abiathari evekeri kuhani mduve ela mkate uliovikwa mbele - ambao ileva kinyume cha sheria kwa mndu voose ila isipokuwa makuhani - na elevaninga hata baadhi ya vala vevekeri hamu nave?'' 27 Yesu akaamba, ''Sabato ilefanywa kwa ajili ya mwanadamu, siyo wanadamu kwa ajili ya sabato. 28 Kwa hiyo, mwana wa Adamu ni Bwana, hata kwa Sabato.''