1 Wakati sho velesha Yerusalemu, velekaribia Besthfage na Bethania, katika Mlima wa Mizeituni, Yesu alevaduma vavili miongoni mwa vanafunsi wakwe. 2 Na elevavia, "Endeni katika kijiji kikabiliana naso. Mara mkaingia fo, mwemkolia mwana punda ambaye hajapandwa. Mfutuieni na mhende kwakwa. 3 Na kolia yoose akivavia, 'Niiki mrunda adi? mwepaswa iyamba, 'Bwana emhitaji na mara emhuria haadi." 4 Veleenda na imkolia mwanapunda emfunge shaa mlangoni kwenye mtaa ulio wasi, navo velemfutua. 5 Na baadhi ya vandu vevei vetotoni hala na velevavia, "Muusa iki, imfutua mwana punda sho"? 6 Velemmbia shali yesu elevavia, na vandu vakavacha vasiilie. 7 Vanafunsi vavili valemhende mwana punda kwa yesu na veletandika mavasi dooka yavoili yesu adime idwaa. 8 Vandu veengi veletandika mavasi yavo barabarani, na veengi veletandika matavi veleyateena ifuma mashambeni. 9 Vala valeenda mbele yakwe na vala velemfata velekaba kelele, "Hosana! Elebarikiwa esha kwa rina la Bwana. 10 Ubarikiwe umangi usha wa papa yedu Daudi! Hosana kwa aliye dooka" 11 Niho yesu aleingia yerusalemu na eleenda hekaluni na elesakua kila n'ndo. Luhuva, wakati uleva waenda, eleenda Bethania hamu navo kumi na vavili. 12 Mfiri ulefuata, wakati vevei veuya Bethania, elevaa na shaa. 13 Na akalolia mdi wa mtini uvei na mara kwa kwasha, eleenda isakua sha evedima ikolia choose dooka yakwe. Na wakati eleenda kwasha, elekolia choose ku yataare mara, kwa kfa ivei majira ya mtini ku. 14 Eleuvia,"Kure yoose eshela se itunda ifuma kwako ku". Na vanafunsi vakwe vakaishwa. 15 Velesha Yerusalemu, nave akaingia hekaluni na iansa iwafuna shaa vekumba na veola ndani ya hekalu. Elehundusa mesa sa vebadilisha besa na fidi fya vala vevekeri vekumba mbeta. 16 Elemruhusu yoose ku ihira choose hekeluni kledima ikubwa. 17 Elevafundisha na iyamba, "Je ileandikwa 'mmba yakwa yelahawa mmba ya sala kwa mataifa yoose'? lakini mleifanya pango la vanyang'anyi." 18 Makuhani vaduve na vaandishi veleishwa yo eyamba navo velevengecha shia ye mwaa. Hata ado veleiova kwa sababu umati uleshangaswa mafundisho yakwe. 19 Na kila wakati kashini ikashika, velesidia mjini. 20 Vekeri vechambuka shuru velelolia mdi wa mtini uleuma mpaka kwenye mizizi yakwe. 21 Petro elekumbua na iyamba, "Rabi! Sakwa, mdi wa mtini eleuchelia fyao uleuma." 22 Yesu elevajibu, "Mve na imani katika Ruva. 23 Amini ngivavia shali kila euviaye mlima shu, 'Siilia, na ukakumbe umeni baharini, 'na shali ere mashaka ku mooni mwakwe lakini eamini kwamba cho eleamba chefumia, ado ndivyo Ruva efanya ado. 24 Kwa hiyo ngivavia: kila kindo muitereva na ivesa kwa ajili yakwe, amini kwamba mweambilia navyo fyenu. 25 Wakati mwetotona na itereva, mwepaswa isamehe choose mkeri nacho dhidi ya yoose, ili kwamba papa papa enu aliye ruveu evasamehe pia nanyo makosa yenu. 26 (Singatia: Mstari shuu, "Lakini msiposamehe, vala papa yenu eliye ruveu evasamehe sambi senu ku" ivekeri kwenye naka la sa kasha ku). 27 Velesha yerusalemu se. Na yesu evei echambuka hekaluni, makuhani vaduve, vaandishi na vameku velesha kwakwe. 28 Velemmbia, "kwa mamlaka yonki ufanya mambo ya?" Na ni veivi elekuninga mamlaka yefanya ya?" 29 Yesu elevavia, "Ngevavesa swali limu. Ngivieni na nihani ngevavia kwa mamlaka yonki ngerunda mambo yahaya. 30 Je, ubatiso wa Yohana ulefuma ruveu au ulefuma kwa vanadamu? Ngijibuni." 31 Velejadiliana miongoni mwavo na ishindana na iyamba, "Shali dukaamba, 'Ifuma ruveu,' eamba, 'Niiki mcheamini?' 32 lakini shali dukaamba, 'Ifuma kwa vanadamu;...... "Veleihova vandu, kwa voose velera kwamba Yohana evei Nabii. 33 Niho velemjibu Yesu na imvia, "Duishi ku. Niho Yesu akavavia, wala nihani ngevavia ku kwa mamlaka yonki ngefanya mambo yahaya.