Sura 1

1 Yuda Mdumwa wa Yesu Kristo, na mwandie wakwe Yakobo, kwa vala ambao velelahya wakundwa katika Ruva Mangi, na valetuwzwa kwa ajili ya Yesu Kristo. 2 Rehema na amani na ukundawo visongorwe kwenu. 3 Vapenzi, wakati nikeri ngirunda ngibirikana ikuandikieni nyohonyo ihusu wokovu wedu voose, ilenlasimu ngivaandikie kwa ajili yevashauri, ili shindanie kwa uaminifu imani ya ilekabisiwa maralimu kwa vaumini. 4 Kwa sababu vandu fulani valejiingiza kwa siri kiidikwenu, vandu ambao valekabwa alama kwa ajili ya hukumu-vandu vetekeri watauwa ambao valeilasha neema ya Ruva wedu iva ufisadi, na imliyaa Bwana wedu eveni na Bwana Yesu Kristo. 5 Luva ngikundi ikukumbureni nyohowyo ingawa kure wakati, mlemanya kwa ukamilifu Bwana aleokoka vandu ifuma nchi ya misri, lakini baadaye vakaangamizwa vala veteleamani. 6 Na malaika vala vetelinda enzi yavo vemeni lakini valecha makao avo maalumu Ruva alevavikya katika mnyororo wa kasha na tene, kiidi ya mlema kwa ajili hukumun ya mfiri ula uambe. 7 Sha lia Sodoma na Gomore na mri yo ileitengeta, ambayo ilekhaka imeni katika uasherati na vakafatia tamaa itekeri ya asili,valerorwa sha mfano ya vala ambao veteseka katika hukumu ya molho wa kasha na tene. 8 Hali kadhalika kwa mkoyahaya vandu veloswa navo valeshafua mmbili yavo, vakaliaa mamlaka, vakachecha uongo dhidi ya mduve. 9 Lakini hata Mikaili malaika mkuu,wakati eshindawa wa varimu na ivesawa nave kwa ajili ya mmbili wa Musa, alekari iwende hukumu ya uongo dhidi yakwe ku, badala yakwe aleamba Bwana akuhongolie. 10 Lakini vandu va valehende uongo dhidi ya nndo veteishi na kila veteishi, kila vanyama kwa silika, yahaya niya alevaharibu. 11 Ole wavo, shali valechambuka katika mko ula wakaini na ifata kosa lia la Balaam. Valeangamia katika fyao yama Kora. 13 Vanava ni miamba katika sherehe zenyu za ukundano, vakasherekea bila haibu, veela vemeni, na maruhu etere mringa, aleirwa na muho ni mdi ilechowsa itere matunda ilefa mara kavili, ileilulwa mri. 12 Ni mawimbi a bahari ere kelele efuna aibu yavo vemeni, ni ng'eng'eri zetavatava ambazo uhuu wa mlema uletunzwa kwa ajili yavo kasha na tene. 14 Enoko wa saba katika orola ya Adamu alelafya kuhusu vo kaamba,sakulya Bwana esha na maelfu kwa maelfu avatakatifu vakwe, 15 ili arunde hukumu dooka ya kila mndu, na ivikiya hatia voose wasiomcha Ruva dooka ya matendo avo oose valemeirunda katika shia zitekeri za kitauwa, na kwa machecha oose aukali yo vetekeri vatauwa naleachecha. 16 Vahava ni vala veng'unya vechoya ambao vefata tamaa, movu vejivuna naavi ambao kwa faida yavo velemba vengi. 17 Lakini nyo, vapenzi, kumbueni machecha ambayo alechechwa kasha na mtume wa Bwana Yesu Kristo. 18 Valeamba kwenu, katika wakati ula uletiika kwera vandu vedaala ambao vefata tamaa zavo zizizo za kitauwa. 19 Vandu vahava watenganishaji,na vetavaliwa na tamaa za asili nanga vere moo ku. 20 Lakini nyohonyo vapenzi shali mlejijenga katika imani, yenu takatifu. Sana na shali mweitereva roho mtakatifu. 21 Jitunzeni katika ukundano wa Ruva, na muveche rehema ya Bwana wedu Yesu Kristo ambayo yekniingeni uzima wa kasha na tene. 22 Roreni rehema kwa vala vere mashaka. 23 Vaokoeni vengi kwa ivadosa ifuma mochoni. Kwa vengi murore huruma. Kwa hofu, msue hata nguo ire doa na mmbili. 24 Luvaha kwakwe edima ivalinda mtasidahe na ivasababisha mtotone mbele ya utukufu wakwe, bila mawaa na kuwa furaha kuu. 25 Kwakwe Ruva emoni mokozi ehicha Yesu Kristo Bwana wedu, utukufu uve kwakwe, ukuu, uwezo na oru kabla ya nyakati soose, na luvana kasha na tene. Amina.