Sura 1

1 Mmeku kwa gayo mpenzi ngimkundi katika loi 2 ,Mpendwa ngakutereva ufanikiwe katika vindo vyose naiva na afya ngisha shakundu roho yafo ilefanikiwa 3 ,Maana ngilekunda sana wakati waleingia na ndugu safo valesha naidua ushuuda juu ya ukweli yafo shakundu valetambuka katika loi 4 ,Ngite furaha nduve zaidi ya hiiya ku hiishua vana vakwa vetambuka katika loi. 5 Mpenda Ekeri enda uaminifu indeudumia ndugu na vageni 6 ,Ambapo valedua ushuhuda wa upendo wafo mbele ya kanisa vefanya usha ivasafirisha katika safari za mwao kwa namna ambayo yempendeza Mungu 7 ,Kwasababu kwa ajili ya rina valeenda bila chose ifuma kwa vandu va mataifa 8 ,Hivyo itakikane ivakaribishe vandu sha hava hava ili tuve verunda kasi wenza kwa ajili ya loi . 9 Ngileandika kusanyiko jambo fulani lakini Diotrofe akundi ivaa wakwanza mongoni mwa mwao hekubaliana na sue 10 ,Kuto kama ngesha ngekumbura matendo akwee efanya shakundu eamba mateta mafiishwa kunyume na sue enderisika na matendo yahaya kwa veemweni ambapo vetamani ikaribiswa na ndugu nevadishira vafume kwenye kusanyiko. 11 Mpenzi utaige kindo kivishwa bali iga kindo kisha isho etenda mema ni wa Ruva naisho etenda mafishwa nemlolia Ruva kuu 12 ,Dementio ameshuhudia na wose na loi imeni sue pia tuvelikeri mashaidi na wiishi kwamba ushuuda wa motu ni waloi. 13 Ngete mambo mengi ngekuandikia lakini ngekunda ikuandika na kalamu ya wino kuu 14 ,Bali ngetarajia ikulolia hivi karibuni na tweteta chamu chamu 15 ,Amani ive pamoja naive marafiki vekuidikira vaidikire marafiki kila umi rina lakwe.